Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Hii thread itakuwa imeandikwa na mtu ambaye ubongo wake upo tumboni. Ukiwa na akili timamu ya nn ujitoeufahamu kwa jambo ambalo lipowazi. cdm wanaandamana kwa kutumia vifungu vya sheria lkn ninyi mnapinga kwa kutumia nguvu za dola mlizonazo .
Tatzo vijana wengi mmeshikiwa akili, akishasema Lissu basi nyie mnadhani ni sawa, Lissu anatumia Article 18 ya katiba inayotoa right of Association, anatumia pia sheria ya vyama vya siasa ambayo imefafanua haki inayozungumziwa chini ya kifungu cha 18 cha katiba.
Hivyo sheria ya vyama vya siasa unapata uhali kutoka kwenye katiba, which means, sheria ya vyama vya siasa is applicable subject to the constitution ambayo ndo sheria mama from which all other laws derives their legitimacy!

Sasa mtoa maada ameainisha Article 30 ambayo imelay down limitations on the enjoyment of the basic rights under part3 including Article 18.
Article 30 inatueleza the rights provided under the same same constitution are not absolute, they are subject to limitations, they can be taken away in some circumstances, one of those circumstances and which is very complicated one is the issue of public interest.
Wanasiasa wanatumia ujinga wenu wa kutikuijua katiba kuwaaeleza mna haki, lkn hawawaambii kuwa haki hizo zinaenda na wajibu na pia zina miaka take!
 
Kama wewe ni ccm unamatatizo yani hamuoni wenzenu uko KWA OBAMA ndomana wameendelea amna chama nyie mnapata nini kwani wakiandamana nakupewa ulinzi kuna nini mbona watanzania wengi mambumbumbu nawaambia Tanzania yasasa ni ulaya ya 1790 sisi
 
Kama wewe ni ccm unamatatizo yani hamuoni wenzenu uko KWA OBAMA ndomana wameendelea amna chama nyie mnapata nini kwani wakiandamana nakupewa ulinzi kuna nini mbona watanzania wengi mambumbumbu nawaambia Tanzania yasasa ni ulaya ya 1790 sisi bado
Duh!! mbona unahasira sana? Hapa tunajadili Katiba.
 
Kuandamana haki yao lkn wataingilia haki za watu wengine wanaotumia huduma za jamii kama barabara
Ni kweli. Principles ya haki ya mtu ni kuwa haki yake inaishia maeneo ya pua ya mtu mwingine inapoanzia. It can never be infinite.
 
Tatzo vijana wengi mmeshikiwa akili, akishasema Lissu basi nyie mnadhani ni sawa, Lissu anatumia Article 18 ya katiba inayotoa right of Association, anatumia pia sheria ya vyama vya siasa ambayo imefafanua haki inayozungumziwa chini ya kifungu cha 18 cha katiba.
Hivyo sheria ya vyama vya siasa unapata uhali kutoka kwenye katiba, which means, sheria ya vyama vya siasa is applicable subject to the constitution ambayo ndo sheria mama from which all other laws derives their legitimacy!

Sasa mtoa maada ameainisha Article 30 ambayo imelay down limitations on the enjoyment of the basic rights under part3 including Article 18.
Article 30 inatueleza the rights provided under the same same constitution are not absolute, they are subject to limitations, they can be taken away in some circumstances, one of those circumstances and which is very complicated one is the issue of public interest.
Wanasiasa wanatumia ujinga wenu wa kutikuijua katiba kuwaaeleza mna haki, lkn hawawaambii kuwa haki hizo zinaenda na wajibu na pia zina miaka take!
Unapaswa kujiuiza kuwa je chadema wako kudai haki kwaajili ya person interest ama public interest?
Jibu hapana chadema mara kwa mara huwa hawakosei mara nyingi wamekuwa wakifanya jambo huku wakinukuu vifungu vya katiba na hata sheria za nchi na utakuta hata wanapo funguliwa kesi mahakaman za kudhaniwa kuwa wamevunja sheria bado wanashinda hapo jiongeze mkuu.

Nb bifungu vya sheria vilichoandikwa kwenye hii thread haviendani na tafsiri ilotumika na mleta thread.
 
Soma ibara ya 30 tena kuhusu haki na limitations zake.
 
Bush lawyer kijana kajifunze tena sheria hii sio vitabu vya pauka pakawa
 
Annael, jaribu kumsikiliza lisu vizuri, na wengi kama wewe hamja muelewa naona. Na leo amerudia tena kusema, watafuata taratibu zote kabla ya kuandamana au kufanya mikutano. Watatoa taarifa kama sheria inavyosema.
Tatizo ninaloliona ni watu kufikiria au kuona maandalizi ndio maandamano yenyewe.
 
Kuna walio tambua matatizo ya katiba chama na ndomana awataki kuirekebisha kwamatumizi yasasa watu tutadai katiba MPYA team yawalioba tulipmpa sisi sio ile ya sisiem kwani magu ndomuelewa kuliko watanzania wrote kwanini akisema yeye kiwe ichoicho yeye tunamtuma sisi nasema mniamini baada ya miaka kumi ishirini ccm italiingiza taifa kwenye vita mbaya kuwai kutokea Africa niaminini Mimi
 
Unapaswa kujiuiza kuwa je chadema wako kudai haki kwaajili ya person interest ama public interest?
Jibu hapana chadema mara kwa mara huwa hawakosei mara nyingi wamekuwa wakifanya jambo huku wakinukuu vifungu vya katiba na hata sheria za nchi na utakuta hata wanapo funguliwa kesi mahakaman za kudhaniwa kuwa wamevunja sheria bado wanashinda hapo jiongeze mkuu.

Nb bifungu vya sheria vilichoandikwa kwenye hii thread haviendani na tafsiri ilotumika na mleta thread.
Aise naumia nimepoteza mdaa kujadili mambo magumu na mtu ambaye hata hajui kinachoongelewa hapa.

Ni heri kukosa vitu vyote maishani lkn ukabaki na reasoning capacity!
 
Hii thread itakuwa imeandikwa na mtu ambaye ubongo wake upo tumboni. Ukiwa na akili timamu ya nn ujitoeufahamu kwa jambo ambalo lipowazi. cdm wanaandamana kwa kutumia vifungu vya sheria lkn ninyi mnapinga kwa kutumia nguvu za dola mlizonazo .
Hakuna kitu umeongea! !
 
Aise naumia nimepoteza mdaa kujadili mambo magumu na mtu ambaye hata hajui kinachoongelewa hapa.
Wasiwasi wangu ipo siku Lissu atawaambia muwabake mama zenu na Dada zenu simply because wanaichagua CCM na mtafanya hvo!
Ni heri kukosa vitu vyote maishani lkn ukabaki na reasoning capacity!

Mmmmmmh, very interesting...sasa ni nani mwenye reasoning capacity, na nani ambaye hana reasoning capacity...
 
Mleta mada nadhani huijui Constitution Law au umeisoma hiyo ibara lakini hujaielewa.

Soma ibara hiyo hiyo ya 30 lakini kipengele (2)

(30)
(2)
Ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika Sehemu hii
ya Katiba hii, yanayofafanua misingi ya haki, uhuru na wajibu wa
binadamu, hayaharamishi sheria yoyote iliyotungwa wala kuzuia"
sheria yoyote kutungwa au jambo lolote halali kufanywa kwa
mujibu wa sheria hiyo, kwa ajili ya -
.....
....
...
"

Hiyo Ibara ya (2) Inaelezea kuwa Mambo yote ambayo yanalimit Freedom ambazo zimetolewa na Katiba HII ni LAZIMA YAPATE UHALALI KUTOKA KATIKA SHERIA FULANI ILIYOTUNGWA NA BUNGE . Siyo holela holela tu

Sasa kwa mujibu wa Sheria zetu, Ni Sheria ya Hali ya hatari tu inayoweza kususpend Hizo freedoms.

Kiufupi ni kwamba, Ukiachilia mbali energency law, Hakuna Kifungu cha Katiba kinachompa powers
Raisi Kuzuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya siasa.

Version ya Kiingereza ya Katiba iko very clear, na hii ya Kiingereza ndo huwa inatumika mahakamani
 
Nadhani wewe umesoma kifungu hicho tu, na ukaachia hapo....
Sasa weka kifungu cha katiba kinachoeleza kama umekosa haki uandamane.
 
Mleta mada nadhani huijui Constitution Law au umeisoma hiyo ibara lakini hujaielewa.

Soma ibara hiyo hiyo ya 30 lakini kipengele (2)

(30)
(2)
Ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika Sehemu hii
ya Katiba hii, yanayofafanua misingi ya haki, uhuru na wajibu wa
binadamu, hayaharamishi sheria yoyote iliyotungwa wala kuzuia"
sheria yoyote kutungwa au jambo lolote halali kufanywa kwa
mujibu wa sheria hiyo, kwa ajili ya -
.....
....
...
"

Hiyo Ibara ya (2) Inaelezea kuwa Mambo yote ambayo yanalimit Freedom ambazo zimetolewa na Katiba HII ni LAZIMA YAPATE UHALALI KUTOKA KATIKA SHERIA FULANI ILIYOTUNGWA NA BUNGE.

Sasa kwa mujibu wa Sheria zetu, Ni Sheria ya Hali ya hatari tu inayoweza kususpend Hizo freedoms.
Ukiachilia mbali energency law, Hakuna Kifungu cha Katiba kinachompa powers
Raisi Kuzuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya siasa.

Version ya Kiingereza ya Katiba iko very clear, na hii ya Kiingereza ndo huwa inatumika mahakamani
Naona hapa unajiumbua kweli. Hebu tumia kichwa kufikilia kidogo hapo peandikwaje!???

Sheria zitatungwa tu kutetea haki za watu.
Lakini yakija msuala ya public interest mamlaka inaondoa haki hiyo.

Huyu Bisimba anawadanganya na issue zake za haki za binadamu. Likija swala la public interest hakuna haki hizo.
 
Back
Top Bottom