Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Nawashangaa wanaosumbuka kukuelewesha. kumfundisha mwanafunzi aliyemezeshwa matango pori kama wewe ni shida. Kwaheri mkuu.
Sasa huo uelewa wako si uuoneshe hapa? Ninachelea kusema kuwa wewe ni mbumbumbu. Samahani lakini ndugu. Kwa sababu dalili zote zinaonekana.

Badala ya kujadili mada unanijadili mimi.
 
haya sasa tushakuwekea katiba ya vyama inayowapa mamlaka ya kufanya mikutano ya kisiasa,,,,,,,


WEKA IBARA INAYOMPA MTUKUFU KUFUTA MIKUTANO YA KISIASA KWA MAMLAKA ALIYONAYO.
Katiba za vyama zinahusu wanachama katiba ya nchi inahusu nchi nzima.

Na unasema umeweka katiba ya chama ipo wapi?
 
Katiba za vyama zinahusu wanachama katiba ya nchi inahusu nchi nzima.

Na unasema umeweka katiba ya chama ipo wapi?


tushakuwekea post namba #34 unajichengesha tu.

HIVI MTUKUFU HAKUPITIA KTK NGAZI YA CHAMA?



WEKA VIFUNGU HIVYO VINAVYOMPA MAMLAKA MTUKUFU KUFUTA MIKUTANO YA KISIASA
 
tushakuwekea post namba #34 unajichengesha tu.

HIVI MTUKUFU HAKUPITIA KTK NGAZI YA CHAMA?



WEKA VIFUNGU HIVYO VINAVYOMPA MAMLAKA MTUKUFU KUFUTA MIKUTANO YA KISIASA

Post ya #34 ni hii hapa au unaongelea ikoje?
Untitled.png
 
Kwa hapo sasa wanaotukana humu wataanza kupwaya maana walishazoea copy and paste za Tindu lisu ambapo ukimpeleka kwenye analysis anatoka ziro na anashindwa kutetea
Ndiyo maana hafurukuti mbele ya Tulia anabaki kumtukana tuu Lissu ni domo kaya tuu
 
Umetumia nguvu kubwa kuandika ujumbe wako,

Sasa hapo Chadema wameumbuka Wapi?

Anayeisigina Katiba anafahamika, lakini kwa bahati mbaya watu wengi wanamgwaya ......

Inaelekea hizi post za mfululizo za kuishambulia Chadema bila hoja zenye mashiko ni kuonyesha kuweweseka kwa watawala kutokana na vuguvugu la operesheni Ukuta.
kama hauna abcs za sheria huwezi kuelewa mada hii, CHADEMA wameumbuka kwa kiasi kikubwa. Kwa harakaharaka Tamko la rais ni sahihi na katazo la POLISI ni sahihi hata kama wangeacha maandamano na kwenda mahakamani bado rais na jeshi la polisi wako sahihi mapaka itakavyo amriwa vinginevyo na hata kama ingeamriwa vnginevyo bado kungetakiwa marekebisho tu na siyo kubatilisha lolote
 
Hapa tunaongelea katiba wewe unasema Sheria ya vyama vya siasa. Katiba ndio sheria mama. Sheria mama inasema kama hujaridhika nenda mahakama kuu.

Na tayari mahakama kuu imetolewa ufafanuzi kupitia sheria za police. Kwamba:-
Kwenye sheria ya police kifungu 43 kuhusu maandamano




Kwamba mnatakiwa kwenda kuwashitaki police kwa waziri wa Mambo ya Ndani(Mwigulu Nchemba) huenda akawaruhusu muandamane

kweli uwenda akawaruhusu
 
Wewe usijifanye kuruka ruka.
Nyie mnao dai haki ndio mnatakiwa mtuambie ibara ipi imesema vyama vya siasa kufanya mikutano?
Isitoshe katiba kwenye ibara ya 30 inaweka wazi kwamba kama inaona haki au uhuru umevunjwa, unavunjwa au unaelekea kuvunjwa unaenda mahakamani.
Kitendo ambacho chadema walifanya na serikali iliwabwaga.

Sasa wewe unayedai haki na uhuru unadai kwa misingi ipi?
Sasa eleza umma hapa JF misingi ipi ya kikatiba inakufanya udai hiyo haki.

Isitoshe sheria ya polisi kuhusu maandamano imeweka wazi kwamba kama unaona umenyimwa na polisi haki ya kufanya maandamano unapeleka mashitaka kwa waziri wa mambo ya ndani na kauli yake ndio ya mwisho.

Acha kuongea vitu hewa hapa. Tunaongea kwa upana sio vijimaswali vya ajabu ajabu bila hata kutaja ibara ipi imekupa haki ya kufanya mikutano.
Uwa naamini katika mwisho namini kila falme kandamizi zitadondoka maana haki ina upana mkubwa wa kutafsiliwa na kupimwa kama inatendeka muda bado siku Mungu pekee anajua..
 
Uwa naamini katika mwisho namini kila falme kandamizi zitadondoka maana haki ina upana mkubwa wa kutafsiliwa na kupimwa kama inatendeka muda bado siku Mungu pekee anajua..
Nadhani unafikiria ifikapo mwaka 3000.
 
Nimeanza kukuuliza hapa nipe ibara aliyotumia rais kupiga marufuku mikutano ya kisiasa, hujanipa.
Ukinipa ibara hiyo, nitakupa aliyoivunja Magufuli.
Unaweza kunipa ibara hiyo?





UMEMJIBU HUYO JAMAA HAPO.
Hajanijibu na wala hawezi kunipa hicho kifungu in the asked context.

Kwa sababu hakipo.
 
Sasa huo uelewa wako si uuoneshe hapa? Ninachelea kusema kuwa wewe ni mbumbumbu. Samahani lakini ndugu. Kwa sababu dalili zote zinaonekana.

Badala ya kujadili mada unanijadili mimi.
Asante kwa darasa mkuu. Utaumiza kichwa kujibu kila ubishi. Darasa ulilotoa Kama bado watu wanaleta ubishi, ni kwa sababu wanataka kubisha tu
 
Mkuu Lissu anatumia advantage ya watu kama hawa ambao hawajawahi kuiona hata katiba inafananaje.

Lissu ni wa kawaida sana, kwa wale tunaoshinda mahakamani tunajua, Nchi hii kuna vichwa vingi tu Sema kinachompa kiki jamaa ni kwa vile ni mwanasiasa hivo kila anachofanya kinakuwa kwenye media, akiweka P.O watu wanajua, akishinda P.O watu wanajua, lkn kuna vichwa vipo na vinapiga hela kimya kimya!

Back on our Constitution, ni kwamba Lissu anawaeleza wanaukuta kuhusu haki zinazoelezwa on the bill of rights under part3, lkn hawawaelezi kuhusu limitations on the given rights ambazo the same constitution imeweka.

Kwa ufupi katiba hii inakupa haki upande mmoja na inakunyanganya kupitia upande wa pili.kwa mfano haki xote zilizoolozeshwa zinaweza kunyanganywa kwa sababu ya maslahi ya umma, ukifatilia vzr katiba hii haijadefine nini maana ya maslahi ya umma, yaani ni vitu vp vinakuwa counted as amounting into public interest. Hata mahakama hadi Leo hazijaweza kutoa msimamo wa nini hasa ni maslahi ya umma.

Kwa maana hiyo Rais anaweza kutumia kipengere hicho kuamua anavoona yeye na akasema ni kwa maslahi ya umma, mfano aliposema huu ni mda wa kutekelexa ahadi, anaweza akaidefine hiyo kama maslahi ya umma.

Lissu analijua hilo, na ukweli Rais anatumia katiba, hivyo kupambana na Rais badala ya kupambana na katiba inayompa na kutoa loopholes hizo wao wanapambana na matokeo yake! Wengi tulitegemea wangeenda mahakamani ili wapate nini msimamo wa mahakama, then tuone kama Rais ataenda kinyume na maamuz ya mahakama.
Katiba imetoa room ya mtu anayedhani haki hizo under part3 zimekiukwa aende mahakaman, cha ajabu nguli huyu wa sheria badala ya kuwaongoza wenzake kwenda mahakamani anahamisisha watu waandane.

Ikumbukwe utawala wa sheria si kwa upande wa serikali tu, hata ss raia inatuhusu.
Kwanini wasiende mahakamani kama katiba inavoelekeza badala yake wanaamua kuandaa maandamano, hapa ndipo unapoiona illmotives!

Ikumbukwe sheria ya vyama vya siasa haiwezi kuwa juu ya katiba, kama katiba imeweka limitations on the enjoyment of the provided rights under part 3, sheria nyingine haiwezi kutoa free enjoyment of the same rights!

Anyway haya mambo ni magumu ndo maana wengi wataishia kukutukana tu, na kutoa comment zisizo kuwa na vichwa wala miguu!
Mkuu unajua katiba ni kama bible watu wengi wanaisoma kmeet their own interest, lakini kumbe ni pana sana
 
Back
Top Bottom