Rafiki hiyo ya vyama vya siasa ni sheria tu. Ambayo inaweza badilika wakati wowote.kessi ya tumbili unampelekea ngedele, unadhani nini matokeo yake? hata hivyo tusome kipengele cha vyama vya siasa tu ambavyo ndo vimetufikisha kwenye mivutano
Umeambiwa kuna enjoyment na limitations. Hizo ulizoongea ni enjoyments ambazo lisu anawamezesha weka limitations. Halafu tuone kama tarehe moja mtatoka. Kwanza mmeshaomba poo!
wanajidai katiba katiba kama kasuku. sheria inayotokana na katiba ndio imewapa polisi uwezo kuzuia maandamano ya cdmIbara ya 30 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano inaongelea mipaka kwa Haki na Uhuru.
Chadema wanakuwa wanaongea sana huku Katiba ikiwaumbua wazi wazi.
Tuanze sasa:-
30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake
imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja
kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa
kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
(2) Ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika Sehemu hii
ya Katiba hii, yanayofafanua misingi ya haki, uhuru na wajibu wa
binadamu, hayaharamishi sheria yoyote iliyotungwa wala kuzuia
sheria yoyote kutungwa au jambo lolote halali kufanywa kwa
mujibu wa sheria hiyo, kwa ajili ya -
(a) kuhakikisha kwamba haki na uhuru wa watu wengine
au maslahi ya umma haviathiriwi na matumizi
mabaya ya uhuru na haki za watu binafsi;
(b) kuhakikisha ulinzi, usalama wa jamii, amani katika
jamii, maadili ya jamii, afya ya jamii, mipango ya
maendeleo ya miji na vijiji, ukuzaji na matumizi ya
madini au ukuzaji na uendelezaji wa mali au maslahi
mengineyo yoyote kwa nia ya kukuza manufaa ya
umma;
(c) kuhakikisha utekelezaji wa hukumu au amri ya
mahakama iliyotolewa katika shauri lolote la madai
au la jinai;
(d) kulinda sifa, haki na uhuru wa watu wengine au
maisha binafsi ya watu wanaohusika katika mashauri
mahakamani, kuzuia kutoa habari za siri; kutunza
heshima, mamlaka na uhuru wa mahakama;
(e) kuweka vizuizi, kusimamia na kudhibiti uanzishaji,
uendeshaji na shughuli za vyama na mashirika ya
watu binafsi nchini; au
(f) kuwezesha jambo jingine lolote kufanyika ambalo
linastawisha au kuhifadhi maslahi ya taifa kwa jumla.
(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu.
Hapo kwenye bold.
Kwa hapo sasa wanaotukana humu wataanza kupwaya maana walishazoea copy and paste za Tindu lisu ambapo ukimpeleka kwenye analysis anatoka ziro na anashindwa kuteteaMkuu Lissu anatumia advantage ya watu kama hawa ambao hawajawahi kuiona hata katiba inafananaje.
Lissu ni wa kawaida sana, kwa wale tunaoshinda mahakamani tunajua, Nchi hii kuna vichwa vingi tu Sema kinachompa kiki jamaa ni kwa vile ni mwanasiasa hivo kila anachofanya kinakuwa kwenye media, akiweka P.O watu wanajua, akishinda P.O watu wanajua, lkn kuna vichwa vipo na vinapiga hela kimya kimya!
Back on our Constitution, ni kwamba Lissu anawaeleza wanaukuta kuhusu haki zinazoelezwa on the bill of rights under part3, lkn hawawaelezi kuhusu limitations on the given rights ambazo the same constitution imeweka.
Kwa ufupi katiba hii inakupa haki upande mmoja na inakunyanganya kupitia upande wa pili.kwa mfano haki xote zilizoolozeshwa zinaweza kunyanganywa kwa sababu ya maslahi ya umma, ukifatilia vzr katiba hii haijadefine nini maana ya maslahi ya umma, yaani ni vitu vp vinakuwa counted as amounting into public interest.Hata mahakama hadi Leo hazijaweza kutoa msimamo wa nini hasa ni maslahi ya umma.
Kwa maana hiyo Rais anaweza kutumia kipengere hicho kuamua anavoona yeye na akasema ni kwa maslahi ya umma, mfano aliposema huu ni mda wa kutekelexa ahadi, anaweza akaidefine hiyo kama maslahi ya umma.
Lissu analijua hilo, na ukweli Rais anatumia katiba, hivyo kupambana na Rais badala ya kupambana na katiba inayompa na kutoa loopholes hizo wao wanapambana na matokeo yake! Wengi tulitegemea wangeenda mahakamani ili wapate nini msimamo wa mahakama, then tuone kama Rais ataenda kinyume na maamuz ya mahakama.
Katiba imetoa room ya mtu anayedhani haki hizo under part3 zimekiukwa aende mahakaman, cha ajabu nguli huyu wa sheria badala ya kuwaongoza wenzake kwenda mahakamani anahamisisha watu waandane.
Ikumbukwe utawala wa sheria si kwa upande wa serikali tu, hata ss raia inatuhusu.
Kwanini wasiende mahakamani kama katiba inavoelekeza badala yake wanaamua kuandaa maandamano, hapa ndipo unapoiona illmotives!
Ikumbukwe sheria ya vyama vya siasa haiwezi kuwa juu ya katiba, kama katiba imeweka limitations on the enjoyment of the provided rights under part 3, sheria nyingine haiwezi kutoa free enjoyment of the same rights!
Anyway haya mambo ni magumu ndo maana wengi wataishia kukutukana tu, na kutoa comment zisizo kuwa na vichwa wala miguu!
Mh liniSiku moja tu ilinitosha kufahamu kuwa Tundu Lissu hamna kitu ni pale alipoomba bunge lihairishwe kwakuwa yeye aliitwa mahakama kuu
Huyo ndio mwanasheria mkuu wa Chadema
Taja hivyo vifungu vya sheriaHii thread itakuwa imeandikwa na mtu ambaye ubongo wake upo tumboni. Ukiwa na akili timamu ya nn ujitoeufahamu kwa jambo ambalo lipowazi. cdm wanaandamana kwa kutumia vifungu vya sheria lkn ninyi mnapinga kwa kutumia nguvu za dola mlizonazo .
Mtoa mada hajawahi kusoma principles za Sheria . Ndugu Sheria ili uielewe inazungumzia nini sharti la kwanza ni kujua jinsi ya kuisoma, kuitafasiri, kuiandika, na pia unapoisoma usichukue sub article ukawa umeridhika utaonekana wewe ni kituko. Emu tuwekee article nzima na pia maelezo ta awali ya hiyo article then uje uandike upya thread yako.... OverDuuuhh nimecheka mpaka basi ...hyo ibara ndio kwanza inawabeba chadema.... unafikiri wanasheria wa CCm hawaioni hii ibara....why haven't they raised such an act to prove their innocence
Mtoa mada hajawahi kusoma principles za Sheria . Ndugu Sheria ili uielewe inazungumzia nini sharti la kwanza ni kujua jinsi ya kuisoma, kuitafasiri, kuiandika, na pia unapoisoma usichukue sub article ukawa umeridhika utaonekana wewe ni kituko. Emu tuwekee article nzima na pia maelezo ta awali ya hiyo article then uje uandike upya thread yako.... OverDuuuhh nimecheka mpaka basi ...hyo ibara ndio kwanza inawabeba chadema.... unafikiri wanasheria wa CCm hawaioni hii ibara....why haven't they raised such an act to prove their innocence
ndugu bado hujanishawishi coz kuna mambo mengi yanayoganana hayo yamefanywa na serikali ambayo yana dalili za upendeleo jambo aliposema siasa hadi 2020 yeye alipookuwa kwenye mikutano alikaliliwa akiwataka baadhi ya watu mfano lembeli warudi ccm,je hiyo sio siasa aliyosema mpaka 2020? jambo jingine la kuchanganya msigwa aliandikiwa barua kuwa wanaoruhusiwa kufanya siasa ni wabunge na madiwani katika sehemu walizo shinda tu lakini olesendeka ambaye si mbunge aliitisha mkutano wa hadhara kule longido ns polisi waliulinda mkutano ule ,hapo vip? mara mikutano inayo ruhusiwa ni ya ndani tu na leo nayo imefutwa! maswalu ya msingi ya kujiuliza ni kipengele gani kwenye katiba ambacho kinasema siasa ifanywe mpaka 2020, ni kipengele gani kwenye katiba kinasema anayeruhusiwa kuitisha mkutano wa hadhra ni mbunge na diwani tu na asialikwe mngine?Rafiki hiyo ya vyama vya siasa ni sheria tu. Ambayo inaweza badilika wakati wowote.
Lakini katiba inasema kuwa:-
Kama mtu anaona ameonewa haki yake aende mahakamani kitendo ambacho chadema wamefanya na wakashindwa kulingana na kipengere nilicho kupa. Kwahiyo hakuna katiba yoyote rais amevunja. Ni vyama vya upinzani vinataka kuhadaa wananchi tu.
Toa ibara hapa kama vile imepwaya kwenye uzi huu!!!Mtoa mada hajawahi kusoma principles za Sheria . Ndugu Sheria ili uielewe inazungumzia nini sharti la kwanza ni kujua jinsi ya kuisoma, kuitafasiri, kuiandika, na pia unapoisoma usichukue sub article ukawa umeridhika utaonekana wewe ni kituko. Emu tuwekee article nzima na pia maelezo ta awali ya hiyo article then uje uandike upya thread yako.... Over
Sasa hapo unasema maneno matupu wala hutumii kifungu chochote.ndugu bado hujanishawishi coz kuna mambo mengi yanayoganana hayo yamefanywa na serikali ambayo yana dalili za upendeleo jambo aliposema siasa hadi 2020 yeye alipookuwa kwenye mikutano alikaliliwa akiwataka baadhi ya watu mfano lembeli warudi ccm,je hiyo sio siasa aliyosema mpaka 2020? jambo jingine la kuchanganya msigwa aliandikiwa barua kuwa wanaoruhusiwa kufanya siasa ni wabunge na madiwani katika sehemu walizo shinda tu lakini olesendeka ambaye si mbunge aliitisha mkutano wa hadhara kule longido ns polisi waliulinda mkutano ule ,hapo vip? mara mikutano inayo ruhusiwa ni ya ndani tu na leo nayo imefutwa! maswalu ya msingi ya kujiuliza ni kipengele gani kwenye katiba ambacho kinasema siasa ifanywe mpaka 2020, ni kipengele gani kwenye katiba kinasema anayeruhusiwa kuitisha mkutano wa hadhra ni mbunge na diwani tu na asialikwe mngine?
Hayo unayajua wewe.Hayo mengine ya kimwigulugulu ndiyo unayaona bora siyo?
ni kweli unachosema, mungu ampe hekima na busara ili asitumie madaraka yake vibaya kwani anaweza kulitumbukiza taifa kwenye matatizo kwa chuki ambayo inaweza dumu kwa muda mrefu kwa wananchi wenye itikadi tofauti na asione matumizi ya vyombo vya dola kama polisi ni suluhisho bora sana kuzidi mazungumzo ya kupeana elimu. sio jambo zuri kuingia vitani na wananchi wakoSasa hapo unasema maneno matupu wala hutumii kifungu chochote.
Unajua haki yoyote kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ipo mikononi mwa Rais? Anaweza akaiondoa kwa maslahi ya umma?
Haki yoyote inaondolewa na rais kwa maslahi ya umma. Yaani ukitaka kwenda kwenye Katiba utapigwa za uso. Wewe vumilia tu.
Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote ni mbwembwe tu za kina Lisu na Mbowe kutafuta kick. Wanajua kabisa Rais ana nguvu sana.ni kweli unachosema, mungu ampe hekima na busara ili asitumie madaraka yake vibaya kwani anaweza kulitumbukiza taifa kwenye matatizo kwa chuki ambayo inaweza dumu kwa muda mrefu kwa wananchi wenye itikadi tofauti na asione matumizi ya vyombo vya dola kama polisi ni suluhisho bora sana kuzidi mazungumzo ya kupeana elimu. sio jambo zuri kuingia vitani na wananchi wako
Ibara gani kwenye katiba inayokataza watu wasiandamane?Soma katiba wewe hakuna sehemu katiba imesema kama hakuna haki uandamane.
una puuzia wakati wenzako wanamaanisha wanachosema, we si umeona jitahada zinazofanywa taasisi mbalimbali kama vile za kidini kuweka mambo sawa au unata mpaka polisi wauwe watu ndo ujue kuwa wanamaanishaHakuna vita yoyote wala ugomvi wowote ni mbwembwe tu za kina Lisu na Mbowe kutafuta kick. Wanajua kabisa Rais ana nguvu sana.
Na ikumbukwe Mahakama ni Idara ya Serikali kutokana na katiba.