Jinsi hukumu ya Jaji wa Rufaa ilivyookoa Maisha ya Hakimu na Mkuu wa Taasisi

Nakumbuka kuna jamaa anaitwa mng'oa kucha aliwahi kuleta uzi hapa jf miaka ya nyuma kidogo akimlalamikia hakimu wa mahakama ya ilala Marehamu Juma kasailo na akasema wazi bila chenga kwamba hakimu huu ndio mwezi wake wa mwisho.

kama kawaida mods wakafuta uzi kumbe kuna watu wamescreenshot na baada ya siku kadhaa hakimu akakata moto kweli uzi ukaletwa hapa jamvini. Sina kumbukumbu nao vizuri ule uzi ngoja nikautafute.
UPDATE: Uzi wenyewe ulifutwa nimefanikiwa kupata huu

Thread 'Familia yataja sababu za kifo cha Hakimu Juma' Familia yataja sababu za kifo cha Hakimu Juma
Nimeiona aiseeeee
 
Ninakuandikia WEWE HAKIMU AMBAYE UMEHAMISHWA MIEZI MICHACHE ILOPITA, KUFUATIA RUSHWA ZAKO ZINAZOSABABISHA MLUNDIKANO WA KESI MAHAKAMA YA RUFAA PALE...!!.

Haya Maisha kuna Wanaoamini Kisasi sio chako, na Kuna sisi tunaoamini ya Duniani tunamalizana hapa hapa wenyewe ,kisha tunatubu ....

Kila upande uheshim mwengine kwa sababu Ni Uchaguzi wa Maisha...... Wewe wakulipiza kisasi kikubwa ukumbuke Kutokucha Alama.

Nyie wenye Nafasi ambazo Utendaji wenu unahitaji Kua watu wa HAKI, USAWA, basi Fanya ivo... Kutoka nje ya njia hiyo maana yake ni KUUMIZA NA HATA KUUA WATU WENGINE , SABABU YA TAMAA YA PESA.

UKITAKA KUFA MAPEMA, DHULUMU MALI YA MTU/WATU ...SHIRIKI KUDHULUMU MALI YA MTU !!.

Ipo hivi Mazeee, Kila mmoja Wetu humu ana kijijin kwao huko kwa mababu, na Mababu zenu huko wana maeneo makubwa makubwa ya Ardhi.

Sasa iko hivi ,Mababu zangu upande Fulani wa Mzazi mmoja, huko kijijin walikua na maeneo makubwa makubwa sana , mwaka Fulani Mababu hao waliigawia Taasisi Fulani sehem ya ardhi HEKA 20 ivi Bure , miaka ikasogea masuala ya kupima maeneo, mipaka nini kila kitu kikawa sawa yaan Wazee wakawa wamiliki kisheria.

Sasa kizazi cha Mababu yaan sisi hapa kuanzia Wazazi mpaka vijukuu, tukawa WATU wa mjini ,na ivo Yale maeneo yakawapo tu kwaajili ya atakayekua anashindwa mjini anaenda kulima .,ila kwakua tulikua tunapishana nahiyo Taasisi kimipaka, tukawa tunawaruhusu wafanye shughuli za kilimo eneo zima.

Mwaka fulan ndugu wawili wakaona wakalime ilikua......201...

Sasa ile Taasisi kwakutumia Pesa vibaya, wakaanzisha chokochoko , wakidai Eneo Zima ni lao, kwamba wao ndio walikua wanatukodisha , aiseeee Taasisi ilijipanga chapchap, wakawaonga baadhi ya wazee vijijin, viongozi ,Mara KESI MAHAKAMANI.

Sasa Kama n ilivyosema, Ndugu wengi tuko mjini, kwahiyo masuala ya shamba hamna Mwenye mpango nayo ...

Lkn wale Ndugu wawili walorudi, aisee wana familia, lkn Shamba bado ni kielelezo chetu , Basi Wazee wakubwa wakasema wacha kesi iendelee n.k n.k lkn wakawa hawaifatilii, unajua wakili analipwa eehh !!.

Basi Mimi na Kaka mwingine tukasimama kwelikweli, lakini ile taasisi ilikua na hela mazee, licha ya vielelezo viingi tulopeleka n.k lkn kesi ikawa Inaelekea kwao.

Hakimu akawa anataka Tumpe kiasi Fulani cha Pesa ili atupe ushinde !!!

Nikasema hapana !!.

Nikakumbuka Nina Mwanangu tulipiga naye Chuo, ni Muha , Nikamuelezea wee akanipa namba za Baba yake Mdogo, naye akaniunga na MGANGA MMOJA WA JADI YUPO KIBONDO.

Mganga akaniambia niende, nikapanda BUS nikafika KIGOMA -Kibondo .

Kumbuken wakati huo kesi inaendelea Mganga akaniambia kwanza tuweke Nyoka shamban ,ili asikanyage yoyote zaidi ya wa uko Wetu, Hapo nikaanza 1M ).

Nakumbuka tukapanga safari na kurudi shambani huku kijijin Mimi na Mganga, Yule Mganga alienda kuzindika shamba usiku wa saa Saba , basi baada ya siku mbili tatu Tetesi zikaanza , kwenye shamba kuna Joka, anafukuza,... Mganga akaondoka zake kurudi.

Kesi ,imeenda wee, TAASISI KWA KUHONGA, HAKIMU MPENDA HELA, SI AKAWAPA TAASISI USHINDI ..

Mwanasheria wetu Nguli, wawili msomi akaamua kukata Rufaa !!.

Huku Kesi ya Rufaa ikiendelea, ile Taasisi ikawa inajitapa sanaaa wakasema Hakimu ni wakwao lazima wangeshinda ,maneno ya dhihaka kwelikweli.

Nikasema Kwakua BABU Marehem alishakufa , nayeye ndio aliwapa sehem ya eneo lake, Leo wanamdhihaki lazima tusiwaache.

Nikamtafuta Mganga yule, Mganga akasema Unatakaje ???? Nikamwambia NATAKA UMUONDOE HAKIMU, NA MKUU WA HII TAASISI.

Mganga akaniambia nimpe siku nzima awatazame kama wanaingilika.

Basi Siku ya kwanza kimya, yapili akanitafuta, akaniambia Watu wake wamemwambia Wanaingilika kwakua Tayari Kiroho wana dhuluma.

Gharama akaniambia Milioni 4 , watu wawili.

Basi akasafiri akaja, kwanza tukamhitaj amshugulikie Mkuu wa Taasisi , Mganga nakumbuka ule usiku wa manane alienda kwenye NYUMBA ya MKUU wa taasisi akaondoka na mchanga , akarudi kwetu.

Akachukua JOGOO mweupe, tukaingia shamban, tukachimba Kaburi La urefu wa mita moja.

Kisha Mganga aka tumia zaidi ya nusu saa kufanya Ulozi mle ndani ya kaburi na Jogoo, akamchinja, ...Alivyo toka JUU ,tukaanza kufukia... Kisha akasema , nitamuita huyu Jogoo, akitoka Mavumbin akiwa Hai, basi JAMAA NDANI YA MIEZI MIWILI ANAKUFA.

Mganga akaanza kuita, Mara Jogoo hilo likaibuka , Akalishika na kulirusha hewan, Jogoo alipaa kama Ndege hatukumuona teeeeena .

Wakati huoo Rufaa inaendeleaaa kusikilizwa kwenye tarehe tunazopangiwa.

Ilichukua siku kama sita , tukapata Taarifa Mkuu wa TAASISI KALAZWA.

Tukahamia kwa Hakimu , nayeye bila kustuka, Ile siku alienda Mganga mwenyewe mpaka Ofisin kwa Hakimu kuzuga ana mambo binafsi .

Mwendo uleule, safari hii Mganga alimuua PAKA mweusi kwa kumvuta Kichwa tuu nakutenganisha kiwili wili na Kichwa, akafanya ulozii...

NMECHOKA KUANDIKA,,, KWA UFUPI...

HAKIMU BAADA YA WIKI CHACHE, NAYE AKAKUMBWA NA DHORUBA LA AFYA, AKALAZWA HOSP ..mamaeeee !!!

SASA MGANGA AKAULIZA, AMINYEE ?? WAKATE PUMZI ???.

Nikamwambia Siku Fulani ni Hukumu , wacha Hukumu tuione !!!....

HUKUMU ,JAJI AKATUPATIA USHINDI NA NDIO IKAWA PONA PONA YA HAKIMU NA MKUU WA TAASISI KUFA.

Msiniambie habari za Mganga wala Mwanasheria
Sitaki PM inbox .
Mkijifanya watakatifu sana ,Hakikishen mnapenda Haki.
Sitaki mambo ya Jamaa Una roho mbaya ( Mimi ni MTU mmoja Mwana sana,ila nachukia UONEVU Kwa MTU au Mimi mwenyewe ).

KIKUBWA ACHENI DHULUMA, DHULUMA INAUA, NA UTAKUFA TUUU, UTAKUFA, WATU WATAKUZIKA, UTASAHAULIKA, TENDENI HAKI, ACHENI TAMAA ZA VIJISENT NA RUSHWA AMBAZO HUENDA KUUMIZA WENGINE

NARUDIA, KWA DHULUMA?? LAZIMA UFE MAPEMA.
Safi sana mkuu.
 
Mi na roho mbaya ila ww ni shetani live
 
Niliwahi kusema hapa,uchawi upo na usicheze na watu utakufa.

Soma hapa.

watu wanaongoza kurogwa kila siku!.
*polisi
*mahakimu
*wezi
*wazulumaji

ndio maana wanamaisha ya ajabu mwisho wa siku
 
huyo mganga fanya mpango tumuone ili tumalizane na waliodili na kesi ya Kaka mbowe nawanaodili na kesi ya mbowe
 
Nakumbuka kuna jamaa anaitwa mng'oa kucha aliwahi kuleta uzi hapa jf miaka ya nyuma kidogo akimlalamikia hakimu wa mahakama ya ilala Marehamu Juma kasailo na akasema wazi bila chenga kwamba hakimu huu ndio mwezi wake wa mwisho.

kama kawaida mods wakafuta uzi kumbe kuna watu wamescreenshot na baada ya siku kadhaa hakimu akakata moto kweli uzi ukaletwa hapa jamvini. Sina kumbukumbu nao vizuri ule uzi ngoja nikautafute.
UPDATE: Uzi wenyewe ulifutwa nimefanikiwa kupata huu

Thread 'Familia yataja sababu za kifo cha Hakimu Juma' Familia yataja sababu za kifo cha Hakimu Juma
Nakumbuka gazeti la mwananchi waliiandika hii habari na kumtaja mng'oa kucha
 
Back
Top Bottom