Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,757
Uli fail sana mkuu. Ndio maana umeachika.. hutakiwi kuwa mnyongee ivyo kwenye mapenzi. Kama yako ni yako na kama sio yako sio yako. Ebu sogea hapa kwanguHe knows maana nilimuomba sana msamaha na kumsihi asiniache.
Duuh pole sana mkuu.Sasa my darling financial services , ungekuwa unapitia changamoto kama ya kwangu, ungepata maumivu ya kiasi gani?
Yani ungekuwa dada yangu, alafu nimesoma hii komenti, ningekupiga sana mijeredi mkuu wanguHe knows maana nilimuomba sana msamaha na kumsihi asiniache.
Shukuru Mungu, songa mbele. Mkabizi Mungu huo mtihani. Ni ngumu sana kuvumilika kwakuwa sie ni wanadamu.Sasa my darling financial services , ungekuwa unapitia changamoto kama ya kwangu, ungepata maumivu ya kiasi gani?
I wish ungejua my situation huenda ungesema chochote ili niponeπͺπͺ hadi nafikia kuandika humu ujue nipo serious mkuu sipo sawa.Naona unavua samaki kisomi zaidi. Hongera sana dada. Nimependa mbinu yako ya uvuvi.
Amiin ahsante dearPole utampata aliyebora kwako inshallah
Ahsante mkuuUkipata mwingine utamsahau. Baada ya kusema hayo nakushauri chukua hatua na Fanya juhudi upate mwingine kama ulivyompata yeye.
Ahsante kwa ushauri mzuri! Thank you for wishing me a quick recovery, I'm so sure i will be fine.Time heals everything thing don't force kumsahau, delete pictures and block number yake with time uta forget na usimchukie rohoni, hyo experience ni mbaya Sana ila ukipona utajiona mjinga kumpenda mtu wa hivo,pia sali Sana na wewe mtoe moyoni usiwe na kinyongo ili u attract mwanaume atakayekupenda, ukiendelea kumweka kichwani utaendelea ku attract wanaume ma player tu, pia pumzika mahusiano loh. Na Bora imekupata Sasa kabla hujaingia kwenye ndoa ndo ingekuwa pain maradufu sometimes we tend to love people who do not love us aisee. Pole wish you quick recovery and no situation is permanent in life.
Mkuu let me not answer this question hereπTangu muachane ulishawahi kunjunjana na mwingine?
Nimekuelewa mkuu, nataka nirudi shule tuπͺPole mkuu ila inawezekana mbona. Simply angalia upepo mwingine and find your true source of happiness. Dont invest your happiness in your spouse utakuja ufe. Tafuta kile kikupacho furaha from your life then explore it. Mahusiano ni nyongeza ambazo Mungu hutupatia lakini first and foremost its you and only you. #mamaamina#
Kwahiyo mkuu umefurahia alichokifanya jamaa? Ulishawahi kupitia situation hii pia?Kama its complicated hamuwezi kukaa sawa paka muachane, na mkiachana never go back, it's over hata iweje mwanaume usirudi nyuma km huyu msela wa financial.
Huwa naenda mkuu ila ntazidisha zaidi ahsante πNenda kwenye ibada mara kwa mara utasahau ujinga wote
Amen ahsante mkuuAtakuja mwingine
Duh grave mistake π i have a plan to get back to school just to keep me busy. I hope it's gonna work out πPole sweetheart. If you slept together, that's a grave mistake. Don't repeat this. Cha kufanya, go to school (such as further studies as the case may be) or professional certifications. At the same time, find at least two part time jobs or business. Wiki moja tu inakutosha kumsahau na kumuona he was a wrong choice
Na ananenepa kweli huku mimi nikipungua kg 5 hivi sahivi π«Kuachwa kuachwaa
Kuachwa ni shughuli pevu
Hasa kwa yule unayempenda
Wewe unakonda, yeye ananenepa
πΆπ΅π΅
Pole sana πNa ananenepa kweli huku mimi nikipungua kg 5 hivi sahivi π«
Ahsante mkuu nimekuelewa hapo kwenye kutafuta kitu kipya cha kufanyaπfanya kitu kipya ambacho hujawahi kukifanya. kama haujui kuendesha gari then go to driving school kama hujui karate go to a karate school.
njia nyingine, tafuta demu mwingine mkali ingia nae katika mahusiano. Kinacho kufanya uendelee kumuwaza huyo ni kwa sababu kwenye mind yako bado kuna idle space.
Kwamba ni ajabu mtu kumuomba msamaha mpenzi wake ili wasonge mbele?Yani ungekuwa dada yangu, alafu nimesoma hii komenti, ningekupiga sana mijeredi mkuu wangu