Jinsi gani nitaweza kuhifadhi njegere muda mrefu bila kutumia friji?

Likoje hill mkuu dah sijawahi kusikia

Sent from my itel it1408 using JamiiForums mobile app
jenga banda kama inavyoonekana kwenye picha, kuta zmejengwa kwa wire mesh nje na ndan alaf unaweka vipande vya mkaa katikati, humo utahifadhi mboga, matunda na vinywaji kwenye hali ya ubaridi
Nb: mkaa unatakiwa umwagiliwe maji asubuh, mchana na jion.
download-3.jpeg
download-2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga kwa miti kajichumba kadogo futi mbili kwa mbili kwa mbili ukuta wake weka mkaa mwagia maji huo mkaa, mfuniko tumia majani. Miaka Mia hiyo, hata ukitaka kupoza maji ya kunywa twende kazi. Hiyo ni friji ya bush

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom