Jinsi gani kijana unakuwa high value?

Jinsi gani kijana unakuwa high value?

Dmkongola

Member
Joined
May 28, 2023
Posts
6
Reaction score
8
Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie.

Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men.

High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
 
Kumbe unatafuta pesa na kujitengeneza ili uvutie wanawake? Jiangalie bro..
tapatalk_-1888890261.jpg
 
Back
Top Bottom