Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

Hii ni ishara tu ya matokeo ya kuua "curiosity" na kutengeneza "obedience", kuua "questioning" na kuhimiza "compliance", kuua "logic and reasoning" na kupandikiza "indifference", kuua "independent thought" na kutengeneza "bandwagon-minds"...yaani tangu utotoni na kupitia elimu zetu.

Ni ishara ndogo sana kupitia kundi dogo sana, ila bado ni ishara.
 
#HABARI Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole sabaya, ameagiza kukamatwa kwa mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni wakala wa kampuni ya biashara ya Q-Net, baada ya kuwatapeli wananchi wakiwemo walimu ambao kila mmoja aliingiza zaidi ya Mil.3, kwenye kampuni hiyo kama kiingilio, na kwamba ashikiliwe mpaka mtandao mzima upatikane na fedha kurudishwa.

Kuna video inaonyesha jamaa wa Q-net anababaika tu kwa maelezo, DC akatamka police waondoke nae,

Hii kitu imeliza wengi sana
Screenshot_20201211-181224.jpg
 
Bora hata huyo Sabaya amwamua kuwasanua. Hawa jamaa wanawatapeli sana watu kwa viingilio vyao vya kitapeli na serikali inajua sana. Ni wakati sasa intelijensia yetu ianze kufatilia mambo mambo haya kwa kina ili kuunasa mtandao wao wote
 
Wazee wa good morning hata saa 3 usiku, kuna haja ya serikali ku washika viongozi wao Nchi nzima wawekwe ndani, wametapeli watu wengi sana kwa hizo saa za million 4.5
 
#HABARI Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole sabaya, ameagiza kukamatwa kwa mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni wakala wa kampuni ya biashara ya Q-Net, baada ya kuwatapeli wananchi wakiwemo walimu ambao kila mmoja aliingiza zaidi ya Mil.3, kwenye kampuni hiyo kama kiingilio, na kwamba ashikiliwe mpaka mtandao mzima upatikane na fedha kurudishwa.

Kuna video inaonyesha jamaa wa Q-net anababaika tu kwa maelezo, DC akatamka police waondoke nae,

Hii kitu imeliza wengi sanaView attachment 1647415

Kwanini tusipige marufuku all network marketing ? Forever Living kina Kush na Mkewe wako wapi? Najua walihamia kanisa la Bushir ambaye naye ni tapeli mwingine.
Wengine wengi nao wanaleta majanga makubwa kwa watu bila sababu.
What else do we want to se to realize the evil of network marketing approach and their scams?
 
Back
Top Bottom