AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,534
- 23,224
Usiishi watakavyo ishi utakavyoWewe mwana jf mwenzangu unalionaje hili
Usiishi watakavyo ishi utakavyoWewe mwana jf mwenzangu unalionaje hili
Nime note kitu hapaAcha kujilinganisha na watu,utajikuta unaishi maisha ya huzuni kwenye uhai wako wote,maisha sio mashindano,
Life is a personal journey rather than a competitive race,
Life is not a race but a journey to be savoured at your own pace.
Dar waigizaji ni wengi sana wenye huo ukwasi ni wachache na hata ukiwa nao maisha n yale yale tu kikubwa uwe na uwezo wa kupata yale ya muhimu kwenye maisha.Hela ninayo ila haitoshi nikipata 1B washikaji zangu nasikia huko wamepiga kazi wamepata 20B we utakuwa sawa?
Tatizo lako nimeligundua. Wewe ni mtu unayedhani mafanikio ni kuwa juu ya wengine. Yaani muda wote unajilinganisha na wengine, huna malengo yako, na unataka uonekane wewe ndiye mjanja na mwenye mafanikio kuliko wengine. Watu kama wewe kila unachopata utakiona ni kama takataka kwa sababu tu umeona mwingine ana kizuri na cha thamani kuliko chako. Kwa namna hii utapata sana shida maishani na hutakaa uwe na raha. Naushauri ujiwekee malengo yanayoendena na uwezo wako, fanya kazi kwa bidii na ridhika na ulivyo navyo.Habari wana jf,
Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam
Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu
Kwasababu hizi chache
1. Ndio sehemu ambayo hunikumbusha kwamba ninaweza kuwa bora sana katika shughuli zangu za kiutafutaji au kuonekana ni mtu niliyefanikiwa huko nilipo lakini kila nikiwepo hapa hujiona si lolote wala chochote
2. Ni sehemu ambapo hunipa huzuni kwasababu hunionyesha uhalisia hata nipambane kiasi gani hata niwe na Bil 100 bado kuna Meza au nafasi sitazipata
3. Ni sehemu pekee hunionyesha kwamba naweza kupambana nikatengeneza misingi bora lakini kuna familia kamwe sitaweza kuzifikia hata kizazi kipite
4. Ndio sehemu naona vijana wengi wakiteketea kwa wingi kwasababu yakutaka kuishi au kuendana na life style ambayo iko juu ya uwezo wao
Pia ndio sehemu pekee vijana wengi wa mikoani wakimaliza vyuo hutamani kubakia kupambania kombe mwisho wa siku huishi maisha magumu sana kupita maelezo kumbe wakati mwingine fursa ziko nje ya dar au tanzania.
Kwahyo ni jiji ambalo hunipa huzuni na masikitiko moyoni
Wewe mwana jf mwenzangu unalionaje hili
Then keep living a miserable life simply because you perceive that someone else is wealthier than you.Humans are competitive in nature and always we strive to be the best. Thus telling me to just exist doesn't sit well with me
Nashukuru kwa nilivyonavyo lakini haimaanishi nisitamani cha zaidi.Tatizo lako nimeligundua. Wewe ni mtu unayedhani mafanikio ni kuwa juu ya wengine. Yaani muda wote unajilinganisha na wengine, huna malengo yako, na unataka uonekane wewe ndiye mjanja na mwenye mafanikio kuliko wengine. Watu kama wewe kila unachopata utakiona ni kama takataka kwa sababu tu umeona mwingine ana kizuri na cha thamani kuliko chako. Kwa namna hii utapata sana shida maishani na hutakaa uwe na raha. Naushauri ujiwekee malengo yanayoendena na uwezo wako, fanya kazi kwa bidii na ridhika na ulivyo navyo.
Being comfortable have made most creative and capable men regret their life choicesThen keep living a miserable life simply because you perceive that someone else is wealthier than you.
Narudia utapata shida sana sana. Hutakiwi uwe na wivu wa maendeleo. Unatakiwa uwe na malengo na juhudi za maendeleo. Kwenye maisha ukishajiona una wivu wa maendeleo basi ujue unapotea.Nashukuru kwa nilivyonavyo lakini haimaanishi nisitamani cha zaidi.
Wivu wa maendeleo ni muhimu na ushindani wenye afya huleta afya nzuri ya akili na mwili
Wazungu wanasema "accomplishing the task u thought was impossible arouse your adrenaline.
Nimecheka aiseKimbia huu mji wa manabii, wanga, waganga, Malaya, vibaka na wanasiasa wezi kuliko majambazi.
Policcm nao hawako nyuma, bora ukutane na jambazi kuliko policcm
Regret comes either way,Being comfortable have made most creative and capable men regreat their life choices
Hawezi kukuelewa mkuu,Narudia utapata shida sana sana. Hutakiwi uwe na wivu wa maendeleo. Unatakiwa uwe na malengo na juhudi za maendeleo. Kwenye maisha ukishajiona una wivu wa maendeleo basi ujue unapotea.
Ndio sehemu naona vijana wengi wakiteketea kwa wingi kwasababu yakutaka kuishi au kuendana na life style ambayo iko juu ya uwezo waoHabari wana jf,
Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam
Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu
Kwasababu hizi chache
1. Ndio sehemu ambayo hunikumbusha kwamba ninaweza kuwa bora sana katika shughuli zangu za kiutafutaji au kuonekana ni mtu niliyefanikiwa huko nilipo lakini kila nikiwepo hapa hujiona si lolote wala chochote
2. Ni sehemu ambapo hunipa huzuni kwasababu hunionyesha uhalisia hata nipambane kiasi gani hata niwe na Bil 100 bado kuna Meza au nafasi sitazipata
3. Ni sehemu pekee hunionyesha kwamba naweza kupambana nikatengeneza misingi bora lakini kuna familia kamwe sitaweza kuzifikia hata kizazi kipite
4.
Ndio sehemu naona vijana wengi wakiteketea kwa wingi kwasababu yakutaka kuishi au kuendana na life style ambayo iko juu ya uwezo wao
Pia ndio sehemu pekee vijana wengi wa mikoani wakimaliza vyuo hutamani kubakia kupambania kombe mwisho wa siku huishi maisha magumu sana kupita maelezo kumbe wakati mwingine fursa ziko nje ya dar au tanzania.
Kwahyo ni jiji ambalo hunipa huzuni na masikitiko moyoni
Wewe mwana jf mwenzangu unalionaje hili
Mafanikio ni tafsiri yako, Kila binadamu anayependa kubafilisha maisha anaenda dar, iwe wasanii wafanyabishara wakubwa, machagudoa wote ndoto zao dar. Nenda mikoani katagute ukipata kawekeze darYaani unataka mtu amalize Chuo IFM halafu baada ya hapo arudi Katavi. Hiyo elimu ataenda kuitumia kwenye shughuli gani?
Ufugaji wa nyuki ama nini?
Kuna wahuni huwa wanahimiza tuwe na wivu wa maendeleo.Narudia utapata shida sana sana. Hutakiwi uwe na wivu wa maendeleo. Unatakiwa uwe na malengo na juhudi za maendeleo. Kwenye maisha ukishajiona una wivu wa maendeleo basi ujue unapotea.
Hawa ni wahuni na wanajua nchi yetu watu wengi tuna tatizo la kutafakari. Huu msemo wa kusema ''tuwe na wivu wa maendeleo'' ndiyo unafanya tunakuwa na jamii iliyojaa wivu, inayotaka kupata mafanikio kwa gharama haramu huku tukitaka wengine waanguke.Kuna wahuni huwa wanahimiza tuwe na wivu wa maendeleo.
Haya maisha ukiridhika na hali yako hayakupi shida.Just be happy.
Huwezi kupata kila kitu.I'm competitive in nature siwezi kuwa happy just kuwa na ghorofa moja tu na vi apartment kadhaa tu na biashara
I just want everything, niwepo na kwenye Meza nzito za maamuzi that's why
Rizika na unacho PATA au unataka kumzidi GSM hiyo ndio shida mkuu, ushindani ni mambo ya zamaniI'm competitive in nature siwezi kuwa happy just kuwa na ghorofa moja tu na vi apartment kadhaa tu na biashara
I just want everything, niwepo na kwenye Meza nzito za maamuzi that's why