MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,595
- 3,460
Wewe ni kiazi kweli!
Hao uliowataja wanaua halafu wanasema kuwa wanapigana kwaajili ya mnyaazi mungu?
Wakiua wanakuwa wameshikilia kitabu cha imani gani?
Acha kujitoa akili wewe!
Unajua hako ka mchezo uliko fundishwa na babu kamekuharibu akili! LRA wanapigana ili wa itawale Uganda na waweke amri 10 za bibilia. Hujui lolote labda ka mchezo ka kushikishwa tofali! Unakashifu uislam ili upate nini? Ndio bibilia inakufundisha hivyo?
haya bana ndg yangu, lkn amini ipo siku utakakuja kuamini kuwa ALLAH ni Mungu wako, lkn itakuwa too late..
hebu tafuta quran usome mwenyewe between the lines, tafuta quran ya tafsiri soma vizuri inaelweka jamani..hebu hakikisha mwenyewe kama kweli hayo ni kweli? usisikie ya kuambiwa ndugu yangu...hebu tafuta ukweli mwenyewe kwa macho yako...dini yetu haifundishi kuua raia, in fact ni ktk madhambi makubwa kabs kuua mtu asiye na hatia..
huo ndio ukweli japo unaweza usiamini labda na hasira ulizonazo but that is the truth...anyway
Anaweza tu kuja mwendawazimu akaiba halafu akasema kuwa wewe umemtuma,atakuwa amesema kweli?
Tatizo lako akili yako umeiweka likizo,hao wanafanya hayo kwa mujibu wa andiko gani au ni walewale al-shaabab wanataka kuwapaka watu wa imani nyingine matope kwa sababu dini yao inawaunga mkono kwa wayafanyayo??
huna cha kunifundisha katika dini ila nadhani mnaelewa na mtaelewa tu kwamba nafsi zote zina thamani sawa na bila kisasi hamtajifunza.akikupiga ngumi ya sikio nawe mpige ngumi ya jicho akiikuliza unajisikiaje nawe muulize unaionaje?
Hizi porojo zako kamtafute wa kumpa
Nakuambia kwamba huyo sio Mungu wangu,Mungu wangu wangu hawezi kwenda Jehanam wewe,akafanye nini?
Mungu wangu ni mwenye upendo na ni mtakatifu na kamwe hawezi kuikaribia jehanam hata kidogo
Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 371
Narrated Anas:
The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'
Unalalama tu kuwa dini yenu haifundishi kuuwa bila kusema hiyo mistari hapo ilikuwa anaambiwa nani na kwanini,kama huyo ndio mungu anatofauti gani na shetani?
We chapati
Joseph kony ni muislam? Gaidi ni gaidi tuh awe amebeba bibilia au msahafu. Tatizo lako ww ni mjinga na udini umekupumbaza.
Umeielewa vibaya hapo mwisho!! mbona ni simple english
till Allah puts his foot OVER IT and it(FIRE) will say enough!enough!
WALA HAKUSEMA PUT HIMSELF IN IT, NA HAPA NA SAWA NA KUZIMA MOTO KWA KUUKANYAGA, ITS SIMPLE.
Umeielewa vibaya hapo mwisho!! mbona ni simple english
till Allah puts his foot OVER IT and it(FIRE) will say enough!enough!
WALA HAKUSEMA PUT HIMSELF IN IT, NA HAPA NA SAWA NA KUZIMA MOTO KWA KUUKANYAGA, ITS SIMPLE.
Umeielewa vibaya hapo mwisho!! mbona ni simple english
till Allah puts his foot OVER IT and it(FIRE) will say enough!enough!
WALA HAKUSEMA PUT HIMSELF IN IT, NA HAPA NA SAWA NA KUZIMA MOTO KWA KUUKANYAGA, ITS SIMPLE.
Hatakaa aelewe! Ameathiriwa ubongo na kale ka mchezo.
Una maana kwamba Allah atakuwa anazima moto ili wafuasi wake wasiungue mkuu. mkiambiwa ni shetani huyo hamuelewi...
wewe mbulula kweli... Mtu na elimu yake anaongea utumbo hivi?
Angalia na huyu
Ukizima moto kwa kuukanyaga unakuwa haupo eneo ambalo moto unawaka?
Swali la msingi:
Mungu ni mtakatifu na hana mahusiano na dhambi hata kidogo
Sasa huyo mungu wenu huko anakwenda jehanam kufanya nini?
Hiyo vita ni against Marekani au wanauana waisilamu wenyewe?Marekani anaomba suluhu huko Afghanistan na Iraq maana vita haishi..BIG UP AL-SHABAAB na BOKO HARAM
Point ilikua ni hapa SET FOOT OVER IT, na nikatoa mfano wa kuzima moto kwa kuukanyaga lakini sikusema Allah ataukanyaga ile auzime moto.Sasa kwe lengo gani? Ukifuatilia hiyo quote ya blue inamalizia hivi.Una maana kwamba Allah atakuwa anazima moto ili wafuasi wake wasiungue mkuu. mkiambiwa ni shetani huyo hamuelewi...
mwisho nakuomba na nakusihi sana usimtukane ALLAH, kwani ALLAH ni Mungu wetu, ni Mungu wenu na Mungu wa kila kitu. ALLAH ni Mungu mwema, msamehevu na mkarimu sana. Hapendi uonevu, ninakuomba tena na tena usimtukane ALLAH kwa upuuzi wa watu wachache. tupo waislamu wengi wazuri, tunawapenda watu wengine na tunaishi nao vizr kwenye jamii.
nafikiri umenielewa kaka riwa..
Pole nyingi ziwafikie jirani zetu Kenya. Kuhusu hili la waislamu sidhani kama wote wapo hivi. Ni vema tukawaita magaidi itatosha, wapo waislamu wengi wenye mapenzi mema.
Pole nyingi ziwafikie jirani zetu Kenya. Kuhusu hili la waislamu sidhani kama wote wapo hivi. Ni vema tukawaita magaidi itatosha, wapo waislamu wengi wenye mapenzi mema.