Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 613
Haloi mtu hapa
Hahaha humu kuna watu wanashangaza[mention]Gily Gru [/mention] mwenzako mwingine huyu hapa jamani kwa mliolowa ilikuaje kuaje em tupeni mbwinu
Hahaha humu kuna watu wanashangaza
Mimi ni mwanaume rijali ngoja nikae mbali na wanaume wa dar. Ila nashangaa kuna wanaume humu wanaloa wanaloa wapi?
View attachment 2779394
Nourhan Dr Restart mwanaume analowa wapi? Maana vijana wanalalamika wamelowa
Unaweza pigwa mawe. Watu wana sumuhaya mambo yanachekesha sana kwakweli
Mmeamua kutusengenya na chupi zetu nyeusi sasahalafu anavaa usiku wa manane
Hongera sana best yanguHata mie nimesoma sijahisi lolote nikasema labda kwakua nimenenepa na uzazi sina hisia
mwendelezo muhimu mkuu@INSIDER MANKuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.
Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.
Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
Mwanaume analoa tena?Hahaha humu kuna watu wanashangaza
Mimi ni mwanaume rijali ngoja nikae mbali na wanaume wa dar. Ila nashangaa kuna wanaume humu wanaloa😬 wanaloa wapi?
View attachment 2779394
Nourhan Dr Restart mwanaume analowa wapi? Maana vijana wanalalamika wamelowa
Uko vizuriMkuu mimi kama Manager nina haki ya kuwatetea vijana wangu, huwezi kumsimamisha kazi mtu bila utaratibu wa barua, ni sheria ya wapi hii?. Kwenye kampuni masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth yeye hapaswi kuyaingilia, alimsimamisha Sumaiya lakini hakumwambia mama Janeth, kwanini?.
Wewe unasoma story unaona Iryn kama ni humble sana ila alikuwa anazingua sana, na mimi sikuwahi kumkaripia zaidi ya kumchana ukweli. Alifanya hayo sababu ya hasira na wivu na maneno alokuwa anajazwa na Rebby.
Sumaiya ni mchapa kazi sana, kampuni ya usafi inakimbiza balaa kwasasa mpaka tender za serikali wanapata.
CEO huwezi mfukuza mtu kazi bila kukaa chini na Manager na mkajadili, na kwa upande wangu ningeonekana ni weak.
Kumpsy mtu kwa njia ya third party ni umbeya hakuna ukweli utakaopata maana Rebby naye alikuwa kimaslahi zaidi pia alikuwa hapatani na Sumaiya.
Bahati kwako unaongea kwa utani. Vinginevyo kitakachokukuta mimi simoKuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Huyu huyu GENTAMYCINE (GENTAMYCIN antibiotique), mkuu kuwa bc serious. Labda useme habibu Anga (The bold)Hata GENTAMYCINE hayupo duh bas batili list ako
Karibu Sana kamanda INSIDER MANNext Episode soon itakuwa kwa Air.
NaamNext Episode soon itakuwa kwa Air.
Bwana mkubwa story yako nzuri sana na matukio almost ni halisi kabsa. Nimefurahi ulivyomla lryn hyo ndio ilikuwa kiu yangu na nitafurahi kama utamjaza mimba ili mali zile ziwe kwenu mkuuNext Episode soon itakuwa kwa Air.