Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Yaani kuna jamaa Yuko tiktoker anaitwa Godove wanaendana nae maana yeye mambo yake ni kama haya haya.

Anataka kuwafanya vijana wa jf wajione hawana maisha wakowako.
 
Moyo wangu ulipiga paaah!, Moyo uliniuma sana, niliumia sana jamani. Hakuna siku ambayo niliumia kwenye maisha yangu kama hii na nilipatwa na hasira sana.

Muda huu mawazo yangu kichwani yalikuwa yananiambia Iryn alikuwa analiwa haiwezekani aniweke zaidi ya nusu saa. Ahh k*m*nina niliishia kutukana tu muda ule
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako alitaka kukurusha roho nawe umeitikia kama mawazo yake
 
Gharama ila mnazaa na Malaya wanawafanya vitenga uchumi tuna watoto na tunalea.

Tunachoangalia na kuzingatia ni mahitaji ya lazima mfano maziwa lactogen,nguo,unga wa uji kama ameanza kula pampas .

Sasa mnavyotuambia wanamaliza hela hela gani mnaongea nyie.

Acheni Hizo au mnadhani ndo nyie mnaolea peke yenu
Sawa boss
 
Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .

Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.

From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.

Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.

Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
Mimi sina hela ila nimeamini. Mzee watu wanahela sijui unanielewa ungebahatika hata kusoma na watoto wa kishua ungejua haya yalio andikwa ni kweli. Mtoto wa kishua kukupa simu kali zaidi ya simu ya baba yako na kesho ukamuona na nyingine ni kitu cha kawaida sana.

Halafu hata huyo godlove pamoja na kumsema hana hela ila bado hela anayo ukitaka kujua hilo igiza na wewe una miliki benzi na ranji alafu unatokea kwenye mjengo mkali
 
Sasa insider mtoto wa kishua kwani si amekueleza alikotokea
 
Mimi sina hela ila nimeamini. Mzee watu wanahela sijui unanielewa ungebahatika hata kusoma na watoto wa kishua ungejua haya yalio andikwa ni kweli. Mtoto wa kishua kukupa simu kali zaidi ya simu ya baba yako na kesho ukamuona na nyingine ni kitu cha kawaida sana.

Halafu hata huyo godlove pamoja na kumsema hana hela ila bado hela anayo ukitaka kujua hilo igiza na wewe una miliki benzi na ranji alafu unatokea kwenye mjengo mkali
Tukikusanya waendesha uber wote tanzania. Ni huyu tu aliyewahi toa 200k kwa mlinzi wa sehemu ya sitarehe. Nadhani umenielewa. Wanalinganisha kazi ya mhusika, kipato mara anazotoa
 
By the way...... Kuna watu Wana hela sio mchezo kipind nipo IFM om ni sinza tuu apo Ila Kuna dogo alikuwa usafiri wake BOLT...... hajawah panda dala dala na alkuwa anaish sinza A hii iliopo opposite na MLIMAN CITY..... sku moja nkamshawish tupande mwendkas anisndkze UBUNGO maji pale...... Anatka kulia kulivobanana kweny gari

Sasa bhn Kuna siku tukiwa campus maeneo ya canteen pale..... Akashangaa mtu anakula ugali na dagaa wa mwanza like what is this? Like seriously!! Nkamwambia hapana kila mtu ana favorite food na maeneo tuliyotokea plus uchumi........
 
Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .

Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.

From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.

Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.

Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
Seems you are economists by nature(joke) wakati najiandaa kwenda LIQUID apo uhasbu ku-popu Kuna mtu aningia Hyatt regency kununua the same bia Ila price tofaut uku bucket 15k...... Hyatt bia 6k moja mRa tano bucket hw much
 
Tukikusanya waendesha uber wote tanzania. Ni huyu tu aliyewahi toa 200k kwa mlinzi wa sehemu ya sitarehe. Nadhani umenielewa. Wanalinganisha kazi ya mhusika, kipato mara anazotoa

Nyie ndo mnaosoma juujuu, Ameacha Uber baada ya kifo cha Pama, after that akapata mkataba mpya ambao analipwa 3.5M. Bado anajiongeza kwa huko kwenye kuagiza mizigo watu wa clearing ndo wanajua michezo inayofanyika huku BM X6, kuna hela balaa. Bado salon anajiongeza na kina Lucy + Sumaiya bado ana mishe zake pembeni, nje na mshahara unafikiri Iryn Bossy wake alikuwa hampi hela??.

Wewe kwa ndugu yako aliyejifungua utampa kiasi gani cha hela?

Afu nikwambie sio kila Uber anashida, kuna wengi sana wanafanya kazi hii kama extra income na hawana shida na wengi tu nawajua wanafanyaga weekend na wanakazi zao safi. Pia wapo ambao nawajua Uber ambao wanafanya hii kzi kwaajili ya kupata madem, na pia wapo Usalama kibao wanendesha Uber, usikariri kila anaendesha Uber ni maskini.

Insider hata kwao inaonekana hawana shida ya maisha, Baba yake ni Engineer na yuko Zambia sasa unafikiri anashida ya maisha?. Engineer kufanyia kazi Zambia lazima uwe na qualifications nzuri na ndo alomchorea na ramani ya nyumba yake Dodoma.

Nimegundua wengi mnasomasoma juujuu na vitu vingi anaandika kwa Code sana ila alielezea vizuri sana, sisi tuliotoka naye mbali mpaka sasa tuko naye makini.
 
Mzee utanifanya niandae hela ya korosho kilo moja na karanga za kukaangwa za kutosha...ni kutafuna tu na kusoma simulizi
Kama vp anza next week kaka shusha vyuma taratbu
Tulia, naweza anza hata kesho but nawajua wadau wa humu. Nikiwaambia once per week hawataelewa kabisa, wanaweza kunifuata arosto ikizidi.
Maana baadhi wananijua had napofanyia kazi.
 
By the way...... Kuna watu Wana hela sio mchezo kipind nipo IFM om ni sinza tuu apo Ila Kuna dogo alikuwa usafiri wake BOLT...... hajawah panda dala dala na alkuwa anaish sinza A hii iliopo opposite na MLIMAN CITY..... sku moja nkamshawish tupande mwendkas anisndkze UBUNGO maji pale...... Anatka kulia kulivobanana kweny gari

Sasa bhn Kuna siku tukiwa campus maeneo ya canteen pale..... Akashangaa mtu anakula ugali na dagaa wa mwanza like what is this? Like seriously!! Nkamwambia hapana kila mtu ana favorite food na maeneo tuliyotokea plus uchumi........

Wakati niko UDSM nilikuwa na dem nimemtangulia mwaka yeye alikuwa UDBS huko, kula yake hajawai kula cafeteria yeye ni Mlimani city, usafiri wake ni Uber na alikuwa anakaa Mbezi Beach.

Nakumbuka iphone X yake ilianguka ikapasuka kioo, kesho yake akaja na nyingine na ile akanipa hapo mimi ndi choka mbaya sina maisha

Dem wa kishua balaa hajawai panda daladala yeye na uber tu, kula Mliman City. Ukiwa huna hela utaona haliwezekani ila ukiwa na hela utaona simple sana.

Kuna watu wanatumia hela huko batani sio poa mpaka unasema hivi Tanzania watu wana hela hivi?
 
Tulia, naweza anza hata kesho but nawajua wadau wa humu. Nikiwaambia once per week hawataelewa kabisa, wanaweza kunifuata arosto ikizidi.
Maana baadhi wananijua had napofanyia kazi.
Kesho unitag mzee tutakua sambamba kama chuma kitakua kikali
 
Wakati niko UDSM nilikuwa na dem nimemtangulia mwaka yeye alikuwa UDBS huko, kula yake hajawai kula cafeteria yeye ni Mlimani city, usafiri wake ni Uber na alikuwa anakaa Mbezi Beach.

Nakumbuka iphone X yake ilianguka ikapasuka kioo, kesho yake akaja na nyingine na ile akanipa hapo mimi ndi choka mbaya sina maisha

Dem wa kishua balaa hajawai panda daladala yeye na uber tu, kula Mliman City. Ukiwa huna hela utaona haliwezekani ila ukiwa na hela utaona simple sana.

Kuna watu wanatumia hela huko batani sio poa mpaka unasema hivi Tanzania watu wana hela hivi?
Mama yangu alinambia mwanangu sio kila aliefanikiwa katumia nguvu zake..... Akaniambia fanya kazi kwa bidii, iwe na imani, tafuta connection, watu wasikutegemee, tegemeanen km MUTUAL BENEFITS kwa wote...... Alinipa mifano mingi na ndo jamaa nae naona katoa the same story japo walkuwa sio madreva Uber but acha kabisaa maishani tuombe na tutoke kukutana na watu ni kutoka mzee wangu..... I like that
Kaka acha kabisaa Kuna watu vibunda sio shida zao...... Nilivokuwa chuo nilijiona ela sina kabisaa......

Nilikuwa naenda kuruka viwanja kwelii.... Sikuwa nategemea sana watu... Sijui kunywa au kula not....... Ila nilikuwa na madem watatu karibu mno walkuwa na ela ikitokea Assignment mm ndo nafanya , sjui presentation wapo na Mimi nilikuwa napelekwa sehem ambazo sijawah fika.... Hotels hiz daslam, restaurant masaki uko na viwanja vya Bata nilifika kutokana na ile circle ya madem plus dogo Yule.....

Sehem chache alizotaja jamaa sijafka kwakwel......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom