Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 692
- 546
Yaani kuna jamaa Yuko tiktoker anaitwa Godove wanaendana nae maana yeye mambo yake ni kama haya haya.Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Anataka kuwafanya vijana wa jf wajione hawana maisha wakowako.