Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapa NIDHAMU ni muflisi kwako ndugu INSIDER MAN. Ungekuwa umepita JKT usingejipangia siku na saa ya kikao na BOSSYLADY Irene.

Hata kama kuna quarrel na bosi zisizohusiana na kazi, hiyo haikupi nafasi ya kuwa unprofessional na kum toss boss huku na kule. Ni sawa kuuchochea moto unaowaka badala ya kuuacha ujifie wenyewe.
Big no kiongozi..., unless uwe unaifanya/umeipata hiyo kazi kimazabe na hauna weledi wowote kazini ila kwa mfanyakazi anayejitambua na anaelewa umuhimu wake yani anajua kabisa uwepo wake unaongeza kitu katika taasisi/kampuni husika kuna wakati lazima awe na misimamo na hii hukuongezea thamani pia. Waswahili tuna usemi wetu, "Ni heri lawama kuliko fedheha."
 
Kitakachofuata kwenye kikao ni termination tu na siyo inshu nyingine, Irene ashaona mwamba ameanza kupoteza umakini na kwamba hawezi tena kuipush forward Kampuni maana amekuwa na mambo mengi.

Kingine muajemi baada ya kuona kimya kwa ule mchongo hewa wa bwana Insider, atampigia Irene kuhusu yeye kutoa 12M za maandalizi kwenda mbuga ya wanyama huko, na hapo sasa ndio vita itakuwa kubwa zaidi maana Irene atamfuata tena this time mambo yatakuwa makubwa na mabaya mno, tena hata Mama J atajua jinsi Insider alivyokuwa anamfanyia Irene.
Nami naona msala unaokuja ni mkubwa zaidi, ushauri kwa insider, ahame pale anapoishi coz lyn anapafahamu, ikibidi abadadilishe na namba ya simu kabisa,
 
Hapa NIDHAMU ni muflisi kwako ndugu INSIDER MAN. Ungekuwa umepita JKT usingejipangia siku na saa ya kikao na BOSSYLADY Irene.

Hata kama kuna quarrel na bosi zisizohusiana na kazi, hiyo haikupi nafasi ya kuwa unprofessional na kum toss boss huku na kule. Ni sawa kuuchochea moto unaowaka badala ya kuuacha ujifie wenyewe.
Usomage na aliyeandika ujumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom