Jini la petrol

Jini la petrol

Geographical factors,marekani ni kubwa sana kutoka sehemu moja na nyingine ni sawa kutoka dar to cape town, sasa ukitengeneza magari yenye engine dongo itakuwangumu kusafir umbali mrefu,ndio maana marekani wanapendelea magari ya engine kubwa tofaut na Europe ambayo ni ndogo kigeographia,
Gari ndogo ukisafiri kwa umbali mrefu inakufa engine mapema sana,umbali wa kilometer 3000 lazima utumie magari yenye cc kubwa sana
Umejibu vyema sana, nilikuwa najiuliza sababu ya hawa jamaa kipendelea gari hizi;

Mkuu, magari mengi ya Kimarekani ni muscle cars, engine zake zinaanzia 3000cc to 5000cc. Angalia Ford mustang ambayo ni saloon car utaona ukubwa wa engine. Mpaka leo hii, Marekani hawatengenezi magari ambayo ni 'economy' kwenye mafuta. Hata Japan cars ambazo zinatengenezwa kwa soko la Marekani, ni muscle cars tena Petrol engine.

Huwa najiuliza kwa nini gari zao zipo hivi, au wenzetu wana offer ya mafuta nini?? Na wanazipenda kweli kweli
 
Ukinunua gari ya engine kubwa(hummer) alafu unaenda nayo mikocheni_posta tu kila siku kwa miaka 5 mm nitakuona mshamba coz gari ilo ni la safari ndefu alafu ww unatumia kwa matumizi ya kilometer 10 kwa siku tena kwny foleni za dar,ni kupoteza mafuta tu(pesa)
 
ha hahaha kawivu kweli .. na haka kafoleni kakijinga aisee nadani nic hini ya hapo..
 
Watu wengine huwa tunaishangaa serekali inapowalipa polisi kwenda kukimbizana na makahaba. Muda huo wangeliwaruhusu polisi kwenda kuangalia tv nyumbani kazi yao ingekuwa ya hali yajuu. Sasa weye mshan jr si lazima tukushangae unapoliita hili gari kuwa ati ni jini la petrol?? Hiyo gharama unaiona weye lakini mwenye nalo anakushangaa weye kumshangaa.
Anapoenda kulinunua anasoma maelekezo yake. Anajua kuwa ulaji wa hayo mafuta ni huo. Anajua kuwa hachimbi mafuta uani kwao. Hivyo akienda kituoni anajua kabla hawajaingiza mrija wa mafuta kwa gari, mfukoni ana ngapi.
Usiseme hatuna hela, sema sina hela. Matumizi yanatofautiana. Hiyo mbona mwingine anatamani atoke nayo Tanga kwenda Dar kulala kule coco beach arudi jioni kulala Tanga tena kila weekend?
Sio kipindi hiki cha Magu wengi wameyapaki uani
 
Huwa najiuliza kwa nini gari zao zipo hivi, au wenzetu wana offer ya mafuta nini?? Na wanazipenda kweli kweli
Wamarekani wanapenda vitu vikubwa tu.....lakini wana reserve kubwa ya mafuta kuliko nchi yoyote duniani. Lakini kumbuka pia wao wanachukua mafuta uarabuni kwa bei nzuri.

Ila honnestly, engine ya Petrol ikizidi 300cc ni shiiiidaaa!!!!
V8 ya Petrol au V12 unatakiwa uwe sawasawa. ukiweka mafuta ya 20k haufiki town from Mbezi, lazima yaishie njiani tu.
 
Geographical factors,marekani ni kubwa sana kutoka sehemu moja na nyingine ni sawa kutoka dar to cape town, sasa ukitengeneza magari yenye engine dongo itakuwangumu kusafir umbali mrefu,ndio maana marekani wanapendelea magari ya engine kubwa tofaut na Europe ambayo ni ndogo kigeographia,
Gari ndogo ukisafiri kwa umbali mrefu inakufa engine mapema sana,umbali wa kilometer 3000 lazima utumie magari yenye cc kubwa sana
correct na wadau wasisahau kwamba marekani anachimba mafuta na anauza kwa gallon ambayo ni kama lita tano na yanauzwa cheap zaid bei ya lita moja hapa Tanzania,,
 
leo nachota maujuzi...ila kwa kasi ya mkuu,Mmmh sijui km kale kampango ka kununua hummer katawezekanika! Mshana jr,itabid uniazime hilo pichani japo niosheee
 
V12 SUV halafu makazi Mbezi Beach kazi Kurasini
1458126658479.jpg
1458126696430.jpg
 
Tatizo watu wanakua na gari moja tu, hilo hilo kazini, kwenye mchepuko, kanisani, msibani, outing etc.

Gari kama hilo linakua special for special events, sasa watu km wewe Mshana ndio mnawaza hilo gari ni kama kivuli kua nalo kila sehemu hadi uone huruma kwa mtumiaji
 
Back
Top Bottom