Mkuu, magari mengi ya Kimarekani ni muscle cars, engine zake zinaanzia 3000cc to 5000cc. Angalia Ford mustang ambayo ni saloon car utaona ukubwa wa engine. Mpaka leo hii, Marekani hawatengenezi magari ambayo ni 'economy' kwenye mafuta. Hata Japan cars ambazo zinatengenezwa kwa soko la Marekani, ni muscle cars tena Petrol engine.Hapa Ndipo Wamarekani walizidiwa akili na bara Asia hususani Japan, South Korea na China. Wao walitambua zamani sana kwamba uwekaji wa mafuta unaadhiri kipato cha mtumiaji wa hilo gari.
Hili gari najua ni protype ya magari ya kivita. Nafikiri ni la wenye nazo pekee.
Lakini pia miaka ya nyuma serikali ya Uingereza imetofautiana sana na serikali za kiafrika. Zamani serikali nyingi za kiafrika walikuwa wananunua Land Rover na Leyland kwa magari ya polisi na kijeshi.
Sasa hivi budget ya kununua hayo magari imepungua sana. Serikali nyingi zimenunua Land Cruiser kwa ajili ya jeshi la polisi na kwa magari makubwa wananunua kwa muingerea kwa sababu Japan hawatengenezi kwa wingi.
Aaah kumbe haina tofauti sana na hizi GX100 ambazo ni 6-7km per litre!5km per litre inakuwa mpya...hii mitumba ya Tanzania ni ratio ya km 4 per litre..
Poleni wamiliki wa haya madude...maumivu yenu tunayatambua...japo kawivu pia kapo
duh!Ukipiga start, nusu lita