Jinamizi la kupandisha bei vifurushi linaitafuna sanaa yetu, views milioni zinatafutwa kwa tochi

😂😂 pole mkuu, ila ujue nini, hebu ingia kwenye data usage kule kwenye settings ucheki huo mtafuno umekuwaje
kaka ndiyo kazi zangu hizo settings zote nazijua vizuri mnoo yaani ,hawa ni wezi hiyo mb 600 ni botion hapo uhakika wanatoa 250 mb hii awamu ya sita kwa kweli sasa hapo TCRA hutawasikia zaidi ya kufungia nyimbo za ney wa mitego na kuacha za kina meja kunta za kuhimiza wadada watoe kwa mpalange
 
kama unaweza ndugu nisaidie hata buku nimeomba hadharani hapa niweke kwenye airtel ingawa speed ya kobe najua siyo wezi nina kazi usiku huu kutuma logo jamani dah nitakulipa hata kesho au kama unapenda vitabu nikutumie..aibu sana hii awamu ya sita nyooko
 
download app ya halo pesa wanakupa gb 2 free

au tafta line ya tigo tuma BURE kwenda 15166 utapata gb 2 free
 
download app ya halo pesa wanakupa gb 1 bure

au tafta line ya tigo tuma BURE kwenda 15166 utapata GB2 free
nishafanya hiyo ya halotel nikapata gb 2 nilichojifunza kwao ukiweka kuanzia 3000 kupata gb 2 hawaibi na kawaida mimi huwa naweka 3000 hadi 10,000 ila kuanzia jana nimepata kazi ya logo ya dollar 100 mteja yuko Uk anataka still na animated logo anataka aone kazi kwanza alipe hela na namjua ni mtu straight hana longolongo nikaweka buku ya kwanza dk 4 imebaki 149 leo tena mara mbili the same issue na zote nakopa kwa mdau wa halopesa aisee nimenyosha mikono juu najua for sure awamu hii ya sita hakuna mtetezi kabisaa..anyway basi aisee nitajua kesho kumuelezea ukweli tu anitumie hata 10k ya bando ingawa heshima itashuka
 
kaka ndiyo kazi zangu hizo settings zote nazijua vizuri mnoo yaani ,hawa ni wezi hiyo mb 600 ni botion hapo uhakika wanatoa 250 mb hii awamu ya sita kwa kweli sasa hapo TCRA hutawasikia zaidi ya kufungia nyimbo za ney wa mitego na kuacha za kina meja kunta za kuhimiza wadada watoe kwa mpalange
Voda nilinunua mb 2200 (2gb+) lakini nikaishia kudownload file la mb 400 nikaambiwa nimefikia kikomo.
 
WHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
Unajiita mtu wa It kwenye simu yako utakuta umeweka Facebook App, na Insta. Hizo ukiweka tu Bundle zinaanza kudownload automatic, Ili ukiifungua Vitu visianze kuload, So kuweni makini, Mitandao haiibi Kabisa bando zenu kama huamini nenda kwenye setting Search Usage kisha angalia App zinazoongoza kwa kula Bando kwenye simu yako, Facobook na insta lazima zikushangaze
 
hahahaha
 
Kuongeza gharama kwenye vifurushi kumeturudisha sana nyuma. Kinyume kabisa na dunia inakoenda.
 
Sasa hivi wanapiga pesa balaa. Tigo hawana hata aibu, wanasema wameongeza bando. Ingia uangalie utatamani kulia
Unanunua bando la internet lkn unakuwa na mawazo sana kulitumia.
Kifurushi cha wiki 1500 nilikuwa napata 150dk, 100sms na 1Gb
Sasa hivi 100dk, 40sms na 800mb
Wameona mpk sms nafaidi sana.
Tunapoelekea km upo mjini, mnajichanga watu 10 mnavuta fibre tu.
WHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
 
WHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
yan wew ni mimi 100% hawa jamaa ni nyoko week hii nimeunga bundle mara 5 ni mwendo wa 75% tu
 
Unajiita mtu wa It kwenye simu yako utakuta umeweka Facebook App, na Insta. Hizo ukiweka tu Bundle zinaanza kudownload automatic, Ili ukiifungua Vitu visianze kuload, So kuweni makini, Mitandao haiibi Kabisa bando zenu kama huamini nenda kwenye setting Search Usage kisha angalia App zinazoongoza kwa kula Bando kwenye simu yako, Facobook na insta lazima zikushangaze
lakin kipindi cha nyuma mbona zilkua zinakaa kwamba saivi update za simu ndo zimekua nyingi mno kama alvyo sema ex waziri ndugulile
 
hakuna cha wizi mkuu, tatiz wengi bado hamja adjst na mabadiliko ya mabando, usitumie bando kama zamani zilivyokuwepo gb za kutosha.

Ukitaka kuamini hili ingia sehemu ya data usage kapige hesabu,
 
Unajiita mtu wa It kwenye simu yako utakuta umeweka Facebook App, na Insta. Hizo ukiweka tu Bundle zinaanza kudownload automatic, Ili ukiifungua Vitu visianze kuload, So kuweni makini, Mitandao haiibi Kabisa bando zenu kama huamini nenda kwenye setting Search Usage kisha angalia App zinazoongoza kwa kula Bando kwenye simu yako, Facobook na insta lazima zikushangaze
Najua ninachokisema,ukiweka gb2 ya 3k ulaji wake wa kawaida hiyo mb 600 kwa.buku ni disaster,naku challenge iweke halafu kaa hapahapa jf 5 minutes uje unipe jibu by the way nishahama niko airtrl hawana speed ila siyo wezi
 
Kimsingi mtu hutakiwi kutumia mb kwa mawazo kwa dunia ilipofika...
Ila hizi bundle huwa nabaki nacheka tu, kuna jamaa yangu anajifanya bingwa wa kukaa online kila mtandao yupo jana ananiambia Tiktok kaifuta kabisa...
Mwingine ananiambia siku hizi haingii insta..
Mwingine anacheza na social bundle hata whatsapp anaonekana kwa manati..
Watu kama hawa YouTube wakatafute nini achiliambali audiomark sijui Spotify.

Kwenye hili wasanii wameangushiwa kitu kizito kichwani, kwa msanii ambaye hana matangazo ya biashara na show hapati sijui anaishije.

Ila mtu kama huna hela ya mawazo unga kasi internet ya mwezi kwa 50k gb 37, hata gb zikikata unaendelea kustream kama kawaida.

Mimi kwa sasa hilo bundle ndo linanipa jeuri , la sivyo ungekuwa msala mkubwa, maana kwa siku natumia gb 3 mpka 5.
 
Back
Top Bottom