Jina lako kamili ni nani?

Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?

Mimi langu ni GRACE ANDERSON.

Utakuwa sio mtanzania wewe maana watanzania tuna majina matatu, mfano mimi ni Kagurui Songalile Nyangaribaya
 
Mimi naitwa Sinakitu Naringa Chaurembo vp unakingine cha kuuliza?


If your not right...go left,,
 
Back
Top Bottom