Zuberi Magoha
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 208
- 69
Kichwa cha habari cha Mwananchi ni: Jina la JK laongoza marais 100 watakaomzika Mandela. Kuna gazeti pia liliandika kuwa JK atazungumza kwa niaba ya SADC. Sijui hawa wahariri wanatoa wapi taarifa, wanafanya watanzania kuonekana tunajikweza sana duniani na baadaye kufadhaika bila sababu.
Vipi sasa alipata kutoa hotuba kwa niaba ya SADC ?