Jina La Rais Jakaya M. Kikwete Kuongoza Marais 100 watakaomzika Nelson Mandela Leo

Kichwa cha habari cha Mwananchi ni: Jina la JK laongoza marais 100 watakaomzika Mandela. Kuna gazeti pia liliandika kuwa JK atazungumza kwa niaba ya SADC. Sijui hawa wahariri wanatoa wapi taarifa, wanafanya watanzania kuonekana tunajikweza sana duniani na baadaye kufadhaika bila sababu.

Vipi sasa alipata kutoa hotuba kwa niaba ya SADC ?
 
Si mwanccm, lkn hii haimaanishi nimchukie JK kama wengine wanavyo fanya hapa mtandaoni,. Mfano katika hili suala linalo husu kifo cha Mandela utamponda JK kwa lipi? Tubadilike jaman tofauti za vyama zisitufanye kukosa utu, heshima na uzalendo kwa kiongozi wa nchi kiasi hiki! Tunamkosoa JK kwa hoja lkn si kwa dharau kiasi hiki!
 
Kichwa cha habari cha Mwananchi ni: Jina la JK laongoza marais 100 watakaomzika Mandela. Kuna gazeti pia liliandika kuwa JK atazungumza kwa niaba ya SADC. Sijui hawa wahariri wanatoa wapi taarifa, wanafanya watanzania kuonekana tunajikweza sana duniani na baadaye kufadhaika bila sababu.

Vipi sasa alipata kutoa hotuba kwa niaba ya SADC ?
 
Welcome back to earth wapuuzi wote mnaojaribu kulinganisha mlima JKN na kichuguu JMK! Just imagine Mwalimu ndiye angetua hapo uwanjani; hata akina Obama wangempisha. Amini usiamini, kubali usikubali; nchi hii imedharaulika kikwelikweli machoni mwa wastaarabu!
 
Nilipoona hii heading kwa gazeti la mwananchi nilijiuliza huyu mwandishi na mhariri wa hii hbr kama wanaitendea haki jamii. Hata kwa asiyeenda shule hawezi kubali uandishi wa kipuuzi namna hii, eti mtu kua wa kwanza kwa list, just list ni hbr. Inanifanya niamini kuna waandishi wanaandika hata kile ambacho wenyewe wasingependa kukiandika, ila ni kufurahisha yule mwenye mkono mrefu na wenye asali
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom