Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Elimu inaingiaje hapa; kama kuongoza in real sense itakuwa kiongozi wa kidini mkuu unless President Zuma is
zuma ni mfiwa kwa hiyo anasaidiwa na mzee kikwete, mnafiki kagame kaogopa kwenda?
Kiongozi wa kidini ataongoza ibada ya mazishi na Zuma ataongoza mazishi yenyewe kwa ujumla wake,ibada ikiwa ni sehemu tu ya shughuli. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.
Kagame ana hasira mbaya duuuuu!!.. kakausha kama hayupo.
Atakuwa alipiga simu wa kwanza kuulizia timetable.........:A S 39::A S 39::A S 39:
zuma ni mfiwa kwa hiyo anasaidiwa na mzee kikwete, mnafiki kagame kaogopa kwenda?
Mjadala ndani ya mjadala hapa tutaharibu uzi wa watu!!!!Kiongozi wa kidini ataongoza ibada ya mazishi na Zuma ataongoza mazishi yenyewe kwa ujumla wake,ibada ikiwa ni sehemu tu ya shughuli. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.
Wivu wa kike utakutoa meno.
Nyie vijana wa kichaga ni wa ajabu sana.
Kwa hiyo jina likiwa la kwanza kwenye listi ndio kuongoza????!!!!!!
Watu wa protokali hebu tufafanulieni hapa!!!!!
Kagame atakuwa anaogopa ujio wa wale wakubwa.. Ila komredi Mugabe yupo ndani ya nyumba kama kawaida pale ni kama kwake
ukisimamia haki huwezi kumwogopa mtu yeyote , ndiyo maana komredi Mugabe yupo ndani ya nyumba! Kagame kwanza ni wanted wa the Haque kwa uporaji na mauaji ya halaiki ya wahutu na wakongomani, macho yake atayaweka wapi mbele ya ulimwengu uliostaarabika katika mazishi ya mtu aliyetukuka?
Kagame atakuwa anaogopa ujio wa wale wakubwa.. Ila komredi Mugabe yupo ndani ya nyumba kama kawaida pale ni kama kwake
Kawanunia.
SA President Zuma ndiye atakaye ongoza mazishi na hii haiitaji hata uwe na elimu ya Mulugo kujua hii issue!
IBy the way President Obama na X Presidents Jimmy Carter;G W Bush;Bill Clinton wote watatua kwa pamoja Oliver Tambo National Airport na Airforce One bado kuna mtu anataka tuamini JK wetu atawaongoza hawa vingunge ugenini?
Kagame atakuwa anaogopa ujio wa wale wakubwa.. Ila komredi Mugabe yupo ndani ya nyumba kama kawaida pale ni kama kwake
Kwa kweli hili jambo linashangaza.Sasa Rais Kikwete ameongozaje mazishi ya Mandela?
Halafu kazi ya Zuma itakuwa nini
Ila kajamaa kanafiki sana na kakorofi, usije ukashangaa kakirnda kwa sababu mpaka sasa hivi hakuna sheria ya kumkamata . Japo anatuhumiwa ila hana hatia bado