Jina La Rais Jakaya M. Kikwete Kuongoza Marais 100 watakaomzika Nelson Mandela Leo

Elimu inaingiaje hapa; kama kuongoza in real sense itakuwa kiongozi wa kidini mkuu unless President Zuma is

Kiongozi wa kidini ataongoza ibada ya mazishi na Zuma ataongoza mazishi yenyewe kwa ujumla wake,ibada ikiwa ni sehemu tu ya shughuli. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.
 
Kiongozi wa kidini ataongoza ibada ya mazishi na Zuma ataongoza mazishi yenyewe kwa ujumla wake,ibada ikiwa ni sehemu tu ya shughuli. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.

Kak swali langu ni je JK ndiye atakayeingoza mazishi? Kama ni hivyo mbona sioni jina lake kwenye intl media coverage? Ina maana JK amekuwa MC siku hizi
 
Kiongozi wa kidini ataongoza ibada ya mazishi na Zuma ataongoza mazishi yenyewe kwa ujumla wake,ibada ikiwa ni sehemu tu ya shughuli. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.
Mjadala ndani ya mjadala hapa tutaharibu uzi wa watu!!!!
Hiyo tofauti kubwa ndio convention yenyewe sasa itayohitaji uzi wa pekee!!!
 
Kagame atakuwa anaogopa ujio wa wale wakubwa.. Ila komredi Mugabe yupo ndani ya nyumba kama kawaida pale ni kama kwake

ukisimamia haki huwezi kumwogopa mtu yeyote , ndiyo maana komredi Mugabe yupo ndani ya nyumba! Kagame kwanza ni wanted wa the Haque kwa uporaji na mauaji ya halaiki ya wahutu na wakongomani, macho yake atayaweka wapi mbele ya ulimwengu uliostaarabika katika mazishi ya mtu aliyetukuka?
 
Ila kajamaa kanafiki sana na kakorofi, usije ukashangaa kakirnda kwa sababu mpaka sasa hivi hakuna sheria ya kumkamata . Japo anatuhumiwa ila hana hatia bado
 
SA President Zuma ndiye atakaye ongoza mazishi na hii haiitaji hata uwe na elimu ya Mulugo kujua hii issue!

IBy the way President Obama na X Presidents Jimmy Carter;G W Bush;Bill Clinton wote watatua kwa pamoja Oliver Tambo National Airport na Airforce One bado kuna mtu anataka tuamini JK wetu atawaongoza hawa vingunge ugenini?

Hao US presidents wameshatua kitambo ktk uwanja wa WaterKloof Air Force Base, na wanatarajia kutoka Pretoria to J'burg by Motorcade soon.

Also, you can search via google the quote below and get live coverage of Mandela's Memorial service from FNB Stadium.

"Nelson Mandela has died. Live Coverage from eNCA"
 
Sasa Rais Kikwete ameongozaje mazishi ya Mandela?
Halafu kazi ya Zuma itakuwa nini
Kwa kweli hili jambo linashangaza.

Kwa kigezo gani cha kumfanya Kikwete aongoze mazishi ya Mandela?

Au rekodi yake ya kuhudhuria mazishi ya watu wa jamii mbalimbali, wakiwemo hata watu wa kawaida sana, ndilo limempandisha chati, hadi kupewa wadhifa huo, wa kuongoza viongozi wote duniani, katika mazishi hayo ya mzee Mandela, mtu anayeaminika kuwa, miongoni ya watu mashuhuri sana, walioishi katika karne hizi ya 20 na 21?
 
Unajua vitu vingine mnapoandika na kutaka sifa za KIJINGA muwe mnatumia AKILI, embu Niambie kunasehemu yeyote hapo alipotajwa KIKWETE? au HATA TANZANIA?

1471135_10151902879451156_1435573065_n.jpg

Invisible please pandisha hii kitu kwenye THREAD maana hakuana sababu ya kubishan wakati kila kitu kipo hapa, na hiyo ndio OFFICIAL RATIBA ya HUKO.
 
Last edited by a moderator:
Ila kajamaa kanafiki sana na kakorofi, usije ukashangaa kakirnda kwa sababu mpaka sasa hivi hakuna sheria ya kumkamata . Japo anatuhumiwa ila hana hatia bado

hata safari za nje huyu mnafiki amejaribu kuzipunguza sana tangu alipotunguliwa na mayai yaliooza ulaya. Ungeshangaa wa South Africa wamrushie mayai viza na kusahau shughuli ya msiba mkubwa uliombele yao.
 
Haya siyo mapenzi ni mahaba! Kiwete atamuongoza hata Obama wakati alipokuja hapa walinzi wa Kikwete walipelekwa likizo ya lazima? Tanzania hii kuna watu wanamuona Kikwete anamungoza Mungu!!!
 
Hii nyomi aliyoikusanya jamaa...sijui watu wa conspiracy theories watakuwa na lipi la kutueleza
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom