hahahahaha, hapo sasa!labda tungekwenda mbali zaid na kujua kwao lina maana gani. kwani lawezekana likawa tusi kwetu ila kwao likawa ni jina la mtu.
kwetu Machame MBORO NI jina la UKOO, na mabianti wao huitwa MAMBORO ilihali wakaka huitwa MBORO sasa je wamachame hawaongei kiswahili?? ama hawajui kwamba mboro ni uume?? jina hili kichaga lina maanisha "" enye nguvu"".
istoshe kiswahili ------ NI TUSI kubwa sana ila kimachame ------ ni fimbo(mkongojo)
gfsonwin naona hii definition ya Kimachame inaendana sawia kabisa na kiswahili chake!.labda tungekwenda mbali zaid na kujua kwao lina maana gani. kwani lawezekana likawa tusi kwetu ila kwao likawa ni jina la mtu.
kwetu Machame MBORO NI jina la UKOO, na mabianti wao huitwa MAMBORO ilihali wakaka huitwa MBORO sasa je wamachame hawaongei kiswahili?? ama hawajui kwamba mboro ni uume?? jina hili kichaga lina maanisha "" enye nguvu"".
istoshe kiswahili ------ NI TUSI kubwa sana ila kimachame ------ ni fimbo(mkongojo)
Jamani mbavu zangu!hakya MBUZI TENA KUNA WATU MNATAFSIRI BALAA.
Japan iko team inaitwa Kumamoto
Jamani mbavu zangu!
Itabidi unitumie Kilimanjaro ya mbeho nizipoze!.
Ni jina la uwanja mkuu, nakumbuka ule wakati wa 2002 world cup mtangazaji alisema Mbo mpenza apiga goli safi ndani ya kumamoto (mbo mpenza mchezaji mniga wa ubelgiji)
Heri ya Safari naweza kuanzisha nyingine mwenyewe, lakini eagle noma uzito wangu mdogo inaweza kunipaisha na nikashindwa kupaasina mbawa!.swadakta ila huku kwetu bia ni safari tu na eagle tena hii inaitwa ya wajane umewah kuiona??
Mkuu Gitifii na huyu tuseme amekalia kiti aina gani?.Ni jina la uwanja mkuu, nakumbuka ule wakati wa 2002 world cup mtangazaji alisema Mbo mpenza apiga goli safi ndani ya kumamoto (mbo mpenza mchezaji mniga wa ubelgiji)
eagle bana sijui hata waliwaza nini wallah!Heri ya Safari naweza kuanzisha nyingine mwenyewe, lakini eagle noma uzito wangu mdogo inaweza kunipaisha na nikashindwa kupaasina mbawa!.
Nimeona wengi wanaigigida kwa kuwa ni nafuu kidogo, lakini wengi wanishia kuweweseka dada!.
Hapo kwenye blue, swala la chunvi linahusika!eagle bana sijui hata waliwaza nini wallah!
lkn vibibi vya kichaga vinaiita bia ya wajane ukiwakuta wanaigigida utasema sio wabibi halafu havilewi kabisa sasa ngoja waguse vijana ambao msosi ni ishu moja tu wanaanza kuimba mapambio
aaah! kumbe hujaelewa??Hapo kwenye blue, swala la chunvi linahusika!
Lakini kwenye red kuhusu kuwa ya wajane sijang'amua kitu kabisa maana sijaona uhusiano hata kidogo kati ya mme na eagle!.
Coment yako inareflect hisia za aliyekikali!.nataman ndo kingekuwa kiti chanagu cha ofc lol!
kila siku mfanyakazi bora ningekuwa mm manake wa kwanza kufika na wa mwisho kutoka ndani ya ofc.
muda wote nimekalia kiti kuchapa kazi sina muda wa kuzurura kwenye meza na ofc za awatu kuongea lol!
Hallo Mwali. Hujambo?.Ufahamu wako wa jiografia ya hilo eneo unanishangaza.Ulifanyaga field-work huko au?Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!