Mbona mnaharibu majina ya watu bhana, kama ingekuwa mimi ningegoma kuingia mpaka mni-address kwa jina langu kamili. Halafu unakuta ndiyo nimeleta misaada sitoi mpaka mnitaje jina langu full. LOL.Hilo jina ni kweli kabisa mmoja yupo hapa Tanzania alikuja ofisini kwetu akajitambulisha hivyo, badala ya kumpokea tukaangua kicheko wote, ikabidi tumfupishe tumwite MR MOTO.
Mbona mnaharibu majina ya watu bhana, kama ingekuwa mimi ningegoma kuingia mpaka mni-address kwa jina langu kamili. Halafu unakuta ndiyo nimeleta misaada sitoi mpaka mnitaje jina langu full. LOL.
Poleni sana mbona majanga yaliwakuta.Hahahahaahahahaha!!!! Tulikuwa tunashindwa kwa sababu boss wetu alikuwa anatuangalia ka jicho lingine, basi ikabidi tutumie busara tukawa tunamwita hivyo. ingawa tulikuwa tukitoka hapo ni kicheko mpk Gm wetu naye anacheka na kutingisha kichwa, akasema"HAYA MAJINA MENGINE HAYATAKIWI KUTAMKA MAMA MKWE WAKO YUPO" Basi ndipo alipoharibu maana tulikuwa tunacheka kwa star, aliposema hivyo Loh! kila mtu alifungulia koo.
Angola kuna team inaitwa Libolo
Basi kwa mtindo huo naomba hawa wote nao waingie katika category ya wasema matusi:
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/266723-funny-town-names-and-locations.html?highlight= (Kina Dildo, Blue Balls, Fukc*ng, Pumbu nk)
cc: watu8, Lisa, SMU EMT na wengine wote
Ipi ya kweli? hiyo ya kifupi au ya kirefu?
Japan iko team inaitwa Kumamoto
Hahaha mambyo ya mukubwa .....!Kikeke anatomboka mu Kinshasa Avenue Pumbu
Mh Mwali. sasa unajuaje kama huyo alikuwa mmoja wa Watemi wao.Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
Japan iko team inaitwa Kumamoto
hapana rafiki, kama hili...
Maybe ni mtemi wao, hapo siwezi jua. But niliuliza watu wakanambia nao hawajui jina lilitoka wapi zaidi ya huko chupiniMh Mwali. sasa unajuaje kama huyo alikuwa mmoja wa Watemi wao.
Hata Wmarekani wanachukia wanapopita mtaa wa Mirambo kwasababu wanadhani ilitakiwa kuwa mtaa wa RAMBO.