Pengine tungejiuliza pia wenyewe wanalitamkaje jina hilo (matamshi yanaweza kuwa hayana ukakasi kama tunavyofikiri).Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
mara nyingi katika sisi watu8, mtukutu mara zote huwa ni mtu wa 8 na ndiye aliyekujibu pale juu, ila saba waliobakia ni wapole...Hahahahahahaaaa!! maana umenistua kidogo, ndiyo maana nikasema wacha nikuchimbe mkwara.
Hahahahahaahahaaa!!! haya bwana yote haya kayaleta WATU 8
Hawa nao tusemeje?
mbona hapa kwetu kuna vijiji vinaitwa Mtombozi, Mkunduge, nkCha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
BAPende ni watu wa Bas Congo na basically hawa wanaongea Kikongo (from the Great Kongo kingdom). Na najua kwa kikongo neno Pumbu halipo (I asked). Ila kuna vernacular languages zaidi ya 100 ndani kwa ndani ya Kongo kingdom, hivo inawezekana sana moja ya hizo inatumia neno Pumbu.Pengine tungejiuliza pia wenyewe wanalitamkaje jina hilo (matamshi yanaweza kuwa hayana ukakasi kama tunavyofikiri).
Lakini kikubwa ni maana yake. Kwa watu wa jamii ya ki-mbendjele (ambao pia wanapatikana maeneo ya Congo), neno pumbu ni jina la rangi ambayo kwa kiswahili tunaita nyeupe. Katika jamii nyingine ya wa Pende maeneo hayo hayo ya Congo, pumbu ('pumbu a mfumu') ni aina mojawapo ya mask (kinyago?).
Basi kwa mtindo huo naomba hawa wote nao waingie katika category ya wasema matusi:Lakini Mwali tukubaliane pasipo kubaliana wacongoman unataka kuniambia hata hiyo Avenue Pumbu au eneo la Mbo.ro hawasemi? au hawatamki bali wanaonyesha ishara kwenye kiungo cha uzazi?
Inategemea na kusudi la kuupa mtaa huo hilo jina. Bado naamini hakuna tatizo kwa wakongomani katika hilo jina (ingalikuwa ni tatizo lisingedumu). Btw, ubalozi wa Canada upo katika mta huo huo wa Pumbu....Tokana na legislation hii, nadhani the Congolese rural authority should be sanctioned kwa kupanga mtaa kwa jina ambalo ni tusi for half of the COngolese people, hata kama lina maana zuri kwa some 100,000 Congolese. what say you?
cc: Fidel80
Street Address
The Embassy of Canada
17, Pumbu Avenue
Gombe Commune
Kinshasa
Democratic Republic of Congo
Ipi ya kweli? hiyo ya kifupi au ya kirefu?Hiyo wahuni wamechakachua.
Japan iko team inaitwa Kumamoto
Hilo jina ni kweli kabisa mmoja yupo hapa Tanzania alikuja ofisini kwetu akajitambulisha hivyo, badala ya kumpokea tukaangua kicheko wote, ikabidi tumfupishe tumwite MR MOTO.
Hahahahahahaaaa, ngoja tusubiri mwakani pengine Yanga anaweza kupangwa na Chipumbu FC.grafani11 umelisahau LIBOLO la Simaba. Yaani ile timu ya Angola iliyoitandika simba nyumbani na ugenini - LIBOLO