William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
- #301
jamani ktkt hili wana segerea tunawaomba mtuachie wenyewe, Wile njoo upambane na kipenzi cha magamba anayeitwa Kess anatokea kata ya tabata mtambani na ww wiliy hilo shamba ulilo nalo lipo segerea ipi? sisi ndio tuna uchungu na segerea yetu jamani hatuitaji ushabiki ktk hili. mahanga kaiba kura mahakama ya kikwte tuombe itende haki kwenye hili. km wily unaona unaweza njo tukusioi sumari, njoo tuendelee kumuaibisha shetani. TUTAANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
- Jamani sijasema nitagombea hilo jimbo, Mahanga is my great friend simauombei mabaya hata siku moja, nilichosema ni the story sounds very interesting, that is all sasa naona watu mnaenda mbali sana kwamba nimetangaza kugombea wengine wananitumia inbox za ushauri wa kumwaga mtama kwenye kuku, please jamani nilipogombea EALA mbona nilikuj a hapa very late, I mean
- Nasema tena sina mpango wowote wa kugombea anything sasa hivi, napumzika kwanza, Ughaibuni 30 years, na kurudi hapa miezi mitatu tu moja kwa moja kwenye kampeni za Ubunge, I mean I need a break kwanza, ingawa yes mimi ni mkazi wa Segerea, nimekulia Segerea, nina makazi Segereea, ninaijua Segerea n je ndani, lakini haina maana jimbo likiwa wazi basi nitagombea, please people nahitaji kupumzika kwanza yaani Vacation, na kuzunguka kidogo kama leo kuongea na wasomi na wananchi wa kawaida kusikiliza wanasema nini.
- PLEASE READ MY LIPS, SIGOMBEI ANYTHING!, NIPO VACATION!
Willie @DSM City!