nashy
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 679
- 141
- Jamani sijasema nitagombea hilo jimbo, Mahanga is my great friend simauombei mabaya hata siku moja, nilichosema ni the story sounds very interesting, that is all sasa naona watu mnaenda mbali sana kwamba nimetangaza kugombea wengine wananitumia inbox za ushauri wa kumwaga mtama kwenye kuku, please jamani nilipogombea EALA mbona nilikuj a hapa very late, I mean
- Nasema tena sina mpango wowote wa kugombea anything sasa hivi, napumzika kwanza, Ughaibuni 30 years, na kurudi hapa miezi mitatu tu moja kwa moja kwenye kampeni za Ubunge, I mean I need a break kwanza, ingawa yes mimi ni mkazi wa Segerea, nimekulia Segerea, nina makazi Segereea, ninaijua Segerea n je ndani, lakini haina maana jimbo likiwa wazi basi nitagombea, please people nahitaji kupumzika kwanza yaani Vacation, na kuzunguka kidogo kama leo kuongea na wasomi na wananchi wa kawaida kusikiliza wanasema nini.
- PLEASE READ MY LIPS, SIGOMBEI ANYTHING!, NIPO VACATION!
Willie @DSM City!
how comes ukae ughaibuni miaka 30 halafu bado ujisifu unaijua segerea