- Yale yale tu hatred, wfivu, chuki na hasira za maisha huko majuu, ha! ha! ha! sure jina langu huku bongo ni kubwa stricly kwa sababu ya JF, sijaasema ninataka kugombea anything isipokuwa nimeuliza plan B ya CCM incase jimbo la Segerea ambako ni home kwangu, likibaki wazi!
- Again ninakuommba wewe na wengine wengi humu msinifundishe siasa za uoga na ufisi wa kuogopa kusema, hapana nikitaka anything au nisichokitaka ninasema hapa JF bila kuogopa mtu, wewe endelea kunivizia huko Facebook na majina ya bandia na hapa kuja kulia lia kuhusu umaarufu wangu, pole sana mwendo wangu ni ule ule haubadiliki kwa sababu ya wewe kuwa na hasira za kuuuza maduka huko majuu sio kosa langu!
- Otherwise, KUMBUKA MTI USIO NA MATUNDA MAZURI HUWA HAURUSHIWI MAWE, ISIPOKUWA ULE TU WENYE MATUNDA SUPER! ha! ha! ha ha!
Willie @DSM City!