Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Inatakiwa umuignore, amejaribu kujipendekeza kwangu nimempotezea hiyo ndiyo njia sahihi za kudeal na watu mazuzu kama huyu. hakuna adhabu kubwa duniani kwa mtu mjinga zaidi ya kumdharau.

2ambie m2 mmoja unakadi mbili moja ya chadema moja ya ccm za nini kama sio unafiki,utapeli,usaliti na uganga njaa??alafu ukiitwa kibaraka unachukia,matusi kibao...sasa 2kuite jina gani mkuu??

Ila thanx kwa kuni-ignore,kikubwa ujumbe umefika na umeeleweka ndio maana naona feedback.
 
Kumbe wanaoenda @ny city wakirudi wanachekacheka hovyo!
Kuna mengi ya kuhoji hapa!
Huyu arudi kwenye Shipping Industry bado Connection ni nyingi za yeye kutengeneza pesa, lakini kamwe hana wito wa Kibunge ila hataki kusikia.
 
Kweli ukipenda chongo huwezi kukatazwa ukakubali. Emu tupe Political CV yako ya hapa nchini! Kwa kukusaidia ile ya kugombea na kushindwa ubunge EAC usiiweke maana itashusha credit. Haya endelea.

as far as baba is concerned, like father like son. So the son is not wrong
 
wewe mtu wa ajabu sana tena uhoni ata haya kujianika hapa kwamba we ni mganga njaa...yani nusu upo ccm nusu upo cdm kwa maslahi gani??
Na usijifanye unaijua sana segerea wakati wakuja tu..
Kuna wanafki kama wewe wamefungua kiofisi chao pale magengeni kazi kutongozana tu na ku2ubilia ukombozi wa kaskazini si 2nawachora tu..

Segerea ina wenyewe msijishaue.

naona unatoa mapovu ulitegemea kutogozwa umechuniwa sasa unatoa mapovu surely uchaguz ataufanyke bila kampeni sisiem ampati.uzuri hadi ofice za sisiem tabta zinawafuasi wa chadema na awa ndio mtaji wetu
 
2ambie m2 mmoja unakadi mbili moja ya chadema moja ya ccm za nini kama sio unafiki,utapeli,usaliti na uganga njaa??alafu ukiitwa kibaraka unachukia,matusi kibao...sasa 2kuite jina gani mkuu??

Ila thanx kwa kuni-ignore,kikubwa ujumbe umefika na umeeleweka ndio maana naona feedback.

- Sister yaani jamaa wanajifafanya viongozi wa CDM huko kata, lakini kwenye uchaguzi waliwauza wenzao kwa Mahanga, halafu wapo hapa kutukana na kutishisa tishia, ndio njia zao za kujiweka sawa na mlo, kweli hili taifa tuna kazi sana!

Es!
 
Kweli ukipenda chongo huwezi kukatazwa ukakubali. Emu tupe Political CV yako ya hapa nchini! Kwa kukusaidia ile ya kugombea na kushindwa ubunge EAC usiiweke maana itashusha credit. Haya endelea.

- Ustaarabu ni unaweka CV yako kwanza and then unauliza za wengine, vipi yako weka basi tuone hiyo authority unakoitoa! ha! ha! ha!

Es!
 
Na tukisema kwamba hiyo mialiko umepata kutokana na mgongo wa Baba yako tutakuwa tumekosea? Emu fikiria mwenyewe, James Ole Millya amekitumikia sana CCM kupitia UVCCM. Juzi kachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge wa EAC kakatwa jina, lakini wewe usiyekuwa na historia yoyote ndani ya CCM umekaa nje ya nchi maiaka 22 umeruka na ndege umekaa bongo miezi mitatu ukapita kwenye chekeche la Kamati Kuu mwenzako akachinjwa. Je tukisema ulibebwa tutakuwa tunakuonea?

La pili, wenzako hao hao kina Millya na wenyeviti wengi wa UVCCM na CCM ngazi za wilaya na Mikoa hawajawai kupata hiyo mialiko. Wewe ambae huna hata puparality record nchini unapata mialiko tena ya wahadhiri, je tukisema unabebwa na jina la Baba tutakuwa tunakuonea?

- Aliyeongea bungeni ile siku ya siku sio baba wa mtu yoyote, Millya na wenziwe hawajawahi kuja hapa wazi kama Mkulu Willy na kujisema who they are politically, hapa kwenye JF kuna faida na hasara zake za kuja hapa openly, lakini kubwa zaidi kisiasa ni faida, unapokuja hapa unaonekana hujui wanaingia kina nani hapa bro, ndio matokeo yake hayo jamaa anachuma matunda ya kuja hapa, sasa wewe unasema baba, yaani chuo kikuu cha kina Shivji watakuita kwa sababu ya baba yako? are serious?

- Watu wanakuja hapa wanajisema wao ni nani watu wanaoingia hapa wanawaona na kuwapima kama wanaweza na kuwaita, so tulia mkuu, haitwi mtu kwa sababu ya baba, kwani kuna watoto wangapi wa viongozi mbonanhawaitwi kwa hiyo dhana yako?

- I mean wewe unaelewa maana ya kufungua tawi la CCM New York City, USA; hebu niambie ni wabongo wangapi unawajua wana biashara kule wakiwa hapa kama wanavyofanya kwenye nchi zingine, ni kitu gani kikubwa unaweza kukifanyia chama chako zaidi ya hayo, kukaa nje miaka hata 100 kama hujaweza kufungua hata tawi la viajna unakuwaje a politician?

Tumia akili kidogo unapoandika, kuandika maandishi makubwa ya blue haina maana sasa una hoja, halafu hizo tuhuma za kuuuza kata kwa Mahanga vipi unazijibu vipi mkuu?

Es!
 
Mke wako tu umeshindwa kumuongoza hadi amekukimbia, utaweza kuongoza wakazi wa Segerea au Mtera?

- Mke haolewi kwa ajili ya kuongozwa kama kipofu hayo mambo ya kizamani sana siku hizi unaoa kama hamuelewani mnaachana haina taabu naona una mawazo ya kiazamani sana kwamba unoa mke ili umuongoze kwani yeye kipofu mkuu, ha1 ha! ha! ha!

- Halafu vipi hizi tuhuma kwamba wewe kama katibu wa CDM wa kata uliuza kata kwa Mahanga, ukawauza na CDM wenzako kwa tamaa tu ya hela kidogo, ha! ha! ha! yaani hili taifa sijui nani kwa kumuamini! ha! ha! ha!

Es!
 
naye aende na maji. kijana ana uchu huyo, we wiliy si ukamfute machozi mzee malecela kule mtela?

- Great Thinker, unasema unataka kuiona Tanzania ambayo inakuwa na Viongozi wanaogombea kwa ajili ya kufuta machozi baba zao waliowahi kuwa Viongozi?

Es!
 
- Great Thinker, unasema unataka kuiona Tanzania ambayo inakuwa na Viongozi wanaogombea kwa ajili ya kufuta machozi baba zao waliowahi kuwa Viongozi?

Es!

Mkuu naona kwa sasa umeshazoea siasa za jf na unapambana kwa kila linalojitokeza. Nakupongeza kwa kua unatumia Id halisi. Keep it up mkuu.
 
naona unatoa mapovu ulitegemea kutogozwa umechuniwa sasa unatoa mapovu surely uchaguz ataufanyke bila kampeni sisiem ampati.uzuri hadi ofice za sisiem tabta zinawafuasi wa chadema na awa ndio mtaji wetu

jamani ktkt hili wana segerea tunawaomba mtuachie wenyewe, Wile njoo upambane na kipenzi cha magamba anayeitwa Kess anatokea kata ya tabata mtambani na ww wiliy hilo shamba ulilo nalo lipo segerea ipi? sisi ndio tuna uchungu na segerea yetu jamani hatuitaji ushabiki ktk hili. mahanga kaiba kura mahakama ya kikwte tuombe itende haki kwenye hili. km wily unaona unaweza njo tukusioi sumari, njoo tuendelee kumuaibisha shetani. TUTAANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
 
Ukitaja Segerea nakumbuka siku nilipokwenda kumtembelea familia ya mmoja wa wazee wangu wa zamani IGP Solomon Liani na wakanipeleka kupata mishikaki kidogo sehemu mmoja inayoitwa kwa mfojo. hakika jamaa ana mishikaki mizuri sana kama ile ya Juma kule Forodhani Znz.

Mambo ya misosi
 
Willy unapochokoza mada kama hizi usikimbie kaa hapa tukufunde ili uwe na uwelewa wa kile unachotamani au kutaka kukifanya uwe na uhakika nacho.

CCM jimbo la Segerea sasa hivi iko vipande vipande wana siasa za makundi kuliko CCM ngazi ya Taifa tofauti tu ni kwamba wao hawapati coverage ya media.

Mkuu huyu jamaa bado anakomaza shingo matokeo yake itavunjika, kwa maneno hayo hapo juu alikuwa hana haja tena ya kuendelea kuleta arguments zisizo na mashiko, mimi mwenyewe kuna binamu yangu anakaa jimbo la Segerea maeneo ya Tabata Sigara anasema yaani huyu Mahanga ni mpuuzi kupindukia na hakuna lolote la maana alilofanya katika jimbo la Segerea
 
Mkuu naona kwa sasa umeshazoea siasa za jf na unapambana kwa kila linalojitokeza. Nakupongeza kwa kua unatumia Id halisi. Keep it up mkuu.

- Are you serious mkuu, yaani kweli hujui tulianza lini na this game hapa JF? Wacha hizo bana tukate ishus hapa1

Es!
 
jamani ktkt hili wana segerea tunawaomba mtuachie wenyewe, Wile njoo upambane na kipenzi cha magamba anayeitwa Kess anatokea kata ya tabata mtambani na ww wiliy hilo shamba ulilo nalo lipo segerea ipi? sisi ndio tuna uchungu na segerea yetu jamani hatuitaji ushabiki ktk hili. mahanga kaiba kura mahakama ya kikwte tuombe itende haki kwenye hili. km wily unaona unaweza njo tukusioi sumari, njoo tuendelee kumuaibisha shetani. TUTAANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU

Mkuu MZEE WA ROCK huyu Kessy ni yule jamaa wa Tabata ambaye alikuwa kiongozi wa Tabata Development Fund (something like that) ambaye wakati huoooo alikuwa akipigania dampo kuondolewa pale Tabata. Nasikia baadaye alikuja kuwa Diwani au ni mwingine?

CCM wana jamaa mmoja tena mzee wa mjini fulani hivi anaitwa John Jambele naye aligombea mwaka 2010.
 
Last edited by a moderator:
Si lazima maji yafuate mkondo, kuna mambo mengi ya kuisaidia hii Tanzania so si lazima uwe mwanasiasa ka mzee wako
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!
 
Back
Top Bottom