Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Willy hizi ziara zako kwenye hivi vyuo ulivyoviorodhesha ni kwenda kuangalia mabinti au what is special there? can you Explain to me? ni hafadhali hata ungeomba ushauri wa kuwatembelea vijana wa jimbo la Segerea ambako sasa kuna mechi za vikombe zinaendelea wiki hii angalau ukutane na vijana wanaoishi in THug Life!!...

Willy you have a bad company in your political dream, unapoteza muda wako pasi na sababu yeyote, njoo kitaa straight ukutane na hao unaotaka kuwaongoza, wenzako sisi tunaheshimika miongoni mwao kwa sababu tunatenga muda wa kuwa nao na tunajitambulisha kama watoto tuliokulia street.

Wewe njoo na mbwembwe za kusema ulikuwa Interns UN New York halafu ndio utawajuwa vyema watoto wa kitaa jimbo la Segerea na nilishahakikisha timu zangu zote za mipira na vijana wa macamp wote wana shahada za kupiga kura, nakusubiri kwa hamu Jimbo la Segerea nikufundishe siasa na ujuwe jinsi nilivyo na Influence ndani ya CCM na nje ya CCM ndio sina hata la kusema.

- Matola ni wapi nimesema ninataka kugombea ubunge wa Segerea?

Willie @DSM City!
 
- Mkuu kumbe una tabia ya kupiga mke? Ni kile kichaa cha familia nini mkuu?

ES!
Ona jinsi uivyokuwa na mambo ya kitoto......

Leo utaingia na kuniquote kwa ID zako zote.....

Kila siku nakwambia(wewe na pacha wako W.J. Malecela) kwamba hamumjui Bala.......

Hata kwenye thread hii nilishakwambia mkuu.....Haumjui Bala wewe....

Ukitaka kunijua mimi funga safari ya kuja Gamboshi hapo ndipo utapata angalau ufahamu wa Bala ni nani....

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/43910-fmes-acha-hizo-bana.html#post658027
 
Teh teh.........

Kweli wewe ni Kilaza.....

Unazidi kujishusha tu na kudhihirisha ni jinsi gani usivyokuwa na sifa za siasa/uongozi......

Kwa hiyo kujipeleka UDSM,CFR na IFM unaona ndio hatua za kukupeleka kwenye mafanikio ya kisiasa.....Eti Dodoma mjini ndipo unaishi zaidi!!!!...........

- Huku kwenye vyuo vikubwa hujipeleki ni lazima uitwe na kiwepo kibali cha Utawala, so pole sana mkuu wangu, tunaenda kuongea sera na wananfunzi na waalimu wao, impact ya bungeni siku ile ilikuwa kubwa sana kuliko uwezo wako wa kuona na kufikiri, pole sana mwendo ni mdundo!

- Na next week nitakuwa Mzumbe, kama kawaida!

Willie @DSM City!
 
Ona jinsi uivyokuwa na mambo ya kitoto......

Leo utaingia na kuniquote kwa ID zako zote.....

Kila siku nakwambia(wewe na pacha wako W.J. Malecela) kwamba hamumjui Bala.......

Hata kwenye thread hii nilishakwambia mkuu.....Haumjui Bala wewe....

Ukitaka kunijua mimi funga safari ya kuja Gamboshi hapo ndipo utapata angalau ufahamu wa Bala ni nani....

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/43910-fmes-acha-hizo-bana.html#post658027

- Kukujua ili iwe nini? Wewe ndiye umesema hata Facebook yangu upo kwa majina ya bandia, mimi sina muda huo maana sihitaji anything from you, zaidi ya kukuonea huruma tu jinsi unavyokimbia kivuli chako!

Willie @DSM City!
 
Doh......

Ukweli mkuu hapa ni sawa na mtu anayepigana na ukuta/kivuli......Unajibizana na mtu usiyemjua mkuu...

Ndio maana Bwa'Nchuchu akakuuliza hivi:

Wewe haumjui Bala ila Bala anamjua vizuri sana William John Malecela....Na ninavojua mi wewe ndiye ulikuwa ukilelewa na aliyekuwa mkeo ambaye ni mtumishi wa Ubalozi wetu UN kabla hajakupiga chini na baadae wewe kuanza kutangatanga NYC na baadae kukimbia child support........No wonder unahangaika na Ubunge kwa ajili ya posho za kukukimu ......

Bala, take my word Segerea is my home ground hakuna sehemu ya kumuaccomodate huyu mtu, kama akili zake zingekuwa ziko sawa na kwa kuwa ni Member mwenzetu angalau ningefikiria namna ya kumsaidia either kupitia Chadema au CCM, maana pande zote hizo mimi ninaingia ndani ya jimbo la Segerea lakini Chadema is my Heart.

But/lakini huyu jamaa inaonekana akishakaa kwenye vikao vyao vya kula nguruwe wanadanganyana kwamba Ubunge ni issue tu ya kuandaa kiasi fulani cha pesa then kuwahonga tu wanaCCM wenzake basi biashara imekwisha, ninachotoa ushuhuda hapa kama Willy kweli ni mkazi wa Segerea kesho aende kata ya Kiwalani kuangalia mechi za kikombe kinachoendelea ndio atanielewa hapa nazungumza nini.
 
- Huku kwenye vyuo vikubwa hujipeleki ni lazima uitwe na kiwepo kibali cha Utawala, so pole sana mkuu wangu, tunaenda kuongea sera na wananfunzi na waalimu wao, impact ya bungeni siku ile ilikuwa kubwa sana kuliko uwezo wako wa kuona na kufikiri, pole sana mwendo ni mdundo!

- Na next week nitakuwa Mzumbe, kama kawaida!

Willie @DSM City!
I see.........
 
hebu kuwa serious wewe?? Watu wanakwambia ukweli we unaona wanakuogopa. Umepigwa chini eala huku ndo usijaribu kabisa. Huwezi kushinda hata kampen manager wako akiwa jk.

- FEAR! ha! ha! ha! ha! EALA thing was great exeperience, na imeniongeza nguvu ya kusimama zaidi mbele ya safari, ila siwezi kukatishwa tamaa na hizi kelele zako za mlango, si unajua tulianiza kwenye bahari! ha! ha! tukapigwa na mawimbi weee na sasa ready kwa mawimbi ya siasa!

- Wewe fasten your belt!, hii ndege haisimami!

Willie @DSM City!
 
Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!
Duu! naona alichokosa makusudi ili apate majibu murua kama haya
 
- Kukujua ili iwe nini? Wewe ndiye umesema hata Facebook yangu upo kwa majina ya bandia, mimi sina muda huo maana sihitaji anything from you, zaidi ya kukuonea huruma tu jinsi unavyokimbia kivuli chako!

Willie @DSM City!
Teh teh.......

William.......

FYI.....Facebook natumia jina langu HALISI.......Ni wapi nimekwambia Facebook natumia jina bandia?....Facebook situmii jina la Balantanda(jina langu la katikati) ambalo nalitumia hapa JF....Facebook nayatumia majina yangu halisi)la kwanza na surname)........

Bala Is Always Here...........
 
Bala, take my word Segerea is my home ground hakuna sehemu ya kumuaccomodate huyu mtu, kama akili zake zingekuwa ziko sawa na kwa kuwa ni Member mwenzetu angalau ningefikiria namna ya kumsaidia either kupitia Chadema au CCM, maana pande zote hizo mimi ninaingia ndani ya jimbo la Segerea lakini Chadema is my Heart.

But/lakini huyu jamaa inaonekana akishakaa kwenye vikao vyao vya kula nguruwe wanadanganyana kwamba Ubunge ni issue tu ya kuandaa kiasi fulani cha pesa then kuwahonga tu wanaCCM wenzake basi biashara imekwisha, ninachotoa ushuhuda hapa kama Willy kweli ni mkazi wa Segerea kesho aende kata ya Kiwalani kuangalia mechi za kikombe kinachoendelea ndio atanielewa hapa nazungumza nini.

- I grew up in Segerea, nimecheza mpira sana na Idd Pazi Faza, I grew up na mabaharia wote hapo kina Athuman King, Alli Mmanga, Lance Makabe RIP, Eu Makabe RIP, na majuzi tu nilikuwepo kwenye matembezi ya Shule ya Kipawa na Mama Salma, so relax bro!

- Ninaijua Segerea kabla yako sana mkuu kama ni ishu!

Willie @DSM City!
 
- Matola ni wapi nimesema ninataka kugombea ubunge wa Segerea?

Willie @DSM City!
U will cry siku utakayotangaza kugombea Ubunge Segerea kama nilivyomuombea Makongoro Mahanga wale wakurya wa Kitunda wakiongozwa na NGEMO wamsamehe Makongoro japo Makongoro anatokea wilaya ya Bunda.

Hizi jeuri zako fanya kwa Balantanda ole wako siku utakayotangaza kugombea Segerea ndipo hautaamini kama Matola nina Influence gani ya kimaamuzi ndani ya CCM jimbo la Segerea. bahati mbaya sana kwako mimi sina bei.
 
Anadai ana nyumba na shamba Kinyerezi................

What a cr@p............A Holy cr@p...
 
Jitahidi kuwa makini unapopost, Rachel Mashishanga tayari ni Mbunge wa viti maalum Chadema na yuko Bungeni, lakini kwa sasa si aina ya mbunge tunayemuhitaji kwa ajili ya jimbo. uwepo wake Bungeni ni sawa na hakuna mtu, sijaona tija yake.

Matola,

Asante nimekupata!
 
Doh......

Ukweli mkuu hapa ni sawa na mtu anayepigana na ukuta/kivuli......Unajibizana na mtu usiyemjua mkuu...

Ndio maana Bwa'Nchuchu akakuuliza hivi:

Wewe haumjui Bala ila Bala anamjua vizuri sana William John Malecela....Na ninavojua mi wewe ndiye ulikuwa ukilelewa na aliyekuwa mkeo ambaye ni mtumishi wa Ubalozi wetu UN kabla hajakupiga chini na baadae wewe kuanza kutangatanga NYC na baadae kukimbia child support........No wonder unahangaika na Ubunge kwa ajili ya posho za kukukimu ......

- Mimi ninaitwa William J. Malecela, n ilikwenda Belgium kusoma na kufanya kazi ya Ubaharia, nikarudi home bongo, nikaenda Hong Konh na Singapore pamoja Shangai, nikarudi bongo, nikaenda Brazil na the whole South america nikarudi bongo, then nikaenda tena Belgium, Canada, na kuishia kuishi New York, na sasa nimerudi tena bongo!

- Kwa nimewahi kutunzwa na mke kama wewe, hapana muogope Mungu, kumbuka my-ex aliishi kwa miaka mingapi bila kufanya kazi, ukitaka kujua kwa nini nimerudi unahitaji kuniuliza kwanza kwa nini nilienda na kwa nini nilirudi zile safari zingine zote, kuachana na mke unless kama mimi wa kwanza Duniani, sawa lakini sioni ishu yoyote hapo zaidi tu ya kelele za mlango.

Otherwise, this is me na kama kawaida huwa siogopi kama vile ambavyo mabaharia wengi huwa hawatki safari za Brazil from Europe, wanaogopa mawimbi ya Bermuda Triangle, mimi nimepita pale mara tatu, so relax bro!

Wachana na hizi chuki na wivu haziwezi kukusaidia maana mimi sirudi nyuma hata siku moja, ninaenda kwa mbele sana! Na JF is my home siwezi kukuruhusu wew wala mtu yoyote kunifanya nisije hapa kama unavyoamini kwamba ukiandika mambo ya mke na watoto wangu utanikimbiza think again, tafuta mengine huoni wananchi wamechoka hapa hizi swaga za mke, na UN, I mean mbona mdogo wako alichana na mkewe na mpaka leo anaishi? Au unasemaje? ha1 ha! ha! ha! ha!

Willie @DSM City!
 
- I grew up in Segerea, nimecheza mpira sana na Idd Pazi Faza, I grew up na mabaharia wote hapo kina Athuman King, Alli Mmanga, Lance Makabe RIP, Eu Makabe RIP, na majuzi tu nilikuwepo kwenye matembezi ya Shule ya Kipawa na Mama Salma, so relax bro!

- Ninaijua Segerea kabla yako sana mkuu kama ni ishu!

Willie @DSM City!

Hivi wewe unalifahamu jimbo la Segerea kuliko Marehemu Ukiwaona Ramdhani Mwinshehe Ditopile Wa Mzuzuri?.....kwa taarifa yako Ditopile Homeland kwao ni pale Kinyerezi Shuleni kama ilivyo wewe Homeland kwenu Mtera.

Je unafahamu ni nini tulichomfanya Ditopile alipokuja kugombea Ubunge wakati Jimbo likiitwa Ukonga, nenda kata ya Kinyerezi waulize CCM wenzako wakutambulishe Mzee mmoja anaitwa Mzee Soksi.

Willy I promise u, u will cry i mean Bussiness not blah blah, nakumbuka vyema nilimuambia kitu Makongoro Mahanga kabla Mpendazoe hajafunguwa kesi, leo anabaki kulialia tu kwangu na nikamwambia is too late i can't help u, siwezi kuisaliti dhamira yangu.

Alichofanikiwa Makongoro ni kumtumia pesa tu za rushwa Hamisi Dam Mbaya ili asije kutoa ushaidi kutoka South Africa Lakini mimi nilishakuwa tayari kugharamia ticket ya ndege kutoka Johanessburg na kurudi kwa ajili ya Hamisi Dam mbaya ili kutoa ushaidi maana alikuwa ni shaidi muhimu kwenye kesi hii ya Segerea.

Willy u don't know me subiri siku nampandisha kizimbani Makongoro Mahanga kwa kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu (wizi wa kuaminiwa)then ndio utanisoma vyema na utamjuwa vizuri Matola ni nani ndani ya jimbo la Segerea.
 
U will cry siku utakayotangaza kugombea Ubunge Segerea kama nilivyomuombea Makongoro Mahanga wale wakurya wa Kitunda wakiongozwa na NGEMO wamsamehe Makongoro japo Makongoro anatokea wilaya ya Bunda.

Hizi jeuri zako fanya kwa Balantanda ole wako siku utakayotangaza kugombea Segerea ndipo hautaamini kama Matola nina Influence gani ya kimaamuzi ndani ya CCM jimbo la Segerea. bahati mbaya sana kwako mimi sina bei.

- Wacha vitisho mkuu!, nikiamua kugombea utakuwa una-deal na baharia, hao mabaharia niliokuwa nao wana familia na ndugu zao huko wote wananijua, kama ni Kipawa nilikuwa once in a while ninachezea timu moja inaitwa Coastal Lion na Baharia Lengwe, so huko ninfahamika, kama ni vingunguti kuna mtuwangu sana Gebo Peter na familia nzima ya Peter tino, Majumba sita nimecheza Black People, wale niliocheza nao wote wapo ninawaona kila nikija huko!

- Kule Ukonga ndio kabisa Disco Blue Sky, walikuwa watu wangu sana na wapo mpaka leo, so relax mkuu wacha vitisho kama ni kuijua Segerea nahisi unahitaji kunyamaza, kama huamini unaweza kupanga siku nikaja uone! Ungekuwepo ile siku ya matembezi ya Kipawa ndio ungeelewa, so relax bro!

Willie @DSM City!

Willie @DSM City!
 
- Mimi ninaitwa William J. Malecela, n ilikwenda Belgium kusoma na kufanya kazi ya Ubaharia, nikarudi home bongo, nikaenda Hong Konh na Singapore pamoja Shangai, nikarudi bongo, nikaenda Brazil na the whole South america nikarudi bongo, then nikaenda tena Belgium, Canada, na kuishia kuishi New York, na sasa nimerudi tena bongo!

- Kwa nimewahi kutunzwa na mke kama wewe, hapana muogope Mungu, kumbuka my-ex aliishi kwa miaka mingapi bila kufanya kazi, ukitaka kujua kwa nini nimerudi unahitaji kuniuliza kwanza kwa nini nilienda na kwa nini nilirudi zile safari zingine zote, kuachana na mke unless kama mimi wa kwanza Duniani, sawa lakini sioni ishu yoyote hapo zaidi tu ya kelele za mlango.

Otherwise, this is me na kama kawaida huwa siogopi kama vile ambavyo mabaharia wengi huwa hawatki safari za Brazil from Europe, wanaogopa mawimbi ya Bermuda Triangle, mimi nimepita pale mara tatu, so relax bro!

Wachana na hizi chuki na wivu haziwezi kukusaidia maana mimi sirudi nyuma hata siku moja, ninaenda kwa mbele sana! Na JF is my home siwezi kukuruhusu wew wala mtu yoyote kunifanya nisije hapa kama unavyoamini kwamba ukiandika mambo ya mke na watoto wangu utanikimbiza think again, tafuta mengine huoni wananchi wamechoka hapa hizi swaga za mke, na UN, I mean mbona mdogo wako alichana na mkewe na mpaka leo anaishi? Au unasemaje? ha1 ha! ha! ha! ha!

Willie @DSM City!
Nitakukimbizaje JF aisee,kwani JF mali yangu?......Lay low bana....

Ukweli ni kwamba haumjui/haumfahamu Bala.......period.

Hizo nyingine ni porojo tu ambazo tumezizoea..........

Kila la heri na lekcha zako za kwenye vyuo vikuu....
 
Back
Top Bottom