Jimbo la Segerea: Liwike lisiwike kutakucha tu!!

Jimbo la Segerea: Liwike lisiwike kutakucha tu!!

Status
Not open for further replies.
Wakuu nawasalimu wote kwa jina la aliye mkuu,
Sikuwa na ulazima wa kuanzisha thread hii lakini nimelazimika kuianzisha thread hii mapema ili kuondoa mikanganyiko isiyokuwa na ulazima

Ikumbukwe kesho ndio tarehe 2 may, kwa sisi wapiga kura wa Segerea tunategemea kutendewa haki yetu na Mahakama kuu kuhusu kesi ya Fred Mpendazoe vs Makongoro Mahanga.

Sasa basi si nia yangu kupendekeza udikteta au ukiritimba wa Habari, bali kutokana na mfumo mbovu unaooneshwa na baadhi ya Member wenzetu hapa katika kupashana habari napendekeza hivi:
Invisible kesho ndiyo abebe jukumu la kuanzisha thread kwa Mtindo wa LIVE ili members wengine ndio watakuwa wanatupia habari kwenye thread, kwa Sababu kesi hii iko Mahakama kuu Dar es salaam nina uhakika watu wengi watakuwa na access ya kuleta habari Immediate.
Hayo ni maoni yangu tu wadau, au mnasemaje?

Naungana na Matola katika hili.Invisible beba jukumu lote.Nasikitika tu kamanda Molemo hatakuwa nasi kwa matukio haya makuu katika juma hili.Kamanda Molemo kapigwa BAN.Molemo amekuwa mpigania haki na demokrasia mkuu ambaye atashindwa kuungana na wanademokrasia wenzake ndani ya JF kuona matunda ya kazi yake.Mkuu Invisible muokoe shujaa Molemo walau ashuhudie tukio la Segerea kesho.Nawasilisha.
 
CDM kwa CDM Ngoja nipite haraka ukiona ndugu wakigombana beba jembe ukalime. Kama ritz na rejao wangekuwepo hapa nisingebanduka
 
Kila la kheri watenda haki,itakuwa poa kama kutakuwa na chanzo kimoja cha kutupasha habari naunga mkono hoja.
 
mkuu Matola nimemshangaaa sana Tumbiri, kama watu waliweza kutoa report ya kila kitu kilichokua kinaendelea kwenye msiba wa Kanumba, itashindikana kwa hili la hukumu ya ya kesi ya Segerea? tena jambo ambalo ni la muhimu kwa ustawi wa wapenda mabadiliko

Dah watu tumetofautiana katika fikra..
anyway tunamuomba Invisible kesho asimamie mwenyewe kama atakua ana nafasi
Manyanza

Mimi naona TUMBIRI yuko sahihi, mtu atakayekuwa mahakama ndiye aanzishe LIVE coverage, unakumbuka wewe Manyanza jana ulianzisha thread ya hukumu ya Biharamulo na hukuwa mahakamani matokeo yake ukashindwa ku-update? hukuonekana hadi matokeo yakatoka usiku saa 2.30. Mbaya zaidi thread yako ilikuwa ni quotation ya post ya QUALITY, sasa kulikuwa na sababu gani ya wewe kukimbilia kuanzisha ile thread, hayo ndiyo anayoyasema TUMBIRI.

Mwisho, JF ni ya wote tusimtegemee sana Invisible ndiye aanzishe thread huwezi kujua mipango yake ya kesho anaweza asiwepo mahakamani au asiwepo Dar kabisa au akachelewa, kwa hiyo akichelewa na mimi nimewahi nimsubiri hadi yeye aanzishe ili mimi ni comment, logical? Kama Invisible atawahi mahakamani na kuanzisha well and good ila zaidi yeye aendelee ku monitor thread zitakazoanzishwa baadae wala hakuna haja ya kumkumbusha ni kazi yake.
 
Umenena vyema, nadhani hata Mods wataungana na wewe kwa sababu tunawasumbuwa sana kulazimika kuziunganisha thread kila wakati.

Siku hizi umezuka mtindo hapa JF mfano kuna reporter wa TV station fulani anaripoti habari muhimu basi kabla hajamaliza kuripoti ile Habari unashangaa hapa JF mtu kashaanzisha thread yenye heading tu bila maelezo yoyote zaidi ya Source ITV news!! haya ni mambo tunayopaswa kuyapiga vita kwa nguvu zote.

Dah hiyo tabia inanikera sana...
Kama ukiangalia saikolojia ya wajumbe wengi wa mitandao mingi ya kijamii, watu wanapenda sana topic yake iwe na wachangiaji wengi na baadhi wagongewe "LIKE"!
Basi matokeo yake imekuwa kama mashindano watu kuleta updates za msingi, na matokeo yake zinakuwa hazina mashiko wala uwiano linganifu kama taarifa na matokeo yake JF kuwa kijiwe cha porojo na taarifa zisizokuwa na uhakika!
Sijui kwanini watu hawajifunzi toka kwa Invisible.....
Jukumu la kesho tunampa Robot!
 
Wakuu nawasalimu wote kwa jina la aliye mkuu,
Sikuwa na ulazima wa kuanzisha thread hii lakini nimelazimika kuianzisha thread hii mapema ili kuondoa mikanganyiko isiyokuwa na ulazima

Ikumbukwe kesho ndio tarehe 2 may, kwa sisi wapiga kura wa Segerea tunategemea kutendewa haki yetu na Mahakama kuu kuhusu kesi ya Fred Mpendazoe vs Makongoro Mahanga.

Sasa basi si nia yangu kupendekeza udikteta au ukiritimba wa Habari, bali kutokana na mfumo mbovu unaooneshwa na baadhi ya Member wenzetu hapa katika kupashana habari napendekeza hivi:
Invisible kesho ndiyo abebe jukumu la kuanzisha thread kwa Mtindo wa LIVE ili members wengine ndio watakuwa wanatupia habari kwenye thread, kwa Sababu kesi hii iko Mahakama kuu Dar es salaam nina uhakika watu wengi watakuwa na access ya kuleta habari Immediate.
Hayo ni maoni yangu tu wadau, au mnasemaje?

Kwani kuna shida gani kila mtu akileta kivyake na invisible awe anazinuganisha zote?
 
Manyanza

Mimi naona TUMBIRI yuko sahihi, mtu atakayekuwa mahakama ndiye aanzishe LIVE coverage, unakumbuka wewe Manyanza jana ulianzisha thread ya hukumu ya Biharamulo na hukuwa mahakamani matokeo yake ukashindwa ku-update? hukuonekana hadi matokeo yakatoka usiku saa 2.30. Mbaya zaidi thread yako ilikuwa ni quotation ya post ya QUALITY, sasa kulikuwa na sababu gani ya wewe kukimbilia kuanzisha ile thread, hayo ndiyo anayoyasema TUMBIRI.

Mwisho, JF ni ya wote tusimtegemee sana Invisible ndiye aanzishe thread huwezi kujua mipango yake ya kesho anaweza asiwepo mahakamani au asiwepo Dar kabisa au akachelewa, kwa hiyo akichelewa na mimi nimewahi nimsubiri hadi yeye aanzishe ili mimi ni comment, logical? Kama Invisible atawahi mahakamani na kuanzisha well and good ila zaidi yeye aendelee ku monitor thread zitakazoanzishwa baadae wala hakuna haja ya kumkumbusha ni kazi yake.

Yeyote atakayekuwa mahakamani aandike tu, la msingi hapa ni watu kupata taarifa. Wengine hatujuani sasa ya nini nikae nikiamini wengine wataandika ili hali sijui kama wapo kwa court au laaa! Leteni tu taarifa na invisible we uziunganishe posts zote sehemu moja!
 
wakuu nawasalimu wote kwa jina la aliye mkuu,
sikuwa na ulazima wa kuanzisha thread hii lakini nimelazimika kuianzisha thread hii mapema ili kuondoa mikanganyiko isiyokuwa na ulazima

ikumbukwe kesho ndio tarehe 2 may, kwa sisi wapiga kura wa segerea tunategemea kutendewa haki yetu na mahakama kuu kuhusu kesi ya fred mpendazoe vs makongoro mahanga.

Sasa basi si nia yangu kupendekeza udikteta au ukiritimba wa habari, bali kutokana na mfumo mbovu unaooneshwa na baadhi ya member wenzetu hapa katika kupashana habari napendekeza hivi:
invisible kesho ndiyo abebe jukumu la kuanzisha thread kwa mtindo wa live ili members wengine ndio watakuwa wanatupia habari kwenye thread, kwa sababu kesi hii iko mahakama kuu dar es salaam nina uhakika watu wengi watakuwa na access ya kuleta habari immediate.
Hayo ni maoni yangu tu wadau, au mnasemaje?
hii ni sahihi ili tuwe na mtiririko mmoja
 
Matola,
Katika hali ya kawaida mwanzisha thread ndiye anatakiwa awe eneo la tukio kwa ajili ya kutoa habari. Sasa hili wazo lako naona halipo kiuhalisia maana utakuwa unaendeleza tabia zilezile za baadhi ya member ambao wanakurupuka kuanzisha thread alafu wanategemea wengine wajaze habari. Mi nashauri mtu atakae kuwa Mahakamani ndiye aanzishe thread ya Live.

Invisible kazi yake iwe kumodarate thread kwa kuidentify member yupi yupo mahakamani then aifanye thread yake ndiyo ibebe kichwa cha thread zote zitakazokuwa zinajitokeza. Tuendeleze utamaduni wetu wa kila member kuwa huru kuanzisha thread na tuwaache moderators wafanye kazi yao.
wazo la Matola ni zuri, na wazo lako pia ni zuri, yote yanalenga invisible au mod yeyote awepo kwenye thread husika ili iwe na uzito wa aina yake, sema mkuu wangu matola anajibu kwa jazba sana posts za wadau.
 
Last edited by a moderator:
Umeshaisoma HUKUMU?
Manyanza Asante kwa kunielewa mtizamo wangu maana walisema miluzi mingi humpoteza Mbwa, Tunaomba Invisible azingatie ushauri huu ili kutokuwachosha watu humu kesho kuzungukazunguka.

Mimi nikiwa kama mdau wa Maendeleo Segerea najuwa fika ni nini kitatokea kesho na ndio maana naomba hata walioko ughaibuni wajione kama wako LIVE mahakamani kufuatilia hukumu ya kesho.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, hebu napenda kujuzwa hili jambo maana bado linanitatiza katika kupangilia sherehe yangu ya kesho ..! Hivi? Kwa mfano ikitokea katika hukumu ya kesho Ubunge wa Bw. Makongoro Mahanga ukatenguliwa, je ni kwamba Mh. Fred Mpendazoe atachukua jimbo by default, ama itabidi turudie tena kufanya uchaguzi ??

Naombeni jibu wakuu wangu ili nianze maandalizi ya sherehe ... !
 
Umesomeka mkuu......Poleni kina rejao na timu yako najua mlikuwa mmepanga kuchakachua hili.Hatuchange BUKU kwa Njaa ya Siku Moja!
 
Under_score wengi wangependa iwe hivyo!However, Ni Uchaguzi(Vote) tu ndiyo unaweza kufanya hivyo na Siyo Mahakama(Judgment)
 
Under_score wengi wangependa iwe hivyo!However, Ni Uchaguzi(Vote) tu ndiyo unaweza kufanya hivyo na Siyo Mahakama(Judgment)

Doh! Mkuu, kwa maana hiyo kumbe watu wa CCM na uwizi wao wa kura ndo wako bound zaidi kujiandaa kwa sherehe in case hukumu itachakachuliwa in favor of Bw. Makongoro??
 
Umeshaisoma HUKUMU?
Niko karibu sana na watu wa CCM na nimefanikiwa kuingiza viongozi 3 kwenye uchaguzi wao wa juzi, na hawa wapo CCM kwa kazi maalum.

Juzi alikuja katibu wao wa mkoa wa CCM na ameshatoa maagizo kwa matawi ya CCM kujiandaa na uchaguzi mpya Jimbo la Segerea, hili jambo wala halina siri yoyote kwa sisi tuliyopo hapa Jimboni.

Na ningependa kuwatoa hofu wale wote wenye wasi wasi wa kuchakachuliwa matokeo hakuna kitu cha namna hiyo, Jaji hawezi kujivunjia heshima kwa viwango hivi vya kesi ya Makongoro.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom