Sidhani kama BBC wanaweza kufanya kosa la aina hiyo....nina mashaka na usikivu wako!
Wewe Sikonge,
Unapiga kampeni hapa JF na kusahau ndugu zako wa Sikonge? Nashangaa huko Dr. Slaa kapata kura chache sana mpaka nimecheka.
Uliowaomba kura inabidi uwapigie kura na kuwatukana maana wamekusaliti.
Ni kweli msomaji toka Tabora alikosea na alitaja elfu kumi plus ila kulikuwa na clues zingine ambazo mtu makini yeyote angezitumia kujua mwandishi kakosea na badala yake aliyeshinda ni wa CCM. Ndio maana nimemtania kwamba ali copy na ku paste.
Jina lake tu anaitwa FANFA sasa si FANFA hii kweli?Kwa mujibu wa matangazo ya radio one/BBC mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA ametangazwa kuwa mbuge mteule.
Mkuu mashujaa kama nyie mnatutia moyo.Nilimwandikia Slaa mapema kabisa kuwa ajitahidi kuja Sikonge na Operation Sangara na hakuja.
Kwenye kampeni nikategemea walau angelipita kwa nusu saa maana hawakusimamisha mtu na hawakupita. Watu hata hawafahamu Slaa ni nani na ukiwaambia nani anagombea upinzani wanasema ni Kakunda wakati Kakunda aligombea na Nkumba wakati wa CCM elimination.
Hii imeniudhi sana na mwaka 2015 natangaza kugombea Ubunge wa Sikonge kwa kupitia CHADEMA. Nina imani timu nzima ya Chadema itaingia Sikonge kuja kunitangaza kama kiongozi wao na mwishoni kugomea Ubunge mwaka 2015 na hapohapo kuongeza nguvu na vuguvugu za uchaguzi kwa cheo cha Urais.
Du! Huyo msomajia ndo angekuwa yule wa nec anayetangaza matokeo mbele ya wananchi hivi ingekuwaje??
Sikonge,Nilimwandikia Slaa mapema kabisa kuwa ajitahidi kuja Sikonge na Operation Sangara na hakuja.
Kwenye kampeni nikategemea walau angelipita kwa nusu saa maana hawakusimamisha mtu na hawakupita. Watu hata hawafahamu Slaa ni nani na ukiwaambia nani anagombea upinzani wanasema ni Kakunda wakati Kakunda aligombea na Nkumba wakati wa CCM elimination.
Hii imeniudhi sana na mwaka 2015 natangaza kugombea Ubunge wa Sikonge kwa kupitia CHADEMA. Nina imani timu nzima ya Chadema itaingia Sikonge kuja kunitangaza kama kiongozi wao na mwishoni kugomea Ubunge mwaka 2015 na hapohapo kuongeza nguvu na vuguvugu za uchaguzi kwa cheo cha Urais.
Ni kweli msomaji toka Tabora alikosea na alitaja elfu kumi plus ila kulikuwa na clues zingine ambazo mtu makini yeyote angezitumia kujua mwandishi kakosea na badala yake aliyeshinda ni wa CCM. Ndio maana nimemtania kwamba ali copy na ku paste.
CHADEMA amepata 10,000 plus, CCM wamepata 4,000 plus
Msiwe wabishi wametangaza data sahihi nazimwaga muda mfupi ujao