Elections 2010 Jimbo la Igalula lachukuliwa na CHADEMA

Sidhani kama BBC wanaweza kufanya kosa la aina hiyo....nina mashaka na usikivu wako!

Ni kweli msomaji toka Tabora alikosea na alitaja elfu kumi plus ila kulikuwa na clues zingine ambazo mtu makini yeyote angezitumia kujua mwandishi kakosea na badala yake aliyeshinda ni wa CCM. Ndio maana nimemtania kwamba ali copy na ku paste.
 
Nilimwandikia Slaa mapema kabisa kuwa ajitahidi kuja Sikonge na Operation Sangara na hakuja.

Kwenye kampeni nikategemea walau angelipita kwa nusu saa maana hawakusimamisha mtu na hawakupita. Watu hata hawafahamu Slaa ni nani na ukiwaambia nani anagombea upinzani wanasema ni Kakunda wakati Kakunda aligombea na Nkumba wakati wa CCM elimination.

Hii imeniudhi sana na mwaka 2015 natangaza kugombea Ubunge wa Sikonge kwa kupitia CHADEMA. Nina imani timu nzima ya Chadema itaingia Sikonge kuja kunitangaza kama kiongozi wao na mwishoni kugomea Ubunge mwaka 2015 na hapohapo kuongeza nguvu na vuguvugu za uchaguzi kwa cheo cha Urais.
Wewe Sikonge,

Unapiga kampeni hapa JF na kusahau ndugu zako wa Sikonge? Nashangaa huko Dr. Slaa kapata kura chache sana mpaka nimecheka.

Uliowaomba kura inabidi uwapigie kura na kuwatukana maana wamekusaliti.
 
Ni kweli msomaji toka Tabora alikosea na alitaja elfu kumi plus ila kulikuwa na clues zingine ambazo mtu makini yeyote angezitumia kujua mwandishi kakosea na badala yake aliyeshinda ni wa CCM. Ndio maana nimemtania kwamba ali copy na ku paste.

Du! Huyo msomaji ndo angekuwa yule wa nec anayetangaza matokeo mbele ya wananchi hivi ingekuwaje??
 
Nilimwandikia Slaa mapema kabisa kuwa ajitahidi kuja Sikonge na Operation Sangara na hakuja.

Kwenye kampeni nikategemea walau angelipita kwa nusu saa maana hawakusimamisha mtu na hawakupita. Watu hata hawafahamu Slaa ni nani na ukiwaambia nani anagombea upinzani wanasema ni Kakunda wakati Kakunda aligombea na Nkumba wakati wa CCM elimination.

Hii imeniudhi sana na mwaka 2015 natangaza kugombea Ubunge wa Sikonge kwa kupitia CHADEMA. Nina imani timu nzima ya Chadema itaingia Sikonge kuja kunitangaza kama kiongozi wao na mwishoni kugomea Ubunge mwaka 2015 na hapohapo kuongeza nguvu na vuguvugu za uchaguzi kwa cheo cha Urais.
Mkuu mashujaa kama nyie mnatutia moyo.
 
Du! Huyo msomajia ndo angekuwa yule wa nec anayetangaza matokeo mbele ya wananchi hivi ingekuwaje??

Kibaya hata mtu wa studio hakugundua kosa na kumsahihisha hapo hapo na jamaa akaendelea kusoma matokeo ya wilaya nyingine.
 
Nilimwandikia Slaa mapema kabisa kuwa ajitahidi kuja Sikonge na Operation Sangara na hakuja.

Kwenye kampeni nikategemea walau angelipita kwa nusu saa maana hawakusimamisha mtu na hawakupita. Watu hata hawafahamu Slaa ni nani na ukiwaambia nani anagombea upinzani wanasema ni Kakunda wakati Kakunda aligombea na Nkumba wakati wa CCM elimination.

Hii imeniudhi sana na mwaka 2015 natangaza kugombea Ubunge wa Sikonge kwa kupitia CHADEMA. Nina imani timu nzima ya Chadema itaingia Sikonge kuja kunitangaza kama kiongozi wao na mwishoni kugomea Ubunge mwaka 2015 na hapohapo kuongeza nguvu na vuguvugu za uchaguzi kwa cheo cha Urais.
Sikonge,

Kumbuka mazungumzo yetu, usipoweka mbunge sehemu jiandae kuibiwa kura za urais. Au ukiwa na mbunge weak ambaye anajua kabisa ameshindwa, hawezi kuwa na mawakala imara wa kulinda kura na hivyo hata kura za urais wajanja wanachakachua.

CHADEMA walifanya makosa kuacha baadhi ya majimbo yasiwe na wabunge au kukosa muda wa kupita hata kwa dakika chache kuwapa nguvu wale vijana waliokuwa wanapigana vita huko wilayani.
 
Kama CHADEMA ingeshinda basi mbunge angekuwa Farj Hussein Hassan Katalambula. Ni mwandishi mahiri wa Riwaya kali kama alivyokuwa Elvis Musiba. Mojawapo ya riwaya ni Simu ya kifo. Pia alikuwa ni publisher wa Jarida la Film Tanzania. Nakumbuka mojawapo ya hadithi za picha katika Jarida mojawapo ilikuwa ikiitwa Kesi ya Wakenda, niliisoma nadhani miaka 25 iliyopita.
 
Weeee Weee Mkulima weeee......

Mbona nyie wa kwenu wanakosea sana tu na hatusemi? Kijana ni mkweli na kaleta habari kama hivyo zilivyo.

Ila ilinishangaza sana maana kwa Tabora wanasema hata ukimsimamisha Nyani kwa CCM na upande mwingine umsimamishe SLAA basi Wanyamwezi watamchagua Nyani wa CCM au yule Mbwa wa Songea sijui aliyevalishwa Tshirt ya Kikwete. Yule Mbwa angelikuja Tabora basiangelishinda kwa KISHINDO.

Matokeo ya Sikonge yako wapi sasa? Nimepitiwa na sijayaona na huku hata Radio hatuna, kaaazi kwelikweli.

AHHHHH Kama Tundu Lisu kashinda, basi Mwakani tuna BUNGE.
Ni kweli msomaji toka Tabora alikosea na alitaja elfu kumi plus ila kulikuwa na clues zingine ambazo mtu makini yeyote angezitumia kujua mwandishi kakosea na badala yake aliyeshinda ni wa CCM. Ndio maana nimemtania kwamba ali copy na ku paste.
 
CHADEMA amepata 10,000 plus, CCM wamepata 4,000 plus

Msiwe wabishi wametangaza data sahihi nazimwaga muda mfupi ujao

hIVI WEWE FANYA UNA MAANA GANI KULETA TAARIFA USIZOKUWA NA USHAHIDI NAO KWA NINI USTULIE UKAJIRIDHISHA KABLA YA KUKIMBILIA LAPTOP YAKO NA KUTOA TAARIFA ZA UONGO?SHAME ON YOU!!!!!!!
 
nyie wote vilaza mnaopost mana sijaona mdau wa kwel apo
:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
 
Jamani lazima uweke data, kama huna data please be patient, you will do it when you have data (evidence). Hatutaki kurushwa roho kila wakati!!!!!
 
Kiukweli bila kuwa na back up ya data ni kama unaropoka tu na wala huhabarishi.
 
Back
Top Bottom