Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,
Kama ni kweli, narudia tena kama ni kweli basi hii habari nzuri sana na wala sikutegemea.
Una jina la mshindi wa hilo jimbo?
Mkuu,
Kama ni kweli, narudia tena kama ni kweli basi hii habari nzuri sana na wala sikutegemea.
Una jina la mshindi wa hilo jimbo?
Jamani hivi hawa watu waoanopost bila kuweka matokeo ya kura wana maana gani manake naona wanaambiwa lakini hawasikii, mtu anan'gania za uhakika za uhakika, jitahidini kuweka kura!!! otherwise andika tetesi!!!:A S angry:
CHADEMA amepata 10,000 plus, CCM wamepata 4,000 plus
Msiwe wabishi wametangaza data sahihi nazimwaga muda mfupi ujao
Wewe Muongo, nasikiliza wapo hapa kasinda wa CCM.Msitupandishe mzuka km hamna uhakika jamani kwani tupo very serious.
Mie nasikiliza sasa hivi BBC reporter amesema CHADEMA wameshinda na kataja 10,000+ sasa kama BBC wametuingiza mjini ni wao sio mimi
Mie nasikiliza sasa hivi BBC reporter amesema CHADEMA wameshinda na kataja 10,000+ sasa kama BBC wametuingiza mjini ni wao sio mimi