Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

Wakike kama wamama yako au hivi we ng'ombe hiyo post niyalini au umeingia jf juzi pumbavu zako kenge wewe
 
Tatizo hayo yote aliyotoa ingekuwa marekani angeweza akashitakiwa kwa ugaidi. Hata km ni msaada,kiuchumi hii hesabu haijumlishiki.NI akina ghaddafi tuu ndio kwao hisi hesabu hazina taabu.
 
Ukapimwe mkojo kwa uchochezi.Kagasheki kwa Bukoba anazidiwa na kalai,alitengeneza migomo kwa madiwani nakuwahonga ili wasusie vikaokwamuda wa miaka 8.Eidha zaidi ya Bilioni 300 zilizitishwa na Benki ya dunia nakusababisha soko kuu kutokujengwa.Mikopo aliyokua anatoa ilikua nikwa wanaccm tu na aliwanyang' anya card zao za kupigia kura.Sijawahi kuona Mb.mwenye roho mbaya kama Kagasheki.Kiujumla Bukoba hatutakagi ujinga.Mkiendeleza uchochezi ata awa madiwani wanne wa ccm kwenye Halmashauri tutawaondoa ndo mtatuelewa.Kama alitupenda mbona aliiba tv aliyokwisha ikabidhi kwa mkurugenzi? Roho mbayaatakufanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…