Jimbo Katoliki la Arusha Latimiza Miaka 50 ya Uinjilishaji.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
2,000
Tumsifu Yesu Kristo.

Tuko kwenye sherehe za Jubilei ya miaka 50 ya Jimbo Kuu la Arusha.

Hakika mambo ni mazuri sana, na baraka za Mungu ziko wazi kwa kila mhudhuriaji.

Ujumbe wa Jubilei ni "UINJILISHAJI WA KINA".

Kuna wageni toka kila kona ya nchi, na ulinzi umeimarishwa sana.
-Tuko na Cardinal Pengo, maaskofu mapadri na watawa toka kila kona ya nchi.
-Kuna Waziri Mkuu
-na dignitaries wengine wengi wa madhehebu mbalimbali.
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,675
2,000
Mungu awatie nguvu wakatoliki. Juhudi zenu zipo dhahiri. Uinjilist wa kweli unaonekana kwa kusaidia jamii. Wakatoliki mna hospitali kubwa, za kati na ndogo. Wakatoliki mna shile za level zote. Wakatoliki mna vyuo vya ufundi,.udaktari na ualimu. Mungu awatie nguvu wakatoliki
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,379
2,000
Tumsifu Yesu Kristo.

Tuko kwenye sherehe za Jubilei ya miaka 50 ya Jimbo Kuu la Arusha.

Hakika mambo ni mazuri sana, na baraka za Mungu ziko wazi kwa kila mhudhuriaji.

Ujumbe wa Jubilei ni "UINJILISHAJI WA KINA".

Kuna wageni toka kila kona ya nchi, na ulinzi umeimarishwa sana.
-Tuko na Cardinal Pengo, maaskofu mapadri na watawa toka kila kona ya nchi.
-Kuna Waziri Mkuu
-na dignitaries wengine wengi wa madhehebu mbalimbali.

Vizuri sana Mkuu.
Injili inasonga Mbele!!
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
2,000
Mungu awatie nguvu wakatoliki. Juhudi zenu zipo dhahiri. Uinjilist wa kweli unaonekana kwa kusaidia jamii. Wakatoliki mna hospitali kubwa, za kati na ndogo. Wakatoliki mna shile za level zote. Wakatoliki mna vyuo vya ufundi,.udaktari na ualimu. Mungu awatie nguvu wakatoliki
asante sana mkuu.
Hakika kanisa hili limejipanga sn kwenye nyanja ya maendeleo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom