Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Ila wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani.

Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.

Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.
Daah umenisema direct
 
Back
Top Bottom