Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Una maanishia 10% formalin? Ndio fixative chemical ya maiti. .? Jibu ni hapana formalin ni poison. Nime jibu japo siyo swali langu mkuu.
Sky Eclat

Nimeona huu ujumbe mara nyingi saana....ukiona nyama inauzwa popote ikawa haina flies usiinunue maana watakuwa wametumia kemikali ya kutunzia maiti kufukuza flies.

Kuna ukweli juu ya hili....nimeshaharibika kisaikolojia nikiwa nakula nyama nakuwa siiamini amini....

Cc bbade Watu8

Mwenye kulijua.
 
Msiba mzito kama ule unasahau vipi haraka mkuu?
Pamoja mkuu
FB_IMG_1565547179373.jpeg
 
Back
Top Bottom