Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Pulisic CFC

Pulisic CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
10,102
Points
2,000
Pulisic CFC

Pulisic CFC

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
10,102 2,000
Leo nina ugeni wa member mmoja maarufu hapa CHIT-CHAT na MMU nimeamua kumtengenezea mbuzi katoliki(kavu) na mazaga mengine.

Maandalizi
>Nyama kg 2
>Ndizi mzuzu
>Mchicha
>Tangawizi ,kitunguu swaum,chumvi,hilal motto,limao,
>Karot,hoho,tango,nyanya,kitunguu maji

img_20190812_102415_2-jpeg.1179079
img_20190812_102408_7-jpeg.1179080
img_20190812_102423_7-jpeg.1179081
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
27,265
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
27,265 2,000
Bora upike mapema mgeni akija mle tu
 
Pulisic CFC

Pulisic CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
10,102
Points
2,000
Pulisic CFC

Pulisic CFC

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
10,102 2,000
Baada ya kutaja mbuzi katoliki umenifanya nifunue walet yangu nione kuna sh ngap niagize kilo nzima

Kwa kifupi umenipa mzuka sana
Hahahaa huyu mdudu mwachen tu aiseee
 

Forum statistics

Threads 1,325,742
Members 509,278
Posts 32,201,600
Top