Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
HERI YA SIKU YA PASAKA WAKUU..

Kama kawaida leo ni sikukuu na hua sikukuu ndio siku ninayo import kazi niliyoilewa jf(piemu) angalau ije nyumbani tusherekee kwa pamoja. Watalaam wanasema jiko la bachela au msela leo linafuka moshi.

Kama kawaida master chef wenu leo nawaletea hatua kwa hatua maandalizi ya chochote kitu mtawakilishwa na huyo mwenzenu kwenye kula..

Karibuni hatua kwa hatua

Maandalizi

Kuku mzima
Kitimoto kg 2
Unga wa ngano
Mayai mawili
Ndizi chaguo lako(mshare au mzuzu)
Viungo muhimu kama chiken masala,pilipili manga,vitunguu thoum,tangawizi mbichi,limao,karot,hoho,matango,chumvi,halil motto,maziwa, n.k

Twende pamoja
20200412_111651.jpeg
20200412_111641.jpeg
20200412_111655.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom