sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Kwa sasa jiji la Mwanza ni zuri kwa mwonekano wa nje na ndani kuliko Dar es salaam.. Ni mahala pazuri sana kwa kuishi na kufanya biashara ni kutokana na kuwepo kwa hali ya hewa murua na miundo mbinu iliyoboreshwa vilivyo.. Hakuna jam kubwa sana barabarani japo magari ni mengi sana.. Mitaa yote inafikika kwa urahisi sana ukiachana na baadhi ya maeneo ya milimani.. Watu wake ni wastaarabu sana na very cooperative sio kama waswahili wa Dar.. full usaniii.. Kifupi mji umepangiliwa vilivyo..
Nawakaribisha wote kuja kutembelea jijini Mwanza. ISHI, WEKEZA na STAREHE.
Nawakaribisha wote kuja kutembelea jijini Mwanza. ISHI, WEKEZA na STAREHE.