Chris Lupembe kaacha pombe?? Halafu kulikua na yule kaka yake Alex lupembe alikuaga chapombe toka anasoma Makumira π€£ π€£ π€£ π€£Umesahau kwa lupembe,kuna mona lpmb mtoto yule pombe sanaaaa
Ova
Kauliza ndio maana mwisho wa sentensi kaweka alama ya kuuliza ''?''Umeuliza au umesema?
Ingekuwa Bongo watoto wa the Wacko Jacko wangetolewa mkuku, hata senti 5 wasingeiona.Unajua kwanini?? Ndugu uwa wanaona pindi wazazi waliomadopt wakiitwa mbele za haki mali itabaki kwa mtoto asie mtoto, wakati ma mtoni mtoto wa kuadopt anatambulika kabisa ni mtoto wako. sasa hizo sababu huyo mtoto kutambulishwa tena ki mila ni mlolongo mrefu .
Mbona unamzeesha hivyo Mboni masimba shougaaa...yani mboni ndo atalingana na huyo bi Mishy?
Wacha bwana, Eto'oHuyu naye ni Malaya , halafu sijui li mume lake ni mume bwege kwenye ishu zake za Kuombaomba ufadhili anagongwa sana na jamaa wa marketing.
Kuna ishu ofisi ilifadhili sijui usiku wa taarabu or sth like that.
Jamaa wa marketing alileta hoja ofisi ifadhili mgt ikakataa ikasema kazi zetu hazihusiani na matafrija tena taarabu.
Basi jamaa aliloby huyo hadi akafanikiwa kumpatia pesa na nembo ya ofisi kuonekana kama mmoja wa sponsor wa tukio.
Huyo Dada anagawa sana kumaa Kwa watu wa marketing so as to sponsor her activities.
Kiufupi ni Malaya aliyejificha kwenye kufanya mambo mbalimbali kama kujificha kwenye umalaya wake.
Na huyo mmama sijui mishi ni rafiki yake mkubwa wote ni Malaya tu
Mchicha mwiba hao watuKwani wakoje mkuu??
Dunia nzito hii. Watu wanajifanya mambo supa ila nyuma ya pazia kuna mazito ukiyafunua huwezi amini. Bora nibaki na mshahara wangu huu mambo ya ma sponsor yanipitie mbali.Huyu naye ni Malaya , halafu sijui li mume lake ni mume bwege kwenye ishu zake za Kuombaomba ufadhili anagongwa sana na jamaa wa marketing.
Kuna ishu ofisi ilifadhili sijui usiku wa taarabu or sth like that.
Jamaa wa marketing alileta hoja ofisi ifadhili mgt ikakataa ikasema kazi zetu hazihusiani na matafrija tena taarabu.
Basi jamaa aliloby huyo hadi akafanikiwa kumpatia pesa na nembo ya ofisi kuonekana kama mmoja wa sponsor wa tukio.
Huyo Dada anagawa sana kumaa Kwa watu wa marketing so as to sponsor her activities.
Kiufupi ni Malaya aliyejificha kwenye kufanya mambo mbalimbali kama kujificha kwenye umalaya wake.
Na huyo mmama sijui mishi ni rafiki yake mkubwa wote ni Malaya tu
Mange, Mboni kwako ni wazee?Mla raha mjini kijana wa miaka hiyoo rika la akina linda kimesera, mboni masimba na akina mange kimambi
Hao wazee hawapiti insta?[emoji44]Tumefanyaje?
Hapo si mmama ndio kawakamata wazee wawili na kila mmoja anajua ndio mali yakke, hiki kibibi nakipa heko. [emoji23]
Sijui kwa kweliHao wazee hawapiti insta?
Kibibi kimewakamata wawili kwa mpigo. [emoji44]
Huyu makonde atakuwa amewaloga haki ya Mungu
Mla raha mjini kijana wa miaka hiyoo rika la akina linda kimesera, mboni masimba na akina mange kimambi
[emoji44]Tumefanyaje?
Hapo si mmama ndio kawakamata wazee wawili na kila mmoja anajua ndio mali yakke, hiki kibibi nakipa heko. [emoji23]
sasa na wewe unadhan utasemaje mtu hadi wamezaa kuna ubiznes patna hapo. ni zaidi bwana. kwanini kama mke wa marehem yupo asipewe pole apewe mishy...tyena james wa mishy haha
Marehemu alikuwa gay? Nini chanzo cha kifo?James hana mke ni yeye na Mwanahamisi wake!
, hii.. π π πAlikuwa si kibibi alivyo anza nao, kama mna ijua VIRAGO FASHIONS ndio yao!
Huwa wana kwenda kwenye parties pamoja wote watatu bila shida yeyote na wanapendana sana [emoji2956]
Mume mdhungu ni mmarekani!
Anyway Rest In Peace James jamani [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muache aendelee kutupatia udambwi udambwi