tatizo la mbeya mzunguko wa pesa ni mdogo ndio maana huwezi linganisha na moshi, arusha na mwanza, hata dodoma tu. labda uwingi wa watu ila kwa uzuri wa jiji hakuna kitu pale. mi nimeishi san apale na nimeolea hukuhuko in short huko ni kwetu, bado tunahitaji mabadiliko makubwa.
Mie ndo maana napapenda Sikonge, Tabora , na Shinyanga,maana huko kumeendelea sana!!!
tatizo la mbeya mzunguko wa pesa ni mdogo ndio maana huwezi linganisha na moshi, arusha na mwanza, hata dodoma tu. labda uwingi wa watu ila kwa uzuri wa jiji hakuna kitu pale. mi nimeishi san apale na nimeolea hukuhuko in short huko ni kwetu, bado tunahitaji mabadiliko makubwa.
WEWE NI ECONOMIST?AU UNACHOKIONGEA UMEKITOA WAPI...NO RESEARCH NO COMMENT....
Dar es Salaam is definitely the riches region with a
GDP of Sh7.5 trillion, followed by Mwanza (Sh4.09
trillion) and Mbeya (Sh3.2 trillion). Tanzania
mainland has a GDP of Sh44.7 trillion, according
to the BoT.
USIRUDIE TENDA...DAR..MBEYA NA MWANZA NDIO INAONGOZA KWA PATO NA MZUNGUKO WA PESA..
WEWE NI ECONOMIST?AU UNACHOKIONGEA UMEKITOA WAPI...NO RESEARCH NO COMMENT....
Dar es Salaam is definitely the riches region with a
GDP of Sh7.5 trillion, followed by Mwanza (Sh4.09
trillion) and Mbeya (Sh3.2 trillion). Tanzania
mainland has a GDP of Sh44.7 trillion, according
to the BoT.
USIRUDIE TENDA...DAR..MBEYA NA MWANZA NDIO INAONGOZA KWA PATO NA MZUNGUKO WA PESA..
Tuacheni wana Mbeya,
Hahahaha mkuu umenichekesha sana. Ni nimepata bahati ya kuishi kwenye majiji yote matano ila kati ya yoote, Tanga ndo nzuri. Nadhani uwepo wa wajerumani ulisaidia. Ukipiga Picha za Google utadhani draft pale mjini.Napenda beach, hotels ( mfano Tanga beach resort, Nyumbani hotel, Mkonge, Silvarado villa,Nyinda classic, Naivera n.k. ukarimu wa wakazi wa tanga. Aah tanga kuzuri.
Ha ha ha !!!Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.
Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.
Tanga ni jiji la 3 toka mwisho kuchangia pato la Taifa;kwa kifupi Tanga ni mkoa wa 3 toka mwisho kwa umaskini Tanzania!Ni aibu mno kuifananisha Tanga na Mbeya!
Mbeya tunashindana na Kilimanjaro,Dar,Mwanza na Kagera SIO na Tanga!!
mkuu nakubaliana na wewe Tanga ndio mkoa unaoongoza kwa umaskini
Hizo barabara alijenga Nyerere baada ya Uhuru na hakuna ongezeko katika district roads.Income per Capita?Kwa nn takwimu zinaonyesha kama Mbeya inachangia sana uchumi wa TZ kama hatuna infrastuctures?Wewe umeenda Mbeya ipi isiyo na barabara nzuri katikati ya mji?Why una pick tu Ileje lkn husemi barabara nzuri toka Uyole to Rungwe then Rungwe to Kyela?
Then kwenye barabara nzuri za Kilimanjaro why umechagua tu wilaya zenye barabara nzuri?Umewahi kwenda Same au Siha kuona barabara zao?Barabara za Same utafananisha na barabara za Rungwe?Acha bias bana!Mbeya unachagua wilaya zenye barabara mbovu lkn Kilimanjaro unachagua wilaya zenye barabara nzuri!
Lindi, Mtwara, Ruvuma, Kigoma zinashika nafasi ya ngapi?mkuu nakubaliana na wewe Tanga ndio mkoa unaoongoza kwa umaskini
Unasema hakuna hata viwanja labda kidogo City Pub...ulifika na viwanja kama Green Lounge? Kwa sisi wazee wazoefu wa transit za Mikoa ya Kusini, mimi hata ukiniambia nilale ikulu halafu viwanja vizuri hakuna ni bure tu, mimi muda wa kulala huwa ni mdogo mno kuliko muda wa kutembelea viwanja kama BABIES, MBEYA CARNIVALS..., GREEN LOUNGE nk...
Naona mleta uzi hobi yake ni kulala kwenye chumba kama sebule, ama kweli kila mtu na ulevi wake...
Lindi, Mtwara, Ruvuma, Kigoma zinashika nafasi ya ngapi?
Hizo barabara alijenga Nyerere baada ya Uhuru na hakuna ongezeko katika district roads.
Na una semaje juu ya uwekezaji wa NSSF , PSPF na wengine , Mwanza Arusha na Moshi wanashindana kujenga huko.
Niambie na hiyo si bias?