Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

andreakalima,

Nenda kaish ulaya, hata ikiitwa kijj itakusaidia nn katka maisha we Fanya yako Leo na kesho kunakufa hcho kJJ cha mbya haktakusaidia Fanya yako kwan ulvutwa na greda kwenda mbeya mbeya ilkuvutia neo maana umeenda
 
Tanga ilikuwa zamani bhana, enzi zile miaka ya 80 wakati nasoma Usagara Sec, Tanga ulikuwa ni mkoa wa 2 au wa 3 kwa ukubwa kama sijakosea. Lakini tokea walipoua viwanda vya Mbolea (TFC), CIC, Sikh Saw Mills, Chuma (T) Ltd, NASACO, BANDARI, Shirika la Reli, Zao la Mkonge nk, kila kitu kimeanguka chali imebaki Kiwanda cha Saruji tu...

ukiondoa wafanyabiashara, wafanyakazi wa saruji ndio ndio wenye pesa, Tanga siku hizi mji umechoka.

Bora kiwanda cha mbolea kilikufa, kilikuwa kinaweka sumu tu kwenye hewa. kimeua watu kadhaa.
Wenyewe utasikia "wafanya kazi kitengo kile huogopi rogwa wewe, pale watu warogana sababu kwalipa sana"
kumbe kitengo kina hewa ya sumu halafu hawapewi hata gas masks, wakifanya kazi kidogo wanaanza kukohoa mara mapavu yameharibika mara ohoo safari.
 
MTAZAMO,

Mkuu hizo picha sita ndio zinaonyesha mji wote wa arusha? nilikuwa sifahamua kuwa arusha ni padogo hivyo. Kama sio, unaweza ukaweka picha zaidi za sehemu tofautitofauti za mji wa arusha?
 
Mkuu MTAZAMO hebu mueleweshe huyu ndugu yangu Malafyale aliyezoea kijiji chake Jiji linavyotakiwa kuwa

Mkuu huu ni mtazamo wako binafsi wa vigezo vya 'Jiji'. Nauheshimu, ila wahusika wakuu wa kutoa hadhi ya jiji hawaangalii mandhari (majengo) kama kigezo kikuu cha kuupandisha mji kuwa na hadhi ya jiji. Hivyo vigezo vilivyotumiwa kuipa Dar na Mwanza kuwa majiji, ndo hivyo hivyo na Mbeya vimetumika.
 
Last edited by a moderator:
Mbeya imepewa hadhi ya jiji kisiasa tu. hamna vigezo vya kisayansi hata kihistoria vilivyotumika. FULL STOP
 
tatizo sio wanambeya'tatizo n tulowakabidh watuongoze tangu uhuru hawana dhamira ya kuliendeleza jij hlo,naona tunaitaj watu wapya kutuongoza kwa aina hii atutofka unapotaka mkuu.
 
andreakalima,
Kila mkoa ulipewa hadhi ya jiji kwa vigezo maalum, co majengo, huyo dereva taxi inaonyesha ulimwelekeza akupeleke hapo. Cku nyingine ukienda kwenye majiji jaribu kugoogle nice hotel kupunguza usumbufu. Ukija tena Mby next tym nijulishe nikutembeze maeneo kwa saa moja co Dar ambako saa moja unatoka ubungo stand kufika mataa au Arusha USA river mpk mianzini 2hrs au Mwz Nyakato hadi Liberty 3hrs. So sehemu kuwa jiji ni pamoja na urahisi wa kufika itakako kwa wakati na hiyo ndo sifa ya Mby.
 
hakuna jiji tamu kama dar es salaam mkuu usidanganyike na kelele za wakuja

Taratibu tuu watafika
IMG-20140610-WA0000.jpg
 
Mbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.


Mkuu kwahiyo wamekuzidi wewe kwa uchawi ?
Ndomana unatokwa na povu hapa !
 
Mara yangu ya kwanza kufika Mbeya ilikuwa usiku,miaka 10 iliyopita-nililala maeneo ya stand kuu hapo.kulivokucha niliamka nikaoga then nikatoka nje ili nione mandhari ya mji(wakati huo) wa Mbeya.nilishangaa kweli,but nikajua stand ipo mbali na mji,kwa kuwa nilikuwa nataka nifike ofisi za serikali nilimuuliza mhudumu pale gharama za kufika mjini kwa tax,kwanza alicheka then akaniambia hapa ndo mjini kaka....kwa kweli nilichoka.
Msamiati ,umeshawahi fika Kilimanjaro,Arusha,Iringa,Tanga,huwezi fananisha hiyo miji na wa mbeya in term of comfortability,mbeya ni mji wenye vumbi sijapata ona sehemu ina vumbi kuliko mbeya,house arrangement and some other important services like hospiatal etc


Miaka kumi iliyopita afu unalalamika hapa !

Mbeya the Green city !
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole kwa kukuboa inaonyesha hukuimajini kama picha ingekuwa km ulivoukuta Mji/jji la Mbeya...pia watu wa mbeya kiujumla mapishi ni bado

Ila wewe kwani kwenu wapi? Mi myakyusa/tukuyu ...mzaliwa wa Old farm house ...nimetembea mikoa yote kasoro Mara
 
Mbeya hapana hadhi inayopewa,siongelei ushabiki,nikiifananisha mbeya na Moshi,Mbeya ingawaje ni jiji iko nyuma sana,labda idadi ya watu ndio kubwa,miundombinu ni hafifu na huduma ni za kawaida saana kama manispaa tu,kweli ukiifananisha mbeya na arusha au mwanza ni sawa na david na goliath....mwanjelwa ndio palipochangamka na town,mbona pa ovyo sana,tusisifie vitu tu,tanga is way ahead of mbeya city,mbeya ni mandhari nzuri na hali hewa maridhawa lakini kwa hadhi ya jiji mbaaado!
 
kila mkoa ulipewa hadhi ya jiji kwa vigezo maalum, co majengo, huyo dereva taxi inaonyesha ulimwelekeza akupeleke hapo. Cku nyingine ukienda kwenye majiji jaribu kugoogle nice hotel kupunguza usumbufu. Ukija tena Mby next tym nijulishe nikutembeze maeneo kwa saa moja co Dar ambako saa moja unatoka ubungo stand kufika mataa au Arusha USA river mpk mianzini 2hrs au Mwz Nyakato hadi Liberty 3hrs. So sehemu kuwa jiji ni pamoja na urahisi wa kufika itakako kwa wakati na hiyo ndo sifa ya Mby.

Mkuu Bateko kama umetumia saa tatu toka Nyakato hadi Liberty lazima ulikuwa unatumia baiskeli zile za walemavu za wheelchair. Nyakato hadi Liberty kwa miguu hardly nusu saa, kwa gali wakati WA foleni ya asubuhi dk 25, mida mingine isiyo na foleni Ni dakika 10 tu. Msiwe mnatupia uongo humu as if wasomaji ni watoto wadogo.
 
Last edited by a moderator:
niliwahi kwenda Mbeya, nilichoona, jiji ni chafu, mpaka watu wake ni wachafu! samahanini lakini!
 
mkuu hizo picha sita ndio zinaonyesha mji wote wa arusha? nilikuwa sifahamua kuwa arusha ni padogo hivyo. Kama sio, unaweza ukaweka picha zaidi za sehemu tofautitofauti za mji wa arusha?

Need More?............Arusha a.k.a Jiji la Kitalii....bado lakini si kama Mbeya....






















 
mie nimezaliwa mbeya na kukulia huko.nakubaliana nawe mkuu,upo sahihi kabisa hasa suala la wafanyabiashara kukimbilia mikoa mingine ni kweli kabisa.wafanyabiashara wengi wamehama huu mkoa kwa sababu ya mazingira magumu ya kibiashara yanayosababishwa na viongozi wa mkoa huu.pia wengine walifikia hata hatua ya kujiua kama yule mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina la mgeni maarufu kama milamo.

huyo nilimfahamu na mkewe ndo Mungu kampa subra anaendeleza biashara ya kati lakini angekuwepo mumewe huenda wangekua mbali. wale wenye roho ngumu wamekimbilia dar, mwanza na hata arusha. kuna Sauli wamemwacha anaporomosha jengo mafiati - just to demolish jengo lake la biashara baada ya almost kulikamilisha - huyu ndo mwenye maduka ya vipodozi Mwanza, Arusha na Dar es salaam na mwenye hoteli za Land Mark. Mkurugenzi Kabwe baada ya kuwajengea Mkapa ambayo inawapa kipato pamoja na Mkurugenzi ambaye ndo mwanzilishi wa Mbeya City FC walitimuliwa!! - mambo yote wanafanya ambayo yapo quite negative kwa maendeleo ya Mji.

uwanja wa Songwe hao hao viongozi wa Mbeya waliungana na wale wa kaskazini kuupiga vita usijengwe kwa madai ungempa ujiko Mwandosya!!! sijui ubongo wa viongozi wa Mbeya una KANGULENI??? Inauma kwa kweli.
 
IPILIMO,

Mkuu nakubaliana nawe LAKINI waswahili wanasema JISAIDIE, USAIDIWE - Viongozi wa Mbeya wako negative toward wawekezaji au watu wenye upeo wa maendeleo. Imagine JK alimpa u Kuu wa Mkoa mzaliwa wa mkoa wa mbeya - he did nothing na alikuwa anateam up na wanaopinga maendeleo ya mji - unategemea wenzio wakufanyie. hakuna aliye na vision ya kutumia opportunities za location na hata kufikiria masuala ya utalii ambayo ukichukua mbeya kama mkoa na jirani yao Makete wangeweza kuipa Mbeya impetus ya kuendelea.
 
Back
Top Bottom