AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,402
Hakufika huko huyo. Hill view nimelala recently, huduma zake kama za hoteli kubea za Dar. Lkn pia Soweto na Sae kuna hoteli nzuri za viwango. Why Mbeya Hotel?
Kwenye red nipe sababu Mr,
hivi mkuu kweli mbeya yetu imejaa wachawi?Mbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.
mbeya hotel kama nakumbuka ipo sambamba na uwanja wa sokoine na bank ya crdb..mbona ile hotel ya zamani sana.au alijua ipo hiyo tu.zipo hotel nzuri sana tu..labda mtoa maada alitaka aione benjamini mkapa tower,ppf,bot,azione mbeya wakati akiwa huku tu anaishia maisha club
Kuna mtu kaniambia kuwa cku izi barabara za mitaan zinaanza kuwekwa lami. huu mji ulipewa hadhi ya jiji kisiasa manake barabara ilikuwa moja tu ya lami inakatiza mjini. kwa kifupi hadi sasa mwanza peke yake ndo inastahili kuwa jiji after dar, Arusha kwa mbaali ila tanga na mbeya mmmmmh!
Amina! Mihangaiko yangu yooote nikiritire ni Mwanza. Hali ya hewa nzuri, Mazingira safi, Mji Mtulivu, Watu wastaarabu, Maji ya Kumwaga. Bila kusahau samaki! Mwanza wanapigania maeneo ya wazi yabaki kuwa wazi, bustani za jumuiya zinaendelezwa na zinatunzwa! Nawapongeza sana.
View attachment 162576
View attachment 162577
Mbeya kuna ''akasenyenda''matetemeko ya mara kwa mara na kama kujenga Mabungando kunatakiwa utaalamu wa hali ya juu wa ujenzi,pia jamani ni majuzi tu Mbeya imekuwa jiji sasa sijui huyo mtoa mada sijui anataka nini au aliwakosa wale ''Kona bar''
Hotel ungeenda Green View mkuu ipo uzunguni ni standard na iko poa. Then mji kupewa sifa ya kuwa jiji hawaangalii mazingira tuu peke yake. Kuna ishu kama wingi wa watu na hiyo ndio sifa kubwa ya jiji la mbeya.