Jiji la Mbeya kama kijiji

Vip HKL inaendaje maana najua umepangiwa advanc huko!! Hivi umepangiwa shule gani? Nije kukutembelea,,
Kazana kusoma HKL sio rahisi waulize kaka zako form six

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mbeya wakija wapemba au wa tanga patakuwa njema mno...
 
Huna akiri shetwani ww


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nilifikiri anaponda jiji la mbeya akitaka kuwekeza Hotel bora zaidi kumbe anataka sehemu ya kulala walipo jenga wenzake, unasifia Hotel za Dar umezijenga wewe? au unafikiri ziliota? unasifiaje na kuponda vitu vya wenzio wewe huna hata kizuri kimoja?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ila wanyakyusa hamjielewi. Unahara hapa hata hueleweki. Tatizo upeo wa chini kiwango cha changarawe
 
Ozzie,
Asante kaka, endelea kutoa facts.... kuna watu hawajielewi humu... yeye anawaza Hotel tuuu hajawaza productivity ya mji....
 
Ulipoona hamna hotel ya hadhi yako kwanini usingeenda kulala stendi au sokoni au ungeomba ulale pale ruanda prison
 
Mkuu umeenda jiji la wachapa kazi we unaendekeza udada udada wa kulalalala ili iweje!?
Ulitaka kuolewa Mbeya?
nenda kaolewe Mombasa.
andreakalima,
 
Inasikitisha sana juu yako,, jitathimini upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…