Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Nimekaa Mkoa wa Mbeya for five consecutive years. Nikatembelea ukanda wote, Kyela, Tukuyu, Chunya, Ileje, Mbeya yenyewe, Mbozi, nk
Ee bwana ee! ni kutamu huko. Kuna mambo fulani yamepewa kipaumbele kuliko maendeleo.
Tulitembelea kijiji fulani mbele ya Hospitali ya Igogwe. Inaonekana wakazi wa pale hawauhitaji umeme! Ni giza.
Ukiwauliza sababu, wanakuangalia kwa macho!
Balaa
 
Kijiji cha Mbeya
Of course Kijiji sasa ni huge construction site na kinafanana hivi 👇

IMG_20211222_123009_687.jpg


IMG_20211222_120455_442.jpg


IMG_20211222_120630_644.jpg


IMG_20211222_115807_409.jpg


IMG_20211222_113030_532.jpg


IMG_20211222_112541_073.jpg


IMG_20211222_112049_776.jpg


IMG_20211222_110532_288.jpg


IMG_20211222_111827_254.jpg


IMG_20211222_105323_741.jpg


IMG_20211222_105116_402.jpg


IMG_20211222_104416_367.jpg


IMG_20211222_102536_982.jpg


IMG_20211222_102619_233.jpg


IMG_20211222_102309_150.jpg


IMG_20211222_095405_829.jpg


IMG_20211222_095633_628.jpg


IMG_20211222_100831_851.jpg


IMG_20211222_093034_617.jpg


IMG_20211222_092651_958.jpg


IMG_20211222_092016_769.jpg


IMG_20211222_085428_524.jpg


IMG_20211222_082418_097.jpg


IMG_20211222_083928_362.jpg


IMG_20211222_085938_817.jpg


IMG_20211222_080310_640.jpg
 
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. Sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwea Fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa Songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duh ni kama nyumba ya makumbush.

Nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) dah ndio nikajua kumbe zile sifa za Wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndio ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.

Changamkieni fursa ya Mipaka ya KASUMULU & TUNDUMA kufunguka kibiashara.

Cape 2 Cairo Road inayopita Mbeya nayo ni fursa za kiutalii lakini mmekalia kuzugia dini Jumapili mchana, USIKU kama kawa.

=====

Maoni ya wadau
Utamu wa pipi ni mate yako wewe mwenyewe!!
 
Mpumbavu ww ko ndo umeona uje kutangaza kwamba ulipanda ndege. Iv unatokea wap maana
Sio Kwa huo ushamba wako
 
Back
Top Bottom