mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Mbeya ni sawa sawa tu na Kigoma, Rukwa, Sumbawanga, Tabora....sehemu yeyote ambayo wameweka uchawi as kipaumbele hainaga maendeleo.
Very true. Bora hata kigomaMbeya ni sawa sawa tu na Kigoma, Rukwa, Sumbawanga, Tabora....sehemu yeyote ambayo wameweka uchawi as kipaumbele hainaga maendeleo.
hii post itawafanya hawa jamaa wa hame kabisa kwao, kwangu naiona ni kama consipiracy theory ili wakaskazini waje watawale huko nako.
Mbeya kupata sehemu ya chakula kizuri Ni ishu achilia mbali Sehemu ya kulalaSijawahi ona uzuri wa mji wa Mbeya. Kinyakyusa kila kona vumbi mbavu za mbwa mpaka mjini mama ntilie kila kona vijisoko kila uchochoro mipango mji ovyo ... kwa mtazamo wangu.
Mji gani Tanzania hii hauna vumbi? Mbeya ndio mji pekee usiokuwa na mbavu za mbwa mjini. Wewe na akili yako fupi ukiona nyumba zimejengwa na tofali za udongo unaona ni mbavu za mbwa, unazijua mbavu za mbwa wewe? Wapi Mbeya mjini umewah ona nyumba imewekwa miti na kukandikwa udongo? Hakuna huo ushenzi Mby.Sijawahi ona uzuri wa mji wa Mbeya. Kinyakyusa kila kona vumbi mbavu za mbwa mpaka mjini mama ntilie kila kona vijisoko kila uchochoro mipango mji ovyo ... kwa mtazamo wangu.
Kinachokukera nini kwenye hilo? Unataka wawe wazembe kama wewe?Unafiki Zaidi Ni kujidai wanaijua Dini kuliko walioileta barani
Mchawi humjua mchawi mwenzie, na vile wewe hata dini hujui ukienda kuroga wana Mbeya unapigwa na neno maskini hadi unahisi ni uchawi jinsi akili yako ilivyo fupi.😀😀😀Tatizo "ULOZI" kila mwenyeji ana tunguri japo jumapili hamkosi kanisani
mbona nyuzi za kuhusu mbeya jiji zimekuwa nyingi sana humu?ngoja nikatafute uwanja huko!
*mti wenye matunda ndio hupigwa mawe* haya ni maneno ya WAHENGA!
Uchawibuliukita wapi tofautisha mbeya,na songwe uliza uambiwe sio unakurupuka tuuMBEYA NI UCHAWI UCHAWI UCHAWI TU.
huo uchawi unawasaidia nn nyie wanyakyusa?