Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Unapita? Fanya biashara hapo Mwanjelwa ndio utapajua vizur
Mchawi humuona mchawi mwenzake, kila siku napita mwanjelwa ila sijawahi ona nyoka au kitu chochote cha ulozi ( haimaanishi kwamba nakataa kuwa havipo) labda ushuhudie uliviona onaje wewe?
 
Mm pia nlienda mbeya for the first time aaah hakuna kitu yaani sikuwa nikijua km wanyakyusa nao ni wazuri kwa kujisifia km wazee wa earthquake
 
Wanyaki kumbukeni kwenu si kujipaisha mijini kwenu pa ajabu.
 
Mbeya si jiji bali ni kitongoji kidogo sana, mimi kama mhaya sitaki hata gari yangu ipite mbeya.
 
Kaka nimesoma post yako nikisubiri uniambie, ulikabwa, ulikutana na hirizi zimetupwa, mabinti wavaa nusu uchi, mayai viza njia ya panda, ujambazi, gharama za maisha, ulipishana na manyau nyau anasaka wachawi, vibao vya waganga kila baada ya hatua moja....... Unataka mbeya wafyeke misitu kama hapa dar?
Umesahau na kanga moko,midundiko,wamwaga radhi,vigodoro na wauza unga.
 
We wap mkuu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Back
Top Bottom