and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Mbeya hamna Cha maana
Hapo umetutusi malafyale sio poa yaanMbeya ilipaswa kubaki level ya MANISPAA kama ilivyo HALMASHAURI YA MJI MPANDA
Huyu hapa mtalakaHaujatalikiana na mtu wa mbeya kweli wewe? Mbona joto hasira!
Ha ha haMbeya ni Kijiji kilichochangamka
Jongwe alijiongeza hata wananchi walipompumzisha siasa hakusikia maumivu Kama yule MmachameNilikaa mbeya siku mbili tu kwa hiyo sina uzoefu. Ila picha niloyoondoka nayo ni sehemu poa tu.
Sasa kuhusu malazi, hivi hotel ya Jongwe Sugu si nzuri standard? Na ipo karibu na town?
Ila ana investment zake pia. Si wa kufulia.Jongwe alijiongeza hata wananchi walipompumzisha siasa hakusikia maumivu Kama yule Mmachame
Madeni je?Ila ana investment zake pia. Si wa kufulia.
Ndio hapo sasa...ila hata jongwe utakuwa mkopo ule...Madeni je?
Is no more Kijiji kikubwa,siku hizi ni City haswaaaKijiji kikubwa
Ulozi je?Is no more Kijiji kikubwa,siku hizi ni City haswaaa
Ungekuwepo maendeleo yasingekuwepoUlozi je?
Maendeleo yapi?Ungekuwepo maendeleo yasingekuwepo